Dr. Izack Tz

Dr. Izack Tz Tunawasaidia wahanga kwa kutumia mimea asili, vyakula naushauri.

*DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI (HERNIA)* _____________________ *Dr_Izack* +255752962267● Ngiri *(Hernia)* ni mion...
15/12/2022

*DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI (HERNIA)*

_____________________
*Dr_Izack*
+255752962267



● Ngiri *(Hernia)* ni miongoni mwa matibabu makubwa sana ambayo upelekea Upungufu wa nguvu za kiume kwa haraka sana.

●Mwanaume anapota ngiri *(Hernia)* . Maeneo ambapo ngiri hutokea mara nyingi huwa na muunganiko na mirija ya damu pamoja na never ambazo hufanya kazi ya kutoka na kupeleka taarifa kwenye korodani na uume ( *p***s* ) pia kupeleka damu kwenye uume ili kuluusu uume kusimama imara.

●Inapotokea ngiri. Usafirishaji wa damu kwenda kwenye uume pamoja na taarifa hushindwa kufanyika kwa weledi, matokeo take uume usimama legelege, hali hii usababisha mwanaume kufika mapema kileleni *(pre_mature ejaculatio)* pamoja na kukosa hisia za mapenzi na kushindwa kurejea tendo kwa wakati.

Wasiliana na dr_izack kwa msaada zaidi 0752962267
Whtspp wa.me/255752962267

*DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux* -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusu...
12/12/2022

*DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux*

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.

2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.

3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.

4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.

5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.

6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.

7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.

8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.

9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.

10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha

11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.

12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.

13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki

14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).

15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.

16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.

17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.

18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.

19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.

20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.

21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.

22.🖇️Kichefuchefu na kutapika.

Tupigie cm kwa msaada wa halaka zaidi Dr_Izack 0752962267

wa.me/255752962267

*DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI (HERNIA)* _____________________ *Dr_Izack* +255752962267
30/11/2022

*DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI (HERNIA)*

_____________________
*Dr_Izack*
+255752962267

*DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI (HERNIA)* _____________________ *Dr_Izack* +255752972267
22/10/2022

*DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI (HERNIA)*

_____________________
*Dr_Izack*
+255752972267

*DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI*  Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.Na...
18/09/2022

*DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI*

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵

1▶️Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2.▶️Tumbo Kupiga mingurumo

3.▶️Tumbo kujaa gesi.

4.▶️Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5.▶️Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.

6.▶️Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7.▶️Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

8.▶️Nuru ya macho hupotea taratibu.

9.▶️Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

10.▶️korodani kuuma.

11.▶️Maumivu makali ya mgongo au kiuno.

12.▶️Uume kusimyaa na kunywea kuwa k**a wa mtoto.

13.▶️Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto au kupata ganzi

14.▶️Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

15.▶️ Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi Whtspp wa.me/255752962267

http://drizack.blogspot.comDALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)-Zifuatazo ni dalili za mwanamke M...
14/08/2022

http://drizack.blogspot.com

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

-Zifuatazo ni dalili za
mwanamke Mwenye PID:
⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.

▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.

▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).

▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.

▶️ Hupatwa na kichefuchefu.

▶️ Kutapika

▶️ Miwasho sehemu za
siri

▶️ Uchovu

▶️ Uke kuwa mlaini sana

▶️ Kizunguzungu

▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.

▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

▶️ Maumivu ya kiuno

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi Whtspp wa.me/255752962267

http://drizack.blogspot.com

http://drizack.blogspot.com*DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI*  Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa n...
14/08/2022

http://drizack.blogspot.com

*DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI*

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵

1▶️Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2.▶️Tumbo Kupiga mingurumo

3.▶️Tumbo kujaa gesi.

4.▶️Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5.▶️Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.

6.▶️Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7.▶️Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

8.▶️Nuru ya macho hupotea taratibu.

9.▶️Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

10.▶️korodani kuuma.

11.▶️Maumivu makali ya mgongo au kiuno.

12.▶️Uume kusimyaa na kunywea kuwa k**a wa mtoto.

13.▶️Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto au kupata ganzi

14.▶️Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

15.▶️ Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi Whtspp wa.me/255752962267

http://drizack.blogspot.com

http://drizack.blogspot.comDALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa2.kujit...
13/08/2022

http://drizack.blogspot.com

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

6. Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

Whtspp wa.me/255752962267

http://drizack.blogspot.com

http://drizack.blogspot.com*DALILI ZA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO* 1️⃣Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuun...
13/08/2022

http://drizack.blogspot.com

*DALILI ZA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO*

1️⃣Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula

2️⃣Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo

3️⃣Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa

4️⃣Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu

5️⃣Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu

6️⃣Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito

7️⃣Kushindwa kupumua vizuri

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi Whtspp wa.me/255752962267

http://drizack.blogspot.com

Tunawasaidia wahanga wa magonjwa sugu kwa kutumia mimea asili, vyakula na ushauri Wasiliana na dr_izack kwa msaada zaidi...
12/08/2022

Tunawasaidia wahanga wa magonjwa sugu kwa kutumia mimea asili, vyakula na ushauri
Wasiliana na dr_izack kwa msaada zaidi 0752962267

Whtspp wa.me/255752962267

JE! WEWE UNA CHANGAMOTO YA MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA? AU KUOTA KINYAMA AU KUTOKA DAMU WAKATI WA HAJA KUBWA? *(BAWASIR...
12/08/2022

JE! WEWE UNA CHANGAMOTO YA MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA?
AU KUOTA KINYAMA
AU KUTOKA DAMU WAKATI WA HAJA KUBWA?
*(BAWASIRI)* KWA MDA MREFU BILA SULUHISHO?

SIKILIZA VIZURI.

▶️Bawasiri sio ugonjwa wa kuambukiza.

▶️Bawasiri ukifanya upasuaji mdogo hospitali inarudi kwa uraisi sana.

▶️Asilimia 92% ya wagonjwa wote wenye tatiz hili hawajui chanzo chake, Na ivyo upelekea kutokupona mala baada ya kutumia dawa mbali mbali.

▶️ *Ofa hii ni bure* . Utapatiwa njia nyepesi kabisa kutatua tatiz lako vizuri kabisa.

🚫Hakikisha unabofya link pale kwenye profile yetu, Uingie kwenye whtspp yetu moja kwa moja ili kupata suluhisho kwa halaka. Au piga simu hii upate msaada kwa halaka sana
( *0752962267* )


wa.me/0752962267

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Izack Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Izack Tz:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram