AFYA YAKO NI MTAJI

AFYA YAKO NI MTAJI Dr. Albertus🥼
Wasiliana Nasi WhatsApp/Call 🇹🇿0765119695💬
Kwa Matibabu ya uhakika💯

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Maumivu Ya Mifupa Na Maungio bila upasuaji*Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa ...
30/08/2025

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Maumivu Ya Mifupa Na Maungio bila upasuaji*

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu.

Mbaya Zaidi limewaondolea watu ule uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi.

Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili usipolitibu mapema linaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a na wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari Nzuri kwako.

Nimekuandalia Tiba Maalum kwa Bei nafuu itakayokuwezesha kutatua changamoto yako pasipo upasuji.
Ukiwa na changamoto wasiliana nasi Kwa
Sms
Whsp
Piga📞
🇹🇿0765119695

TATIZO LA KIUNO NA MGONGO.HUSABABISHWA na vyanzo mbalimbali ikiwemo.🍓KULIKA na KUSAGIKA Kwa baadhi ya  PINGILI  kwenye U...
30/08/2025

TATIZO LA KIUNO NA MGONGO.

HUSABABISHWA na vyanzo mbalimbali ikiwemo.
🍓KULIKA na KUSAGIKA Kwa baadhi ya PINGILI kwenye UTI wa mgongo.
🍓Matumizi ya dawa za Muda mrefu K**a dawa za SUKARI ,TB na kufubaza virusi VYA ukimwi.
🍓Kupungua na kuisha Kwa madini na vitamini zinazoimarisha na kujenga mifupa.
🍓 Aina ya KAZI mtu anayofanya ikiwemo kukaa ,kusimama Muda na kunyanyua mizigo mizito kupita kiasi.
🍓Kulalia godoro lenye mabonde au mkao MBAYA Kwa Muda mrefu.
🍓Kuisha Kwa Ute na KUSAGIKA Kwa gegedu kwenye maungio.

MADAHARA YA TATIZO.👌👌
👌 Kushindwa kushiriki tendo takatifu la ndoa😭😭.
👌Kushindwa kufanya KAZI za kawaida za Kila siku.
👌 Kushindwa kutembea Muda mrefu.
👌 Maumivu MAKALI na Kukosa usingizi.
👌Kupata Ganzi kwenye viungo ambayo Kwa muda mrefu kupotea Mawasiliano ya Baadhi ya viungo.
👌Kuweka usugu wa TATIZO.
👌 Kuathiri pingili zingine na kuhama Kwa PINGILI.
👌 Kupata mawazo hivyo hupelekea Kupata Magonjwa mengine K**a pressure na vidonda VYA Tumbo.

TIBA.
Pata suluhisho la kudumu la TATIZO lako Kwa haraka uhakika kutoka kwangu wasiliana no.
🇹🇿0765119695

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255765119695

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YAKO NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram