18/09/2022
MADHARA YAPI MTU MWENYE MAUMIVU YA MGONGO, MAGOTI NA VIUNGO
K**a magari na vifaa vingine vinavyo zunguka kwa kutumia vilaishi mbalimbali pale vinapokosa ubora wa kulainishwa huleta shida katika utendaji kazi wake na kila tatizo huwa linatengemeana na kiasi gani limeathiri. hata katika upande wa mifupa kwa mwanadamu na joints kwa ujumla pale inapokosa ubora mwathirika hupatwa na moja ya changamoto k**a zifuatazo;
i. Kukosa uwezo wa kihisia. Asilimia kubwa mtu anapopatwa na changamoto za mifupa au kwenye maungio ya aina yoyote swala la tendo la ndoa au kihisia kimapenzi hupotea na muda mwingine hujawa na hasira za ajabu ajabu bila kujari au bila hata yay eye mwenye kujua k**a ana hasira.
ii. Ulemavu. Kadiri mtu anapokuwa anaendelea kuzeeka k**a tayari ana maumivu ya viungo ni kirahisi kabisa kuja kuwa mlemavu wa viungo na wengine hushidwa kutembea au kuinama hasa pale anapofikia umri wa kuanzia miaka ya 50+ na wengine huanza kutembelea fimbo kumbe ni tatizo tu la kutokuwa na mifupa imara na iliyopoteza ubaora wake.
iii. Kansa ya mifupa au wepesi wa uzito wa mifupa. Mfupa au mifupa inatakiwa kuwa na uzito ulio standard lakini kuligana na changamoto za hapa na pale pamoja na utumiaji wa madini ya fluoride kwa wingi kutoka kwenye dawa za meno na kwenye maji na kutokupata vitamin D ya kutosha kutoka kwenye vyakula mbalimbali mifupa ya mwanadamu huadhirika na inakuwa kirahisi kuvujika n ahata ikivunjika vi vigumu au huchukua muda mrefu kujiunga na kuwa mhanga wa ugonjwa wa mifupa.