Dr.Seif TZ

Dr.Seif TZ HABARI TUNASAIDIA KUWAPA WATU USHAURI NA KUTATUA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA KI AFYA KWA KUTUMIA TIBA ASILIA ZISIZO KUA NA KEMIKALI..

KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NASI KWA NAMBA +255673616221
AU WHATSAPP https://wa.me/255673616221

08/11/2025

💁🏻Jinsi ya kupunguza maumivu💁🏻

✅ Kunywa maji ya kutosha
✅ Weka kitambaa cha moto tumboni
✅ Fanya mazoezi mepesi (k**a kutembea)
✅ Epuka kahawa, pombe na sigara
✅ Tumia dawa k**a ibuprofen au paracetamol (kwa ushauri wa daktari)
✅ Tumia tiba asilia k**a chai ya tangawizi au mdalasini.

07/11/2025

Chanzo cha maumivu wakati wa period (hedhi) mara nyingi ni kutokana na mabadiliko ya homoni na misuli ya mfuko wa uzazi (uterus) kujikaza. Hapa chini ni maelezo kwa undani:

🔹 Sababu kuu
1. Mikazo ya mfuko wa uzazi (uterine contractions)
• Wakati wa hedhi, mwili huzalisha kemikali zinazoitwa prostaglandins ambazo husaidia kubana mfuko wa uzazi ili kutoa damu ya hedhi.
• Kadiri prostaglandins zinavyokuwa nyingi, ndivyo mikazo inavyoongezeka na kusababisha maumivu makali tumboni.
2. Hedhi nzito (menorrhagia)
• Wanawake wenye damu nyingi wakati wa hedhi hupata maumivu zaidi kutokana na mikazo mikali ya mfuko wa uzazi.
3. Magonjwa ya mfumo wa uzazi
• Endometriosis – tishu zinazofanana na za ndani ya mfuko wa uzazi hukua nje yake.
• Fibroids (uvimbe wa uterine) – vinene vinavyotokea ndani ya mfuko wa uzazi.
• PID (Pelvic Inflammatory Disease) – maambukizi kwenye viungo vya uzazi.
• Adenomyosis – tishu za endometrium huingia ndani ya ukuta wa mfuko wa uzazi.
4. Msongo wa mawazo (stress)
• Unapunguza usawa wa homoni mwilini na unaweza kuongeza ukali wa maumivu.
5. Kutofanya mazoezi
• Kukosa mazoezi kunafanya mzunguko wa damu kuwa hafifu na kuongeze maumivu.

05/11/2025

Kuwaka moto kwenye miguu (hisia ya joto au moto) na kupata ganzi ni dalili ambazo mara nyingi zinaonyesha kuwa kuna tatizo kwenye mishipa ya fahamu, mzunguko wa damu, au upungufu wa virutubishi muhimu.
Hapa kuna vyanzo vikuu vinavyoweza kusababisha hali hiyo👇



🧠 1. Neuropathy (mishipa ya fahamu kuathirika)

Hii ndiyo sababu kubwa zaidi. Inatokea pale mishipa inayobeba taarifa za hisia kutoka kwenye miguu hadi ubongo inapoharibika.

Sababu za neuropathy:
• Kisukari (Diabetic neuropathy) – Kisukari kisipodhibitiwa vizuri huathiri mishipa ya miguu.
• Matumizi ya pombe kupita kiasi – Hupunguza virutubishi vya neva.
• Upungufu wa vitamini B12, B6 au B1.
• Dawa fulani – hasa za kutibu kansa au kifafa.



🩸 2. Mzunguko wa damu kuwa hafifu

Wakati damu haizunguki vizuri kwenye miguu, inaweza kusababisha:
• Kuwaka moto au baridi kali kwenye miguu.
• Uvimbe au ganzi.
Sababu zinaweza kuwa:
• Shinikizo la damu la juu au chini sana.
• Kuziba kwa mishipa ya damu (Peripheral artery disease).



🦶 3. Magonjwa ya uti wa mgongo

Shida kwenye uti wa mgongo (hasa sehemu ya chini – lumbar) zinaweza kukandamiza neva zinazoenda miguu, na kusababisha:
• Ganzi
• Kuwaka moto
• Maumivu ya mgongo chini



🍽️ 4. Upungufu wa virutubishi
• Vitamin B12 – upungufu wake husababisha ganzi, uchovu, na udhaifu.
• Iron (chuma) – upungufu wake unaweza kuleta ganzi na udhaifu.
• Magnesium – husaidia utulivu wa mishipa na misuli.



⚠️ 5. Sababu nyingine
• Maambukizi ya neva (k**a Herpes zoster).
• Uvaaji wa viatu vidogo au ngumu sana – hukandamiza mishipa.
• Magonjwa ya figo au ini – yanaweza kupelekea sumu mwilini kuathiri mishipa.



🩺 Ushauri wa kitabibu:

Ikiwa unapata hali hii mara kwa mara au kwa muda mrefu:
1. Pima kiwango cha sukari (fasting & random blood sugar).
2. Fanya kipimo cha Vitamin B12 na Magnesium.
3. Muone daktari wa mishipa (neurologist) au mtaalamu wa kisukari.
4. Epuka pombe, sigara, na kula vyakula vyenye virutubishi vingi (mboga za kijani, samaki, mayai, karanga). Chukua hatua leo +255673616221

05/11/2025

Mimba kutoka chini ya miezi 3 hii ni hatari sikiliza mpaka mwisho

19/10/2025

Dalili hizi ni hatari kana kwamba upo na fungus na mashambulizi kwenye uke na via vya uzazi

18/10/2025

Dalili za U.T.I sugu kwa mwanamke na mwanaume #

17/10/2025

Mbegu kuambatana na Damu ni gatizo kubwa saaana .

16/10/2025

TESTOSTERONE IKISHUKA HAYA UTOKEA::
⏭️ Kupungua hamu ya tendo la ndoa (libido)
⏭️ Tatizo la kusimama kwa uume (erectile dysfunction)
⏭️ Mbegu za kiume kupungua
⏭️ Uchovu wa mara kwa mara
⏭️ Kukosa motisha au nguvu ya kufanya mambo
⏭️Msongo wa mawazo (depression)
⏭️ Hasira au mood kubadilika haraka
⏭️ Kupungua uwezo wa kufikiria vizuri (mental fog).

16/10/2025

TESTOSTERONE IKISHUKA HAYA UTOKEA::
⏭️ Kupungua hamu ya tendo la ndoa (libido)
⏭️ Tatizo la kusimama kwa uume (erectile dysfunction)
⏭️ Mbegu za kiume kupungua
⏭️ Uchovu wa mara kwa mara
⏭️ Kukosa motisha au nguvu ya kufanya mambo
⏭️Msongo wa mawazo (depression)
⏭️ Hasira au mood kubadilika haraka
⏭️ Kupungua uwezo wa kufikiria vizuri (mental fog).

16/10/2025

KUFIKA KILELENI HAIMANISHI KUWA WEWE UNAWEZA KUMPA
MKEO MIMBA

16/10/2025

Kwani nguvu za kiume zinapimwa vipi??

14/10/2025

MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI WA MWANAMKE (PID )
PID ni kifufupi cha maneno pelvic Inflamatory Deseases. Yaani ni maambuzi katika via vya uzazi wa mwanamke.
CHANZO CHA PID
PID husababishwa na bacteria ambao hushambulia sehemu mbalimbali za via via vya uzazi.
Mfano wa Bacteria hao wanaosababisha PID ni Chlamydia,Neisseria gonorrhea (NG)au
Mycoplasma genitalium

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA PID
Yapo mambo mbalimbali ambayo mwanamke akiyafanya anaweza kupata tatizo la PID. Mambo hayo ni haya yafuatayo.
1.Ngono zembe
2.Kutoa mimba (Abortion)
3.Mimba kuharibika (miscourage)
4.Kutumia njia za kupanga uzazi k**a vile kutumia sindnano, vidonge k**a P2, vijiti n.k
5. Usafi binafsi hasa wa sehemu za siri.
6.Matumizi ya vitu au vyakula vyenye sumu na kemikali mblimbali n.k.


DALILI ZA PID.
Zipo dalili nyingi sana za PID . Ila baadhi ya dalili hizo ni k**a zifuatazo.
1.Maumivu mkali sana. Maumivu haya yanaweza kuwa chini ya kitovu, wakati wa hedhi,kwenye kiuno au kwenye mgongo.
2.Kutokwa na uchafu sehemu za siri.
3.Kuvurugika kwa siku za hedhi.
4. Homa za mara kwa mara.
5.Kutokwa na damu ukeni
6.Kupata hedhi yenye damu k**a mabongemabonge.(Heavy breeding)
7.Kupata hedhi zaidi ya siku saba au chini ya siku tatu.
Ikumbukwe kuwa damu ya hedhi inatakiwa iwe siku tatu hadi tano.
8.Kutokwa na jasho mara kwa mara hasa wakati wa usiku.
9.Kupata maumivu wakati wa kukojoa.
10. Kukosekana kwa uteute laini ambao humfanya mwanamke ajisikie raha wakati wa tendo la ndoa.

MADHALA YA PID.
1.Uvimbe kwenye kizazi.
2.Kuziba kwa mirija ya uzazi.
3.Mayai kujaa maji
4.Ugumba.
5.Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy)
6.UTI sugu
7.Kukosa raha na hamu ya tendo.
8. Saratani ya shingo ya kizazi.

Kwa tiba na ushauri piga :☎️+255673616221

Address

Dar Es Salaam
12101

Telephone

+255673616221

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Seif TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.Seif TZ:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram