Afyabora tz

Afyabora tz Tatua changamoto za kiafya kwakutumia virutubisho visivyo na kemikali jali afya hako

♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐▶️ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (A**s)Hali hi...
06/06/2023

♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐

▶️ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (A**s)
Hali hii humfanya mtu ajisikie hali ya kukera sana na wakati mwingine maumivu makali.

▶️ Hali ya kukera hutokea kipindi Mgonjwa anapojaribu Kwenda chooni kupata haja kubwa ila kwa wengine hali hii huwafanya wapate maumivu kila wakati na kujisikia vibaya sana na kushindwa kufanya mambo mengine.

▶️ Mara nyingi bawasiri huendana na kupata Choo Chenye damu.

▶️ Kawaida eneo la haja kubwa lina mishipa ya damu mingi aina ya VEINS na mishipa hii IPO juu juu sana. Sasa presha inapoongezeka eneo hili mishipa hiyo hupasuka na hujitokeza kwa nje hivyo huonekana k**a nyama zimejitokeza.

▶️ Ingawa wakati mwigine BAWASIRI hujitokeza ndani kabisa ya njia ya haja kubwa hivyo hufanya bawasiri iwe ya ndani bila nyama kutokea nje ya haja kubwa MTU atajisikia hali ya kukera bila nyama kutoka nje kwa hiyo hii inaitwa BAWASIRI ya ndani.

▶️ SABABU ZA BAWASIRI KUTOKEA🕳

1⃣KUPATA CHOO KIGUMU.

▶️ Choo kigumu huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo husababisha bawasiri kutokea
Hii hutokea zaidi kwa watoto wadogo na watu wenye constipation au wenye tatizo la kutopata choo.

2⃣UZAZI (MIMBA).

Huongeza presha eneo la nyonga hivyo huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo huongeza nafasi ya kupata bawasiri

3⃣KITAMBI (OBESITY).

Pia huongeza presha eneo la nyonga, hii hupelekea huongeza presha eneo la haja kubwa.

4⃣KUNYANYUA VITU VIZITO🕳

Pia huongeza presha eneo la haja kubwa,pia huongeza nafasi ya kupata bawasiri

▶️ Mara nyingi watu wengine hufanyiwa UPASUAJI kutatua tatizo hili kwa jinsi lilivyo.

▶️ TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI🕳

▶️ Zipo tiba za aina nyingi katika kutatua ugonjwa huu! Ila kwetu sisi tunatumia njia mbadala ambayo huondoa tatizo hilo Kabisa na hutakuwa na haja ya kufanyiwa upasuaji. KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NAMI KWA 0675 330 382

NEW Mtu anafanya mazoezi kwa lengo la kupunguza mwili,,lakini baada ya kutoka Mazoezini anajipooza na juisi baridiiii au...
24/05/2023

NEW Mtu anafanya mazoezi kwa lengo la kupunguza mwili,,lakini baada ya kutoka Mazoezini anajipooza na juisi baridiiii au Soda na Mkate Mkononi au Mwingine anaenda kupata bia baridii !!! Mazingira ya kupungua ni Ziro .Hawezi kupungua !!!

Mwingine anapambana na nguvu za kiume wakati huo huo simu yake imejaa picha za ngono kibao !!! Mwingine anapambana kutibu nguvu za kiume lakini anajichua!!!!

Kwa hiyo unakuta Mazingira ya kuzuiya uponyaji ni Mengi .Mtu mwenyewe kutokujua au mwingine anajua kila kitu ila anashindwa kujizuiya au kubadilika !!

Mwingine yeye anataka nguvu za kiume za kutosha lakini muda huo huo kiuno kinauma au mgongo au Tumbo linabana chini ya kitovu au Pumbu zimevimba lakini hayo yote yeye haoni sababu ya kuyatibu; yeye anachotaka ni nguvu za kiume tu !! Mazingira ya kupata nguvu za kiume hamna kwa sababu kuna kisababishi/kizuizi !!!

Bawasiri, ambayo pia inajulikana k**a hemorrhoids au kutoka kwenye tundu la haja kubwa, inaweza kuathiri afya ya uzazi k...
23/05/2023

Bawasiri, ambayo pia inajulikana k**a hemorrhoids au kutoka kwenye tundu la haja kubwa, inaweza kuathiri afya ya uzazi kwa wanawake kwa njia kadhaa.

Kwanza kabisa, bawasiri inaweza kusababisha maumivu na kuvimba karibu na eneo la uke, kufanya ngono kuwa mbaya au haiwezekani kabisa. Hii inaweza kuathiri sana maisha ya ngono ya mwanamke na kusababisha usumbufu na maumivu.

Pili, bawasiri inaweza kusababisha shida wakati wa kujifungua. Ikiwa mwanamke mjamzito ana bawasiri, inaweza kusababisha maumivu makali na kuvimba wakati wa kujifungua, ambayo inaweza kuathiri vibaya mchakato wa kujifungua.

Tatu, bawasiri inaweza kusababisha shida za utumbo, k**a vile kuhisi kutaka kwenda haja kubwa mara kwa mara, kuhisi kujaa au kukosa kujisikia vizuri, na kuhisi maumivu au kutokwa damu wakati wa kwenda haja kubwa. Shida hizi za utumbo zinaweza kuathiri sana afya ya uzazi kwa wanawake kwa sababu zinaweza kusababisha usumbufu na maumivu wakati wa hedhi au kujifungua.

Ni muhimu kuzungumza na daktari ikiwa una changamoto hii

piga 0675330382

Bawasiri haijali mkubwa wala mdogo.. sasa k**a unajua maumivu na kero zake basi ujue zinamsumbua hata mtoto.. tubadilish...
23/05/2023

Bawasiri haijali mkubwa wala mdogo.. sasa k**a unajua maumivu na kero zake basi ujue zinamsumbua hata mtoto.. tubadilishe diet ya chakula itatusaidia sana...ASANTE SANA NDUGU KWA SHUHUDA HII na namshukuru sana MUNGU kwa UPONYAJI WAKE..

NJIA ZA KUDHIBITI TATIZO LA BAWASIRI Kuna njia mbalimbali za kudhibiti tatizo la bawasiri (hemorrhoids) ambazo zinaweza ...
23/05/2023

NJIA ZA KUDHIBITI TATIZO LA BAWASIRI

Kuna njia mbalimbali za kudhibiti tatizo la bawasiri (hemorrhoids) ambazo zinaweza kusaidia kupunguza dalili na kuboresha hali yako. Hapa chini nimeorodhesha baadhi ya njia hizo:

Kubadilisha lishe: Kula chakula chenye nyuzinyuzi nyingi k**a matunda, mboga mboga, na nafaka nzima. Hii inaweza kusaidia kuboresha kazi ya utumbo na kuzuia kuvimba zaidi kwa mishipa ya damu.

Kunywa maji ya kutosha: Kuhakikisha unakunywa maji ya kutosha kila siku inaweza kusaidia kuepuka kuvimba kwa bawasiri. Maji husaidia kulegeza kinyesi na kuboresha utendaji wa utumbo.

Epuka kusukuma wakati wa kwenda chooni: Usijisukume wakati wa kwenda chooni, kwani hii inaweza kuongeza shinikizo kwenye mishipa ya damu ya eneo la bawasiri. Badala yake, jisaidie taratibu na epuka kubaki kwenye choo kwa muda mrefu.

Tumia vidonge vya kufanya kinyesi kiwe laini: Katika baadhi ya hali, daktari anaweza kupendekeza vidonge vya kufanya kinyesi kiwe laini k**a vile fiber supplements au laxatives. Hii inaweza kusaidia kupunguza kuvimba kwa bawasiri na kupunguza maumivu wakati wa kwenda chooni.

Tumia dawa za kutuliza maumivu: Dawa za kutuliza maumivu za aina ya acetaminophen au dawa za kupaka zinazotumia anesthetics zinaweza kusaidia kupunguza maumivu na kuvimba kwa bawasiri.

Tumia vidonge au mafuta ya kupunguza kuvimba: Daktari anaweza kuagiza dawa za kupunguza uvimbe (anti-inflammatory) k**a vile vidonge au mafuta ya steroidi ambayo yanaweza kupunguza uvimbe wa bawasiri.

Kutumia baridi au joto: Kutumia kompresi ya baridi au kuoga sehemu ya chini ya mwili kwa maji ya uvuguvugu inaweza kusaidia kupunguza maumivu na kuvimba.

Ni muhimu kuzungumza na daktari wako ili kupata ushauri sahihi na matibabu yanayofaa kulingana na hali yako ya bawasiri. Ikiwa dalili zako ni mbaya au zinaendelea kuwa mbaya, daktari wako anaweza kupendekeza matibabu zaidi k**a upasuaji au matibabu ya kimatibabu ya bawasiri. Wasliana kwa 0672441815

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKEBawasiri ni niniHuu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa...
23/05/2023

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Bawasiri ni nini
Huu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk

SABABU YA BAWASILI

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.Uzito kupita kiasi(Overweight)

Ujauzito
3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali

4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu

5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).

6.Kujisaidia Choo Kigumu.

Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya Tumbo
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni

AINA 2 ZA BAWASIRI

BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI

Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵
HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.

HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda

HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI

1.Upungufu wa damu mwilini

2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

4.kupungukiwa nguvu za kiume

5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6.Kupata tatizo la kisaikolojia

Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
8.Mwili kudhoofika mwili na kinga kupungua

TIBA YA BAWASILI

Mara nyingi Tiba ilio zoeleka kwa hospital ni upasuaji

Ila tuna bidhaa ambazo zimewasaidia wengi zenye uwezo wa kuondoa bawasili bila upasuaji

Kwa maelezo zaid wasiliana nasi kupiti 0675330382

23/05/2023

♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐

▶️ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (A**s)
Hali hii humfanya mtu ajisikie hali ya kukera sana na wakati mwingine maumivu makali.

▶️ Hali ya kukera hutokea kipindi Mgonjwa anapojaribu Kwenda chooni kupata haja kubwa ila kwa wengine hali hii huwafanya wapate maumivu kila wakati na kujisikia vibaya sana na kushindwa kufanya mambo mengine.

▶️ Mara nyingi bawasiri huendana na kupata Choo Chenye damu.

▶️ Kawaida eneo la haja kubwa lina mishipa ya damu mingi aina ya VEINS na mishipa hii IPO juu juu sana. Sasa presha inapoongezeka eneo hili mishipa hiyo hupasuka na hujitokeza kwa nje hivyo huonekana k**a nyama zimejitokeza.

▶️ Ingawa wakati mwigine BAWASIRI hujitokeza ndani kabisa ya njia ya haja kubwa hivyo hufanya bawasiri iwe ya ndani bila nyama kutokea nje ya haja kubwa MTU atajisikia hali ya kukera bila nyama kutoka nje kwa hiyo hii inaitwa BAWASIRI ya ndani.

▶️ SABABU ZA BAWASIRI KUTOKEA🕳

1⃣KUPATA CHOO KIGUMU.

▶️ Choo kigumu huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo husababisha bawasiri kutokea
Hii hutokea zaidi kwa watoto wadogo na watu wenye constipation au wenye tatizo la kutopata choo.

2⃣UZAZI (MIMBA).

Huongeza presha eneo la nyonga hivyo huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo huongeza nafasi ya kupata bawasiri

3⃣KITAMBI (OBESITY).

Pia huongeza presha eneo la nyonga, hii hupelekea huongeza presha eneo la haja kubwa.

4⃣KUNYANYUA VITU VIZITO🕳

Pia huongeza presha eneo la haja kubwa,pia huongeza nafasi ya kupata bawasiri

▶️ Mara nyingi watu wengine hufanyiwa UPASUAJI kutatua tatizo hili kwa jinsi lilivyo.

▶️ TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI🕳

▶️ Zipo tiba za aina nyingi katika kutatua ugonjwa huu! Ila kwetu sisi tunatumia njia mbadala ambayo huondoa tatizo hilo Kabisa na hutakuwa na haja ya kufanyiwa upasuaji. KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NAMI KWA 0675 330 382

Tatua changamoto za kiafya kwakutumia virutubisho visivyo na kemikali

BAWASIRI (kinyama Haja Kubwa)Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa...
08/05/2023

BAWASIRI (kinyama Haja Kubwa)

Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

DALILI ZA BAWASIR
-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia
-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

ATHARI ZA BAWASIRI

-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume.

OFISI ZETU ZIPO DAR ES SALAAM PIA TUNAFANYA DELIVERY MIKOA YOTE NDANI YA MASAA 24 KWA UAMINIFU MKUBWA
Piga/Chat Whatsapp kupitia namba 0672441815

WATU WANAPONA KILA INAPOITWA LEO.

08/05/2023

Katika mfumo wa chakula kuna bacteria walinzi kitaalamu wanaitwa PROBIOTICS bacteria hawa wanasaidia kumeng'enya chakula na kupambana na bacteria wabaya bacteri hawa wanapopungu kazima utapata dalili zifuatazo

1:Choo kigumu
2:Tumbo kujaa gesi
3:Tumbo kuunguruma n.k

Bacteri wengi hufa kwa sababu y matumizi ya antbiotics na ulaji mbovu

Ndio maana wanawake wengi wanaopata uti sugu na fangasi ya kujirudia wanapotumia antbiotics kwa muda mrefu wanajikuta wanapata tatizo ya upungufu ya hawa bacteria walinzi na kujikuta unapata dalili nilizozieleza hapo juu

Nimewasaidia watu wengi sana kupona bawasiri choo kigumu na gesi tumboni kwa nji salama nicheki kwa 0672441815

08/05/2023

MADHARA YA CHOO KIGUMU NINMENGI BAADHI NI

1:KUPATA BAWASIRI
2:KUCHOKA SANA BILA SABABU
3:KUPUNGUA KWA KINGA YA MWILI
3:KUHARIBIKA KWA NGOZI KUPTA CHUNUSI ZISIZOISHA
4:KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME
5:KUVURUGIKA KWA HOMONI KWA WANAWAKE NA KUPATA MAAMBUKIZI YA BACTERIA WABAYA UKENI k**a fangasi na uti sugu
Nimewasaidia watu wengi sana kupona bawasiri na choo kigumu kwa njia salama nicheki

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afyabora tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afyabora tz:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram