16/07/2021
FAHAMU MISHIPA NA MISULI INAYOSABABISHA UUME USIMAME K**A MSUMARI
Watu wote tunafaham kuwa uume hauna mfupa ili usimama misuli na mishipa inatanuka baada ya damu kutililika kwenye sehem hizo na kuufanya kusimama.
Pelvic floor muscle Ni msuli ambao umeshikilia Uume ,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu .Ikiwa Ni Dhaifu uume unasimama kwa muda mfupi unalegea hatimaye uume unasinyaa .
Msuli huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo. Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ;
Moja, Bawasili -kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa. Na hili linatokana na kupata choo kigum kwa mda mlefu na kusababisha mishipa midogo midogo iliyopo sehem ya tundu la haja kubwa kupasuka na kutoa damu baadae inaota kinyama sehem hio na ndo tunaiita bawasili
Mbili,Kuvimbiwa (constipation ) tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula Fulani,Basi msuli huu hulegea.
Tatu,Kupata Choo kigumu ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa.
Nne, Kujichua/punyeto.Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea ,na Dalili inaonyesha Wakati wa kutoa mbegu za kiume Yani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka K**a matone ya mvua.Yani zinadondoka tu.
Ikiwa huu msuli wa pelvic floor Ni imara utakuta shahawa zinatoka kwa Kasi na kwa nguvu zinaruka mbali na kwa Presha kubwa .Basi msuli huu ndio hufanya hiyo kazi.
Ukilegea shahawa zinatoka kwa uvivu , zinadondoka tu chini.
Tano, Uzito mkubwa/kitambi pia hulegeza msuli huu.
Hata Wakati wa tendo la ndoa mwanamke akikaribia kufika kileleni misuli hii hutanuka na kusinyaa.
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa au elimu hii, ndio maana shida hii inawasumbua wengi sana na wengine hawajijui k**a wanashida.
SULUHISHO: ●Tumia virutubisho:
Argi+,Vitolize for men na Mult Macca
Pili
●fanya mazoezi
Tatu
●Kula mboga na matunda kwa wingi
Pia maji ya kutosha kwa siku
Ukiyafanya haya ndani ya muda mfupi utaona mabadiliko makubwa sana.
Wasiliana nasi #0745809178