Uzazi.com_tz

Uzazi.com_tz Pata lishe ya watoto | tiba ya Tezi dume bila upasuaji na nguvu za kiume Bofya � Kutupata | � bedsongideon@gmail.com

UVIMBE ( Fibroids) KWENYE KIZAZI  UNAVYO TOKEA NA JINSI GAN  UNALETA MADHARAA....  Kwanza kabisa vimbe hutokea kwenye mf...
28/12/2022

UVIMBE ( Fibroids) KWENYE KIZAZI UNAVYO TOKEA NA JINSI GAN UNALETA MADHARAA....

Kwanza kabisa vimbe hutokea kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke na uvimbe huo pind ikitokea huwa una leta athari nyingi katika afya ya mwanamke.

AINA ZA VIMBE....
• Kuna Uvimbe unao tokea ndan ya kizazi.
•kuna unaotokea nje ya kizazi.

Sababu ambazo husababisha uvimbe kutokea kwenye mfumo wa uzazi...

🌑historia kwenye familia K**a Kuna mtu alishawahi kupata (Genetic history)

🌑Homones imbalance, hususan hormone ya estrogen ( hii ndio kichocheo wakat wa hedhi ndio hufanya kuta za uzazi kuwa nyembamba kwa maandaliz ya kupokea yai kutungwa,

🌑kuwa na mawazo kupita kiasi(Kuna pelekea mvurugiko wa vichocheo pia)

🌑ukosefu wa vitamin D hupelekea kupata Uvimbe

🌑matumizi ya dawa za kuzuia mimba mfano kitanzi, sindano n.k

Dalili za ugonjwa huu,

🛑 kukojoa Mara kwa Mara, maana Uvimbe hukandamiza kibofu

🛑kutokwa na damu nying wakat wa hedhi na mda mwingne mabonge mabonge ya damu

🛑kupata hedhi katikat ya mwezi na wakat huo huo maumivu ya kiuno

🛑kupata maumivu wakat wa tendo la ndoa

🛑kupata maumivu ya mgongo

🛑kushindwa kubeba ujauzito au ujauzito kunaribika

Uvimbe ukizid Sanaa miguu huvimba,kupungukiwa damu,

Watu walio kwenye hatarii ya kupata ugonjwa huu....

🔴 mwanamke ambae hajawahi kuzaa kabisa

🔴wanawake wanene hususan unene was kujiongezea

🔴wanaopata hedhi mapema

Ni kwann Uvimbe humfanya mwanamke asipate ujauzito.

Pale Uvimbe ukiota kwenye mfuko wa uzazi huweza kuziba mirija inayo safirisha mayai kutoka kwenye o***y kwenda kwenye uterus ( sehem ambapo mtoto hutungwa)..

Na K**a huo Uvimbe usipo ziba mirija bhasi mimba hutungwa na huharibika pia na kutoka,

Matibabu yake....

🔵hupelekwa hospital na kufanyiwa upasuaji na k**a uvimbe ni mkubwa umeathiri sehem kubwa

Huwa anatolewa kizazi kabisa na kubaki bila kizazi. Na huwaga uvimbe unarudia tena k**a hormones zikiwa hajizasawazishwa mwilin.

Wasiliana nami kupata suluhisho la kudumu na kupona uvimbe bila upasuaji... #0689501029

Tulipoanza January 2022 wanandoa wengi waliweka lengo la kupata mtoto.... miezi 3 ya kwanza ilipita bila mafanikio.... m...
05/11/2022

Tulipoanza January 2022 wanandoa wengi waliweka lengo la kupata mtoto.... miezi 3 ya kwanza ilipita bila mafanikio.... miez 6 nayo ikaisha bila mafanikio.... hatimae miez 9 nayo imeisha na hawataki kabisa kutafuta usaidizi wa kitabibu, bali wanasubiri tu siku moja wakilala na kuamka na habari njema....

Guys karibuni Uzazi.com_tz tuwasaidie tibalishe itakayowawezesha kupata mtoto haraka.... Otherwise 2023 might be the same, maana hamuonesh jitihada.... Hata Mungu humpa yule anaejisaidia nae anamsaidia... piga namba #0689501029 tukuhudumie

Wanaume wengi mbegu zao haziwez kutungisha mimba kwa sababu ya upungufu wa virutubisho au ulaji mbaya unaoweza kupelekea...
27/10/2022

Wanaume wengi mbegu zao haziwez kutungisha mimba kwa sababu ya upungufu wa virutubisho au ulaji mbaya unaoweza kupelekea mabadilko ya pH kutoka kuwa Alkaline - tindikali, au mbegu zao kuharibiwa na mfumo kinga wa mwanamke......

Vile vile maambukizi ya ngono k**a Trikomonas, kaswende, tezi dume(prostate) au uvimbe kwenye korodani huathiri uzalishwaji wa mbegu bora(idadi ya mbegu, umri mfupi, mikia mifupi, vichwa butu n.k)

K**a unajarbu mara kwa mara kumpa mkeo ujauzito na hufanikiwi, sulubisho la mbegu zako tunalo piga simu tukudumie.....
#0689501029

MBEGU ZA KIUME....Korodani za mwanaume huzalisha majimaji yaitwayo shahawa(semen), lakini ndani ya maji hayo huwa kuna m...
25/10/2022

MBEGU ZA KIUME....

Korodani za mwanaume huzalisha majimaji yaitwayo shahawa(semen), lakini ndani ya maji hayo huwa kuna manii(sperm) ambazo ni chembeuhai(cells) zinazorutubisha yai la mwanamke na kutunga mimba.....

Shahawa huundwa na vitu vingi sana, ikiwa ni pamoja na VITAMIN B12, VITAMIN C, tindikali ya CITRIC, tindikali ya ascorbic, mafuta yaani fati(protein), vimeng'enya, madini ya zinc, sodiam, sulphur, cooper, calcium, magnessium, sukari ya matunda pamoja na homoni ya prostaglandin....

Muunganiko wa vitu vyote hivi huratibiwa na kemikali mwili (pH) inayokadiliwa kuwa 7.2 hadi 8.0 ambayo kitaalam inaitwa Alkalaini.

11/10/2022

Utunzaji wa Uke na Usafi

Kutunza uke na kulinda afya ya uke ni jambo la muhimu sana kwa mwanamke. Kutokwa na harufu mbaya ukeni ni kiashiria kwamba unaumwa na hauko sawa. Hali hii inaweza kuathiri heshima ya mwanamke na pia mahusiano na mwenza wake.

Harufu mbaya ukeni kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi wa candida. Japo siyo kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la kunuka uke.

K**a wewe muhanga wa tatizo hili basi tambua kwamba kuna njia za asili unaweza kuzitumia ikiwemo lishe na virutubisho na ukarudi katika hali ya kawaida, wasiliana nasi sasaivi kwa kupiga /whatsap #0689501029

MADHARA YA PID KWA WANAWAKE2- KUCHELEWA KUPATA UJAUZITO (UGUMBA)Ugumba ni hali ya kutoshika ujauzito ilhali unashiriki t...
09/10/2022

MADHARA YA PID KWA WANAWAKE

2- KUCHELEWA KUPATA UJAUZITO (UGUMBA)

Ugumba ni hali ya kutoshika ujauzito ilhali unashiriki tendo la ndoa kikamilifu ndani ya miezi angalau mitatu au sita na zaidi.

Wengi wanachanganya ugumba na tatizo la utasa, ugumba ni hali ya kuchelewa kushika mimba lakini unao uwezo wa kushika Mimba, ugumba unatibika.

Utasa ni hali ya kutokuwa na uwezo au sifa za kushika kabisa ujauzito, utasa hauna tiba.

Tafiti zinaonyesha kuwa Wanawake wanaopitia hali ya ugumba ni wale waliowahi kuugua PID zaidi ya mara Moja pasipokujali walitibiwa au la kwani PID huchagia ugumba kwa zaidi ya asilimia 53.

Je wewe umeugua mara ngapi Maambukizi ya PID, je ulitibiwa ukapona vizuri, umetafuta ujauzito na hupati? Karibu tukusaidie .....

Uvimbe katika mlango wa kizazi (Adenomyosis) Adenomyosis ni uvimbe usababishwao na kuota kwa tishu zisizo za kawaida kat...
30/09/2022

Uvimbe katika mlango wa kizazi (Adenomyosis)
 
Adenomyosis ni uvimbe usababishwao na kuota kwa tishu zisizo za kawaida katika mlango wa uzazi. Badala ya kuota ndani ya tumbo la uzazi, tishu hizi huota kwenye mizuli ya tumbo la uzazi....

Dalili zake huwa k**a damu kuganda wakati wa hedhi

Maambukizi katika via vya kizazi au ugonjwa wa PID k**a tulivyokuwa tujifunza siku zote, husababishwa na bakteria ambao huambukiza viungo vya uzazi...

Bakteria hawa wanaweza kuenea kutoka kwenye uke na kuelekea kwenye tumbo la uzazi, vifuko vya mayai au mirija ya uzazi.

Hayo ndio maeneo ambayo huathiriwa sana na maambukizi katika via vya uzazi ikiwa k**a tatizo hilo halitatibiwa mapema.
PID inaweza isionyeshe dalili hapo mwanzo. Lakini baadaye dalili zinaweza kuonekana.

Just drink water...
29/09/2022

Just drink water...

MAZINGIRA YANAYOSABABISHA MAMBUKIZI YA PID KWA URAHISI ZAIDI7- WAKATI AU BAADA YA KUJIFUNGUAUchungu unapochochea, Shingo...
26/09/2022

MAZINGIRA YANAYOSABABISHA MAMBUKIZI YA PID KWA URAHISI ZAIDI

7- WAKATI AU BAADA YA KUJIFUNGUA

Uchungu unapochochea, Shingo ya kizazi hufunguka ili Mtoto aweze kupita, baadaye Shingo hii huanza kurejea kwenye hali yake ndani ya wiki 1-6 japo haiwezi kurudi katika size ya awali kabisa

K**a mwanamke aliyetoka kujifungua hatazingatia usafi sehemu zake za siri, bakteria wa PID wanaweza kuingia kwenye mfuko wa Kizazi na kushambulia hadi kupelekea Muwasho, uchafu na harufu mbaya ukeni

USHAURI |

Unapotoka kujifungua, pendelea kuoga maji ya moto na kula vyakula vya moto mwili upate joto jingi ili uweze kuondosha uchafu wa uzazi kwa haraka ikiwemo bakteria wabaya

MAZINGIRA YANAYOSABABISHA MAMBUKIZI YA PID KWA URAHISI ZAIDI6- MIMBA INAPOHARIBIKAUjauzito mchanga unapoharibika, baadhi...
24/09/2022

MAZINGIRA YANAYOSABABISHA MAMBUKIZI YA PID KWA URAHISI ZAIDI

6- MIMBA INAPOHARIBIKA

Ujauzito mchanga unapoharibika, baadhi ya wanawake hujua na baadhi huwa hawajui kabisa.

Ujauzito wa miezi 1-3 unapoharibika shingo ya kizazi hufunguka ili uchafu utoke, na kisha hubaka wazi takribani siku saba. Lakini k**a Ujauzito ni wa miezi 4-6 Shingo hubaka wazi yapata siku 28.

Katika kipindi hiki wenza hao wanaposhiriki tendo la ndoa na Mmoja wao akawa na bakteria wa PID (hasa mwanaume) anaweza kumwambukiza mke kwani bakteria hao hawatakuwa na kipingamizi Clcha kuingia kwenye mji wa Mimba.

Mwanamke alishapata Maambukizi kipindi hiki, dalili za awali kabisa ni Joto la mwili wake kupanda (101 °F) na kusikia homa kali, tumbo kuvuta, kutokwa na uchafu au harufu mbaya ukeni....

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba #0689501029

1. Unahisi miwasho ukeni lakini unapuuzia2. Ukivua nguo yako ya ndani unakuta uchafu ambao si wa kawaida lakini unaona n...
23/09/2022

1. Unahisi miwasho ukeni lakini unapuuzia

2. Ukivua nguo yako ya ndani unakuta uchafu ambao si wa kawaida lakini unaona ni jambo la kawaida

3. Uchafu unatoka k**a maziwa na muda mwingine rangi zingine,unaoambatana na harufu mbaya lakini unachukulia poa

4. UTI zinakurudia mara kwa mara unaona ni kawaida tu

5. Ukikutana na mwenzi wako unapata maumivu unatoka damu, hauna hisia zozote wakati wa tendo na wala hauchukui hatua yoyote

USIENDELEE KUFANYA HAYO MAKOSA,TAFITI ZINAONESHA KATI YA WANAWAKE 10 WALIOFANYA KOSA 1 KATI YA HAYO,WAMEKUMBWA NA MADHARA YAFUATAYO;

-Kupata kansa ya kizazi hapo baadae
-Kushindwa kupata ujauzito pindi wanapokuwa wanahitaji na hata wakipata unatoka mara kwa mara
-Kushindwa kufurahia tendo la ndoa na kuvuruga mahusiano
-Msongo wa mawazo ambao hupelekea kuvuruga homoni na kusababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kunakoambatana na maumivu
-Tatizo la harufu mbaya na ukavu uliopitiliza

Kwa ushauri na tiba tupigie au whatsap #0689501029

Mwanamke anaweza kubeba mimba kwa urahisi sana Endapo ana sifa Zifuatazo :-Mayai yanakomaa na kupevuka  vizuri -Mirija y...
23/09/2022

Mwanamke anaweza kubeba mimba kwa urahisi sana Endapo ana sifa Zifuatazo :

-Mayai yanakomaa na kupevuka vizuri
-Mirija ya uzazi haikuvimba wala kuziba au kuwa na kakovu
-Mji wa mimba au uterus ipo safi na hauna Vivimbe
-Kizazi hakina uambukizo wa aina yoyote mfano fangasi, UTI, PID
-Homoni zake zimebalance vizuri
-UTE wa Uzazi /OVULATION uwepo katika siku za hatari.

Uwezo wa kupata sifa hizo na kukufanya ubebe mimba upo. K**a una changamoto ya kushika mimba usisite kuwasiliana nasi tukuhudumie.

Call/WhatsApp
#0689501029

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi.com_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Uzazi.com_tz:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram