Leon Luzama

Leon Luzama Healthy Eating Adds years of life

22/07/2025
Kula kiafya ni kupanga na kuamua kwa ajili ya Afya yako. Gharama za kula kiafya ni ndogo kuliko gharama ya kutibu madhar...
13/06/2024

Kula kiafya ni kupanga na kuamua kwa ajili ya Afya yako. Gharama za kula kiafya ni ndogo kuliko gharama ya kutibu madhara ya chakula.

Karibu ujifunze namna ya kuandaa sahani tiba kwa ajili ya kudhibiti magonjwa ya Lishe.

Tuandikie neno Lishe kwenda 0767074124

Matumizi ya juisi siyo salama kiafya
01/07/2022

Matumizi ya juisi siyo salama kiafya

Mungu awabariki kwa kutekeleza mnayojifunza. Hiyo ndo zawadi yenu.
17/02/2022

Mungu awabariki kwa kutekeleza mnayojifunza. Hiyo ndo zawadi yenu.

Hawa ni kati ya wengi  waliojitokeza kutoa mrejesho  namna program zetu za kituo chetu cha Nsambo Healthcare zilivyowako...
17/02/2022

Hawa ni kati ya wengi waliojitokeza kutoa mrejesho namna program zetu za kituo chetu cha Nsambo Healthcare zilivyowakomboa. Sukuma picha kushoto, kisha jitathimini na uchukue hatua. Thanks team ya na Mungu azidi kuwabariki kwa kazi nzuri. Karibu nawe ujiunge nasi tudhibiti matatizo ya lishe.

Ulaji usiozingatia uhusiano wa homoni na kile unachokula ni chanzo mojawapo cha kumfanya mwanamke/Mwanaume kuwa mgumba. ...
09/02/2022

Ulaji usiozingatia uhusiano wa homoni na kile unachokula ni chanzo mojawapo cha kumfanya mwanamke/Mwanaume kuwa mgumba. Ni tatizo linaloweza kutatulika chukua hatua mapema kupitia wana suluhu nyepesi zaidi.

Bliss is a very nice children in her family. She is always happy and friendly. Just wish her a happy day  today on her b...
29/01/2022

Bliss is a very nice children in her family. She is always happy and friendly. Just wish her a happy day today on her birthday memorial day.

Kitabu muongozo wa Lishe k**a unapanga kupunguza uzito, kudhibiti magonjwa ya Lishe kwa mwaka huu. Fanya jambo la kijasi...
19/01/2022

Kitabu muongozo wa Lishe k**a unapanga kupunguza uzito, kudhibiti magonjwa ya Lishe kwa mwaka huu. Fanya jambo la kijasili la kuchukua silaha hii itakusaidia sana kwenye mapambano yako.
Thanks and kwa kuendelea kuhakikisha kuwa kwa pamoja kupitia mitandao ya kijamii tunaikomboa jamii

Mwaka unatamatika, yawezekana bado unahangaika na kutafakari juu ya kurejesha mwili katika hali yake baada ya kufinyangw...
19/12/2021

Mwaka unatamatika, yawezekana bado unahangaika na kutafakari juu ya kurejesha mwili katika hali yake baada ya kufinyangwafinyangwa na chakula. Usiumize kichwa jiunge na masomo yetu ya mtandaoni kupata suluhu. Jibu liko jikoni, jifunze Sayansi ya Mapishi ili kurejesha mwonekano wako vizuri.

Fanya manunuzi ya bidhaa zetu popote ulipo kwa njia ya mtandao karibu kwenye duka letu la Nsambo Shop. Bidhaa rafiki kwa...
23/11/2021

Fanya manunuzi ya bidhaa zetu popote ulipo kwa njia ya mtandao karibu kwenye duka letu la Nsambo Shop. Bidhaa rafiki kwa ajili ya kujikinga na kudhibiti magonjwa ya Lishe. Bofya hii link kufanya manunuzi online https://nsamboshop.co.tz

Address

Minazini
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leon Luzama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Leon Luzama:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram