Afyazetu_tz

Afyazetu_tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afyazetu_tz, Medical and health, .

Hakikisha unampatia mwanao mafuta ya samaki k**a unapenda awe active ,,aboreshe afya yake ya mifupa ,,moyo,,macho na ngo...
19/12/2023

Hakikisha unampatia mwanao mafuta ya samaki k**a unapenda awe active ,,aboreshe afya yake ya mifupa ,,moyo,,macho na ngozi.

Whatsapp,,call
#0676628278

24/10/2022

Congratulations 🎊 👏 on you engagement 💍 ❤❤❤🔥

12/10/2022

Nakukaribisha mpendwa wangu tukufungie zawadi yako ya thaman kwa umpendaye
tupo kwa ajili yako

❤😘

Whatsapp,,call
#0764512666

12/10/2022

Nakukaribisha sanaa mpendwa wangu tukufungie zawadi yako ya thaman kwa umpendaye tupo kwa ajili yako

❤😘

Whatsapp,,call
#0764512666

Follow page yetu

12/10/2022

Nakukaribisha sanaa mpendwa wangu kwa ajili ya kukufungia zawadi yako ya thaman kwa umpendaye
Tupo kwa ajili yako

❤😘

Whatsapp,,call
#0764512666

Follow page yetu

12/10/2022

Before maandalizi ya kufunga zawadi

12/10/2022

Maandalizi ya kufunga zawadi

12/10/2022

Maandalizi ya kumfungia mt3ja wetu zawadi yake hii ni before

Je mwanao amekuwa akipata choo kwa shida au anapata choo kigumu njoo nikupatie suluhisho Wasiliana nam kwa Whatsapp,,,ca...
10/09/2022

Je mwanao amekuwa akipata choo kwa shida au anapata choo kigumu njoo nikupatie suluhisho

Wasiliana nam kwa
Whatsapp,,,call
#0676628278

PRESHA :Ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu,,msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mba...
28/01/2022

PRESHA :Ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu,,msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za
Mwili.

PRESHA YA KUPANDA
Ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo
Presha itaitwa kuwa ya kupanda ikiwa juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo NI 120\80mmHg. Presha yaweza kupanda mpka 240/120mmHg.

SABABU ZA KUPANDA KWA PRESHA
✍️Utumiaji wa chumvi nyingi kwenye chakula
✍️Unywaji wa pombe Kali na Uvutaji wa sigara uliokisiri
✍️Msongo wa mawazo na kutokufanya mazoezi
✍️Kurithi
✍️Uzito mkubwa ,unene na kitambi

DALILI ZA PRESHA YA KUPANDA
✍️Kushikwa na kizunguzungu
✍️ Kichefuchefu
✍️Tumbo kujaa gesi na kutapika kusiko kwa kawaida
✍️Kuvimba /kujaa kwa Miguu na MIKONO
✍️Kutokuona vizuri

MADHARA
✍️Uvimbe kwenye Kuta za vishipa vya damu ,,kuziba kwa mishipa ya damu (artery)inayopelekea shambulio la moyo (heart attack)
✍️Moyo kushindwa kusukuma damu
✍️Kiharusi (strock)
✍️Kuharibika kwa ubongo

Mwisho na ASANTENI🤝

K**a unachangamoto ya presha ya kupanda tiba IPO wahi mapema kabla madhara hayajakukuta

Piga au WhatsApp
#0676628278
#0676628278

Hellow my beautiful people
22/01/2022

Hellow my beautiful people

Medical & health

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afyazetu_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram