13/02/2023
P I D
PID NI NINI?
⏹️PID NI UFUPISHO WA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE
NI MAAMBUKIZI KATIKA NJIA ZA UZAZI WA MWANAMKE
🟥PID: ni ugonjwa hatari sana ambao unaonekana kuwa tishio zaidi katika afya ya uzazi wa mwanamke kutokana na athari zake.tatizohili limewakumba wanawake wengi na baadhi yao hawajui njia gani zinapelekea kupata maambukizi haya
PID hushambulia na kuathiri nyama ya mfuko wa UZAZI (endometrium) .Hali hii kitaalamu hujulikana ENDOMETRITIS
pia PID huathiri shingo ya kizazi (cervix) .hali hii kitaalamu hujulikana k**a CERVICITIS
Pia huathiri mirija ya mayai (Fallopian tubes) hali hii kitaalamu hujulikana k**a SALPINGITTIS
🟥 BAKTERIA WANAOSABABISHA PID
pamoja na kuwa kuna vimelea wengi wanaosababisha PID lakini wapo ambao ndio maarufu zaidi duniani wanaoongoza kwa kusababisha ugonjwa wa PID.bakteriahao ni
>NEISSERIA GONORRHOEA
>CLAMYDIA TRACHOMATIS
Bakteria hawa huingia katika mfumo wa uzaz kupitia uke
🟩 SABABU ZINAZOPELEKEA KUPATA PID
▶️ NGONO ISIYO SALAMA
Hapa inakusudiwa kuwa na mahusiano ya kimapenz yasiyokuwa na uaminifu ambayo yanaweza kusababisha kuambukizwa vimelea vya PID
Mfano mwanamke mwenye mahusiano na mwanaume zaidi ya mmoja yupo hatarini kupata ugonjwa huu
▶️UTOAJI MIMBA KIHOLELA (Abortion) NA KUHARIBIKA KWA MIMBA (miscarriage)
Hali hizi zote mbili zinapelekea mwanamke kupata maambukizi katika mfumo wa uzaz kwa urahisi kutokana na hali inayopatikana baada ya kutoka mimba na hasa asiposafishwa vizuri inakuwa rahisi bakteria kuingia na kuanza kukuathiri hivyo tunamshauri mwanamke ikitokea mimba kuharibika afanye jitihada kufika hospital ili asafishwe kwa haraka.
▶️ MATUMIZI YA VIPANDIKIZI NDANI YA UTERUS (IUCD)
Mwanamke anayetumia vipandikizi k**a njia ya uzazi wa mpango huyu pia yupo katika risk ya kupata vimelea vya PID kwa urahisi zaidi
▶️KUPITIA DAMU YENYE VIMELEA VYA PID
Hapa hasa hasa katika nyakati za kujifungua (POSTPARTUM) PERIOD) ikiwa kuna kuchangia vifaa baada ya kujifungua Kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa vimelea vya PID
▶️KUKAA NA UTI & FANGASI KWA MUDA MREFU
Hali hii inatokea kwa mwanamke ambaye amekaa na infections hizi za UTI au fangasi kwa muda mrefu anakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya pid kwa sababu fungus zinapelekea kuharibu na kuua bakteria wa ulinzi katika uke hivyo kupelekea kupata maambukizi kwa urahisi.
🟩 DALILI ZA PID
@ Kutokwa na uchafu ukeni mithili ya maziwa mtindi
Utoko huu mara nyingi huwa na harufu mbaya
@ kupata miwasho ukeni
makali ya tumbo chini ya kitovu
@ maumivu ya mgongo/kiuno
wakat wa kukojoa
damu bila mpangilio wakati wa hedhi
wakati wa tendo la ndoa
hamu ya tendo la ndoa
kuwa mkavu
kuharibika (miscarriage)
fulani kuhisi kichefuchefu na hata kutapika
homa
🟩 MADHARA YA PID
⏹️Saratani ya shingo ya kizazi
⏹️Mimba kuharibika
⏹️ Kutokushika ujauzito
⏹️ Kuvurugika kwa hormones
⏹️Kupoteza hisia za kushiriki tendo la ndoa
⏹️ Kuziba mirija ya uzazi
⏹️ Kusababisha uvimbe
🟩NJIA ZA KUJIKINGA NA PID
Epuka sababu zilizotajwa mwanzoni ambazo husababisha kupata maambukizi ya pid
USHAURI
Mwanamke uonapo dalili miongoni mwa dalili zilizotajwa wahi matibabu kuepuka madhara makubwa yanayotokana na ugonjwa huu hatari kwa afya yako ya uzazi
🔵MATIBABU
KARIBU UTUMIE RUTI'S POWDER
DAWA YA ASILI YENYE MCHANGANYIKO WA MIMEA TIBA MBALIMBALI
✍️imeandaliwa na Dr.abbas
Ilala Dar es salaam Tanzania
Mawasiliano:⤵️
whatsApp +255748267740
📞+255748267740
✍️ Dr. Abbas
AJAM-HERBAL
WhatsApp group kwa WANAWAKE bonyeza Link hapa chini
https://chat.whatsapp.com/DnoHC2xfdjA5XCSSh29pSD