Afya yako mtaji wako

Afya yako mtaji wako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya yako mtaji wako, +254 739762628/0768720416, Dar es Salaam.

Mwanaume unahitaji kuondoa sumu mwilini ili miundombinu ya Mwili wako ifanye kazi vizuri , wanaume wengi wanateseka na u...
09/02/2023

Mwanaume unahitaji kuondoa sumu mwilini ili miundombinu ya Mwili wako ifanye kazi vizuri , wanaume wengi wanateseka na upungufu wa nguvu za Kiume kwa sababu hawana Utaratibu wa kuondoa sumu mwilini Mara kwa Mara. Mwisho wa siku mifumo ya mwili kiutendaji, nguvu za Kiume zinapotea, Choo kigumu, Bawasili na Vidonda vya tumbo vinawasumbua pia. Kutokuondoa sumu mwilini kunawagharimu wengi sana. KARIBU KWA MSAADA ZAIDI, UONDOE SUMU MWILINI🤝 Wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au Piga Simu usaidiwe

FAHAMU ATHARI YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (Constipation) NA JINSI YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU  Choo Kigumu Ni haja kubwa in...
09/02/2023

FAHAMU ATHARI YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (Constipation) NA JINSI YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

Choo Kigumu Ni haja kubwa inayopatikana isiyozidi mara tatu katika wiki au haja kubwa inayoleta shida kutoka kwake na utokaji wake ni mithili ya mavi ya mbuzi (uyabisi) hata k**a inapatikana kila siku. Hali hii inaposhamiri muathirika hupata choo si zaidi ya mara tatu katika kipindi cha mwezi mmoja. Ni moja miongoni mwa matatizo katika mfumo wa kusaga chakula yanayowakumba watu wengi si hapa kwetu Tanzania au Afrika tu bali dunia nzima kwa jumla. Shida ya kupata choo ni hali inayowakabili watu mbalimbali.

CHANZO CHA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (Constipation)
Tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula na kutokujizoesha kujisaidia mara kwa mara pia kula vyakula vilivyokobolewa na matumizi mabaya ya dawa na magonjwa mengine pia na mabadiliko ya homoni mwilini ndio chanzo cha tatizo.

DALILI ZA TATIZO HILI LA KUTOPATA CHOO
Dalili za tatizo hili ni k**a ifuatavyo ÷
👉kupata Homa kali
👉kutapika na kupata vidonda nnje ya haja kubwa
👉kutumia nguvu na Muda mwingi kupata choo
👉ulimi kuwa na utando mweupe na hutoa harufu mbaya
👉kukosa hamu ya kula na tumbo kujaa gesi
👉kutetemeka kwa kuhisi baridi.

MADHARA YA KUKOSA CHOO
Kuna madhara makubwa iwapo hutaamua kupata tiba kwa kupuuzia na kuona ni tatizo la kawaida, madhara hayo ni ÷
👉KUPATA SARATANI YA UTUMBO
👉FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI
👉KUPATA PRESHA NA KUPATA UGONJWA WA INI
👉KUPATA MAGONJWA YA MOYO NK

Usisubiri tatizo liwe sugu na hayo Madhara yakupate itakugharimu Sana, anza utatuzi Mapema.

SULUHISHO
Tuma ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda WhatsApp namba 0673720416 au piga Sim usaidiwe Mapema

MJAMZITO YEYOTE  NI MUHIMU APATE HIKI KIRUTUBISHO KWA AFYA YA UBONGO WA MTOTO. Je! Unamfaham Mama MJAMZITO yeyote huyo m...
09/02/2023

MJAMZITO YEYOTE NI MUHIMU APATE HIKI KIRUTUBISHO KWA AFYA YA UBONGO WA MTOTO. Je! Unamfaham Mama MJAMZITO yeyote huyo mtaani? Wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au Piga Simu usaidiwe mapema.

Ili uchelewe kufika kileleni kuna mambo Matatu lazima uyazingatie. Unapopata Dozi yako ya VIRUTUBISHO Leo VITOLIZE FOR M...
26/01/2023

Ili uchelewe kufika kileleni kuna mambo Matatu lazima uyazingatie. Unapopata Dozi yako ya VIRUTUBISHO Leo VITOLIZE FOR MEN lazima nikufundishe hayo mambo matatu. Na kila utayeingianae kwenye mahusiano lazima akupe heshima kubwa kuliko wote aliowahi kukutananao. Bajeti yako imefika kiasi gani ili nikupe ofa uanze kujiimarisha?🔥🔥🔥Usichelewe hadi changamoto iwe kubwa. Wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au Piga Simu usaidiwe

Kwanini uendelee kuaibika mbele ya Mpenzi wako, tatua changamoto yako ya nguvu za kiume mapema kabla haijawa sugu uepuke...
18/01/2023

Kwanini uendelee kuaibika mbele ya Mpenzi wako, tatua changamoto yako ya nguvu za kiume mapema kabla haijawa sugu uepuke kudharirishwa kwa MARAFIKI wa mpenzi wako. Wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au Piga Simu usaidiwe mapema.

11/01/2023

Aiseeee mlioanza dozi ya virutubisho, motoooo ushaanza kuwaka chumbaniii??🔥🔥🔥🔥 Usichelewe hadi changamoto ya nguvu za kiume iwe kubwa wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA kwa WhatsApp 0673720416 au Piga Simu /tuma ujumbe wa kawaida neno AFYA usaidiwe. Nawewe uuwashe moto chumbani. Ujenge heshima kwa mpenzi wako, ili usije ukasaidiwa na wengine kfurahisha mpenzi wako Wahi sasa kabla changamoto haijawa kubwa.

11/01/2023

🔥🔥🔥NIAMBIE LEO NI SIKU YA NGAPI TANGU UANZE KUITUMIA.Kama ni zaidi ya siku saba nipe matokeo uliyoyaona ndugu yangu🤝 wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au Piga Simu usaidiwe/tuma ujumbe wa kawaida neno AFYA ili utatue changamoto ya nguvu za kiume na usiaibike mbele ya mpenzi wako.

Damu ndio kila kitu kwenye usimamaji wa uume, hormones Ni kichocheo kwenye usimamaji na utanukaji wa uume, Neva za faham...
10/01/2023

Damu ndio kila kitu kwenye usimamaji wa uume, hormones Ni kichocheo kwenye usimamaji na utanukaji wa uume, Neva za faham ndio kitu kinachounganisha hisia, Misuli ndio kitu kinachohifadhi nguvu na msuguano wake kuleta utamu. Aiseee vijana wengi hawana ELIMU YA SAYANSI YA TENDO LA NDOA ndio maana Wanaharibu mifumo yao ya uzazi Katika Umri ambao haukustahili kuwa na udhaifu huo. Unaweza kuanza na dozi kwa virutubisho lishe asilia vya *Arg plus,Multimaca,naturemin au Vyote kwa pamoja* Utapewa ofa ya ELIMU ya bure. Wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au Piga Simu/tuma ujumbe wa kawaida usaidiwe

Watafiti walifanya mahesabu na kubaini kuwa katika miaka ya 1970, wanaume walikuwa na wastani wa uzalishaji wa seli za u...
27/12/2022

Watafiti walifanya mahesabu na kubaini kuwa katika miaka ya 1970, wanaume walikuwa na wastani wa uzalishaji wa seli za uzazi milioni 101 kwa mili lita ya majimaji ya mbegu za uzazi . Wastani huo umepungua hadi milioni 49 katika miaka ya hivi karibuni.
-
"Uwezo wa kutungusha mimba unapungua," anasema mtaalamu wa afya ya uzazi ya wanaume Moacir Rafael Radelli.Ni tatizo katika dunia nzima na wataalamu wanaeleza sababu mbalimbali ikiwemo kuweka kompyuta kwenye mapaja na kuwa na uzito ulipitiliza pamoja na matumizi ya vilevi na dawa za kulevya.
-Ulaji mbovu
-punyeto
-msongo wa mawazo.
Wasiliana nami WhatsApp 0673720416 tuma ujumbe neno AFYA au piga simu usaidiwe

Wasiliana nami WhatsApp 0673720416 tuma ujumbe neno AFYA au piga simu usaidiwe
27/12/2022

Wasiliana nami WhatsApp 0673720416 tuma ujumbe neno AFYA au piga simu usaidiwe

Wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au tuma sms au piga simu usaidiwe
26/12/2022

Wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno AFYA WhatsApp 0673720416 au tuma sms au piga simu usaidiwe

Nervours system Vs reproductive system;Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva(Nervous System),*  *Ambapo katika ...
02/12/2022

Nervours system Vs reproductive system;Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva(Nervous System),*
*Ambapo katika mifumo hii kuna mfumo mkuu, central nervous system(ubongo na uti wa mgongo) na pia kuna mfumo wa pembezoni ambao ufanya kazi za mwili mbali na ubongo na uti wa mgongo (peripheral nervous system)* *Mfumo huu wa pembezoni hujumuisha kazi za misuli, mapigo ya moyo,na kadhalika mifumo hii ufanya kazi kwa kusaidiana mfano unapopata wazo la kufanya mapenzi mfumo mkuu unasafilisha tarifa kutoka kwenye ubongo kupitia uti wa mgongo mpaka kwenye mfumo wa uzazi hisia zakufanya mapenzi zinaanza kuzalishwa*
*Inapotokea mifumo iyoo imeharibika tarifa zitakuwa azisafirishwi k**a inavyotakiwa, chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume uanza kuzalishwa,* *Mwanaume tunapokushauri kutumia virutubisho rishe ili kusaidia kujenga iyo miundo mbinu ya nevar na mfumo wa uzazi,tatizo la nguvu zakiume ni lakimfumo kadri unavyochelewa kuanza dozi unazidi kualibu zaidi mifumo,je upo tayari kuanza dozi siku yaleo?* kwa mawasiliano tuma ujumbe WhatsApp neno AFYA +254 739762628 au piga simu 0768720416 usaidiwe

Address

+254 739762628/0768720416
Dar Es Salaam

Telephone

+255673720416

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako mtaji wako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram