Gwen Morgan_Afya

  • Home
  • Gwen Morgan_Afya

Gwen Morgan_Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gwen Morgan_Afya, .

PUNYETO hali ya kujiridhisha kingono bila ya kuwepo mwenza wako, hii hufanywa  na wanawake na WANAUME japo athari kubwa ...
09/06/2020

PUNYETO hali ya kujiridhisha kingono bila ya kuwepo mwenza wako, hii hufanywa na wanawake na WANAUME japo athari kubwa huwapata WANAUME maana husababisha kupoteza uanaume, WANAUME WENGI wamedumbukia hili kundi wakiwa kwenye umri ule wa kubalehe, na huonekana ni tendo salama maana humwepusha mfanyaji na magonjwa ya ngono, kumpa mwanamke mimba, haina gharama wapo WANAUME wanaokiri kuwa PUNYETO ni Raha zaidi kuliko kukutana na mwanamke, Mwanaume aliezoea PUNYETO haridhiki hata akutane na wanawake 100 lazma

PUNYETO
hali ya kujiridhisha kingono bila ya kuwepo mwenza wako, hii hufanywa na wanawake na WANAUME japo athari kubwa huwapata WANAUME maana husababisha kupoteza uanaume,
WANAUME WENGI wamedumbukia hili kundi wakiwa kwenye umri ule wa kubalehe, na huonekana ni tendo salama maana humwepusha mfanyaji na magonjwa ya ngono, kumpa mwanamke mimba, haina gharama wapo WANAUME wanaokiri kuwa PUNYETO ni Raha zaidi kuliko kukutana na mwanamke,
Mwanaume aliezoea PUNYETO haridhiki hata akutane na wanawake 100 lazma atafuta mda ajichue, Kwa msaada tupigie 0674518000

UGOJWA WA P.I.DPelvic Inflammatory DiseaseNi maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili ...
04/06/2020

UGOJWA WA P.I.D
Pelvic Inflammatory Disease
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-

Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.tiba yake refined yunzih na femicare

DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
MADHARA YA PID
•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi.

Wasiliana nasi kwa huduma ya matibabu.

VITU VINAVYOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA MIMBA NI;1.Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni (Hormonal Imbalance).2.Ova...
03/06/2020

VITU VINAVYOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA MIMBA NI;
1.Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni (Hormonal Imbalance).

2.Ovaries kushindwa kutoa mayai.

3.Kuziba kwa mirija ya uzazi.

4.Mirija ya uzazi kujaa maji.

5.Uvimbe katika kizazi (uterine fibroid).

6. Magonjwa k**a vile PID, kisonono kisukari nk.

7.Kuwa na msongo wa mawazo.

8.Utoaji wa mimba (Abortion).

9.kuwa na uzito kupita kiasi (over-weight).

10.Matumizi ya pombe, bangi, sigara, ulevi kupindukia.

11.Matumizi ya madawa.

12.Endometriosis:-Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kuota nje ya fuko hilo au hata sehemu nyingine. Kwa Masada
Tunapatikana Dar es salaam mliman city kwa mawasiliano/ watssap ±255674518000

FAHAMU JINSI MVURUGIKO WA HOMONI (HOMONI IMBALLANCE) UNAVYOATHIRI UZAZI WA MWANAMKE NA SULUHISHO LAKE.Mvurugiko wa homon...
02/06/2020

FAHAMU JINSI MVURUGIKO WA HOMONI (HOMONI IMBALLANCE) UNAVYOATHIRI UZAZI WA MWANAMKE NA SULUHISHO LAKE.
Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika.

Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia kubwa huanza kutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.

Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

II. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI (HOMONI IMBALLANCE)
Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokanana maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulinganana makundi ya damu.

Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:-
•Uwepo wa takamwili nyingi na sumu mwilini

•Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

•Umri ukienda sana

•Kukoma kwa hedhi

•Kutofanya mazoezi.

•Uzito mkubwa.

•Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.

•Msongo wa mawazo.

•Kula vyakula visivyo endana na Blood Group.

•Upungufu wa lishe mwilini.

•Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.

•Utoaji wa mimba
Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)
Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)
Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

III. DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele.

Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:
- Ukavu ukeni

- Maumivu wakati wa tendo la ndoa

- Kutoa jasho usiku

- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa

- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)

- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.

- Uchovu wa mara kwa mara.

- Hasira za mara kwa mara.

- Kukosa usingizi

- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara

- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula

- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe

- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)

- Maumivu ya viungo

- Upungufu wa nywele kichwani.

- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

- Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya wa ndani

- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)

- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

- Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi

- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

- Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango

- Maumivu ya kichwa mara kwa mara

- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)

- Kutokupata choo kwa wakati

- Misuli hudondoka

IV. MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.

Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathiri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria), kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:
Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
Mimba kuharibika mara kwa mara
Kukosa mtoto au Ugumba
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
UTI (Urinary Tract Infection)
Kuzeeka mapema
Kuziba kwa mirija ya uzazi
Uvimbe (Fibroids and Cysts)

V. SULUHISHO

a. Suluhisho Linalopendwa

Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida. Lakini hupelekea madhara k**a:
- Kuongeza uwezekano ya shinikizo la damu.
- Osteoporosis.
- Madhara katika mfumo wa uzazi.
- Saratani na mengineyo.
-Na wengine hujikuta wakishindwa kupata kabisa hedhi au kutoshika ujauzito kabisa.

b. Suluhisho La kudumu

Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebisha. Kwa wanawake wenye changamoto hii tume waandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu.
Program hii ni ya vyakula; sio dawa wala miti shamba.

Inasaidia kuweka sawa homoni za mwanamke, kuboresha mfumo mzima wa uzazi, kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee). Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo: vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, … n.k.

Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha Afya yake comment apo chin tumalize hii kitu.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gwen Morgan_Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram