elikanafx

elikanafx Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from elikanafx, .

The best way of managing Your Finance. 1:Knowing your earnings can be daily or monthly. Lazima katika biashara yako uwe ...
15/02/2023

The best way of managing Your Finance.

1:Knowing your earnings can be daily or monthly. Lazima katika biashara yako uwe unajua mapato yako kwa siku, week, month mpaka hata mwaka. Mfano Mimi pale ELIKAS najua kabisa tukifungua saa kumi na mbili mpaka saa sita usiku labda najua minimum earnings, kwa hiyo ikitokea mpato kwa siku hiyo siyo k**a siku zote basi lazima nijuwe kunatatizo hapo labda tumechelewa kufungua au nimechezewa mchezo.

2:Having daily or monthly budget, hapa sasa tunatkiwa kujua ;

i)How much do you have to save, Lazma utoe savings kwanza before expenses..Saving sio lazma iwe kubwa (can be 10%-20% of your earnings)

ii) kupriotise expense zetu, kuna vitu ambavo n muhimu na kuna ambavo sio muhimu(know what you need not what you want)

3:Having plans /business plans of your saving-Ili upate hamasa ya kusave lazma uwe na reason ya kusave can be personal reason, family reason au business reason

4.Tusiogope kufanya biashara, sio lazma uwe na mamilioni kuanza kufanya biashara(passion n how commited you are inaweza ikawa factor nzr ya kukufanya ufanye biashara)

Nice day!

Kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako jua ni kwa mipango ya Mungu, binafsi niseme wewe nika blessing kwangu, mwenyezi...
05/02/2023

Kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako jua ni kwa mipango ya Mungu, binafsi niseme wewe nika blessing kwangu, mwenyezi Mungu anamakusubi yake juu yangu. Sina cha kusema sana but niseme tu thanks kwa kuwa part of my life.

HAPPY BIRTHDAY MY LOVE. kipenzi cha moyo wangu. Enjoy your day🙏💪🏾

Najua it’s none of my business ila k**a 2022 kuja vitu ulijaribu kuPush kwa ajili ya maisha yako ya badaye ila Kuna watu...
01/02/2023

Najua it’s none of my business ila k**a 2022 kuja vitu ulijaribu kuPush kwa ajili ya maisha yako ya badaye ila Kuna watu wa karibu yako walikuhangusha, ndugu walikuvunja moyo, marafiki hawakuku support hata kwa mawazo tu. Ukajikuta unatopeza hata moyo wa kupambana tena.

Basi hii 2023 kwa kukusaidia tu usiwe na moyo wa huruma, usiwe muoga, usiwe mnyonge kabisa vita bado kabisa ndio kwanza imeanza. 2023 panga mikakati yako, plan zako vizuri, vision zako vizuri kabisa.

Ngoja ni kwambie mtu wa kwanza kabisa kukufanya ushindwe kufika kwenye malengo yako ni ndugu, Ndugu ni watu wa ajabu usipokuwa makini hatakuangusha kwa hiyo ukiona haeleweki pinga chini funga masikio. Marafiki Pia usiache kuwa na machaguzi ya marafiki au rafiki, kwanza tafuta rafiki moja tu mwenye uchugu na vision k**a za kwako ndio unaweza mshilikisha vita zako, ila Pia siyo kila kitu utamwambia mzee ipo siku mtapisha na tayari umempa siri zako unarudi mikono nyuma.

2023 fanya linalo wezekana unafanya investment hata moja tu, weka focus yako yote huko in 5 years utakuja kunishukuru hapa IG. Mimi 2022 niliziba masikio nikapunguza marafiki bila kujali urafiki wetu Uko Vipi, nikapandisha vioo sitaki ushauli wa ndugu, Leo hii nina investment k**a 4 hivi na 2023 napambana juu chini kufungua branches nyingine kwa kila investment moja.

Happy New Month mwezi wa pili tumebakiza miezi kumi mwaka ukate, bado kitambo kidogo muda unatosha wa kupanga vita na kuishinda 🙏💪🏾💪🏾

Ni namna gani unaweza kuMaster strategy fula ambayo unajifunza kila siku alafu hupati matokeo? Ni kwa kufanya kitu kinai...
31/01/2023

Ni namna gani unaweza kuMaster strategy fula ambayo unajifunza kila siku alafu hupati matokeo? Ni kwa kufanya kitu kinaitwa “backtest” Yani unaenda kwenye chart au pair ambayo unaTrade then unarudisha chart yako nyuma na kutafuta kitu ambacho unajifunza je kinafanya kazi vipi?

Mfano labda Mimi najifunza “Elisetup” ili niweze kuielewa vizuri na kujua namna ambayo forget nafanya kazi, nakwenda kwenye chart labda tuseme USDJPY naanza kufanya backtest kutafuta Elisetup ni wapi ilitokea na je ilifanya nini wakati imetokea au kuleta matokeo gani positive au negative.

Then natazama sasa je positive ni mangapi na negative ni mangapi. Maana yake nini hapa ni kwamba katika matokeo labda 10 lakini 8 au 7 ni positive na yaliyo baki ni negative nasema hii strategy ni nzuri kwangu kwa maana ya huiyano wa + na - . Vivyo hivyo ikiwa negative ndio nyingi kuliko positive basi hiyo strategy siyo sahihi kwa Trader yoyote yule… 🙏

I was born to save lives💊💉🔬
22/01/2023

I was born to save lives💊💉🔬

Tutatumia broker mmoja ambaye ni Markets na unaweza kujisajili sasa kupitia hii link  https://go.markets.com/visit/?bta=...
28/12/2022

Tutatumia broker mmoja ambaye ni Markets na unaweza kujisajili sasa kupitia hii link https://go.markets.com/visit/?bta=37542&nci=6989
kisha deposit! Kima cha chini unachopaswa ku-deposit kwenye trading account yako ni $500.

FOREX ni biashara inayohusisha risk kubwa sana. Risks zote katika programu hii zitakuwa juu ya mwenye account. Kwahiyo wekeza kiasi ambacho unahimili kuki-risk (invest responsibly)!

Hivyo basi, kijana mwenzangu, mdau, na mfanyabiashara wa FOREX; k**a headache yako ilikuwa ni kubanwa na majukumu, kukosa vifaa rafiki kwa ajili ya kusoma charts na ku-trade, n.k., kipekee kabisa nikukaribishe kwenye programu hii.

Mimi na timu ya mafundi mitambo hapa kwenye trading station yangu tutahakikisha tunafanya kazi overtime kwa ajili yako. Kumbuka, ni wadau 5 tu wa kwanza ku-apply,
Kwahiyo, fungua account sasa kupitia link ya broker niliyemtaja hapo juu, kisha deposit kuanzia $500 nakuendelea. Ukishakamilisha zoezi hili, wasiliana nami moja kwa moja kupitia +255 717 577177!

Mzungumko mkubwa wa fedha huchochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi. Mzunguko huu wa fedha hautokei pale ambapo mtu mmoja pekee ana fedha, bali hutokea pale ambapo kundi kubwa zaidi la watu katika jamii husika wanapokuwa na fedha. Karibu tutengeneze mzunguko mkubwa wa fedha…!

Nimechagua Forex kuwa ndio maisha yangu hata niwe na project ngapi ila Forex siwezi kuacha kamwe📉🔥🔥🔥🔥
12/12/2022

Nimechagua Forex kuwa ndio maisha yangu hata niwe na project ngapi ila Forex siwezi kuacha kamwe📉🔥🔥🔥🔥

ELIKAS LIMITED PHARMACY:Pharmaceutical and Medical supply :Wholesale Pharmacy :Fast delivery :Plot 18,Msigani street,Mbe...
27/11/2022

ELIKAS LIMITED PHARMACY
:Pharmaceutical and Medical supply
:Wholesale Pharmacy
:Fast delivery
:Plot 18,Msigani street,Mbezi mwisho -Dar es salaam

Tunajua kwenye maisha ili kufanikiwa ni kuTake Risk ya Jambo fulani, ila Pia nimekuja kugundua watu wengi ni waonga kuTa...
18/11/2022

Tunajua kwenye maisha ili kufanikiwa ni kuTake Risk ya Jambo fulani, ila Pia nimekuja kugundua watu wengi ni waonga kuTake Risk sana sana sana.

Alafu kubwa zaidi ambalo nimegundua hata hao wanaochukuwa Risk kwenye kitu Furani au fursa basi Kuna kitu wanakosea nacho ni kuTake Rick kwenye kitu ambacho hawakijuwi.

Mfano:- labda umeamuwa kufanya biashara ya kilimo cha mahindi morogoro, hiyo ni Risk umechukuwa sasa wewe unaenda kulima huku una knowledge ya kilimo cha mahindi, ujuwi ni wakati gani wa kupanda, ni wakati gani wa kupalilia, ni wakati gani wa kupiga dawa, ni mbegu gani nzuri, jinsi ya kuandaa shamba hapa tunasema umeamuwa kutia moto pesa zako mwenyewe.

Take Risk kwenye kitu unakijuwa, una knowledge nacho, unajuwa kinafanyikaje nje ndani, kuwa na taarifa za kutosha kuhusu nini unaenda kufanya hata ukichukuwa risk basi unakuwa na uwezekano mdogo wa kupoteza.

Hichi ni kitu kikubwa sana ambacho nimejifunza kutoka wa watu ambao wamefanikiwa Pia kwa wakwengwe kwenye game. Niseme tu hivi USIOGOPE KUTAKE RISK kwenye maisha yako🙏.

Nilitamani sana siku moja katika maisha yangu nije kuisaidia jamii yangu kwa namna ya utofauti sana sana sana, niliumiza...
13/11/2022

Nilitamani sana siku moja katika maisha yangu nije kuisaidia jamii yangu kwa namna ya utofauti sana sana sana, niliumiza sana akili kitu gani kinafaa kwa ajili ya jamii yangu nikifanye.

Kuna siku nilipita maeneo fulani hivi siwezi kutaja ila kwa hali ambayo nilikuta na uchumi ulivyo kuwa mgumu hapa Ndio nikasema inabidi nifanye kitu kwenye Afya iasee.

Hapa ndio nikasema natoa pesa kwenye Forex naweka kwenye huduma ya Afya ili kusaidia jamii yangu. Nilipiga goti kwa Mungu nikasema naomba niongoze kwenye hili haijalishi nitapitia changamoto gani ila nitimize hili.

Mungu ni mwema nimetimiza kutoa huduma ya Afya kwa jamii yangu kwa huweka huduma ya DAWA na VIFAA tiba ili kusaidia serikali yetu ya Tanzania kuhakikisha huduma ya Afya iko imara na kujali jamii yake.

ELIKAS LIMITED PHARMACY hii ni moyo yangu, hii kwa ajili ya waTanzania wote, hii naifanya kwa moyo moja kabisa.🙏

Jifunze kujikibali wewe k**a wewe, jifunze kujipenda, jifunze kusikiliza watu ila Pia kuwa na machanguzi ya kusikiliza h...
31/10/2022

Jifunze kujikibali wewe k**a wewe, jifunze kujipenda, jifunze kusikiliza watu ila Pia kuwa na machanguzi ya kusikiliza hivyo vya watu… Maisha ni k**a mover tu na wewe ndio komando mwenyewe tunajua mwisho wa mover wewe ndio baki hai 💪🏾

Naona kuna mtu anachezea sharubu za SIMBA.. kuna huyu maskini wa akili katengeneza account ambayo kaweka details zangu k...
18/09/2022

Naona kuna mtu anachezea sharubu za SIMBA.. kuna huyu maskini wa akili katengeneza account ambayo kaweka details zangu kwa lengo la kupiga hela za watu hapa mjini….

Uzuri mimi ni mtu wa watu, napendwa na vijana wangu pamoja na watu ambao sija wahi hata kuwaona wala kuongea nao ila napata taarifa…

Watu wangu wa nguvu embu tuwe makini sana sana na hizi vitu ni bora kunipigia Au kutuma sms WhatsApp kwa kujilizisha, mimi sina darasa lolote na wala sijatangaza mpaka sasa…

NB:- k**a unamipango ya kumwalibia ELIKANAFX jua hiki ni chuma cha pua 💪🏾

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when elikanafx posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram