Mwalimu Wa Afya

  • Home
  • Mwalimu Wa Afya

Mwalimu Wa Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwalimu Wa Afya, .

DALILI HATARI ZA KISUKARI NA TIBA YAKE.•Kukojoa mara kwa mara:Jee, umekuwa na tabia ya kwenda kupata haja ndogo mara kwa...
11/03/2022

DALILI HATARI ZA KISUKARI NA TIBA YAKE.

•Kukojoa mara kwa mara:
Jee, umekuwa na tabia ya kwenda kupata haja ndogo mara kwa mara? K**a jibu ni ndiyo, basi figo zako sasa haziwezi kuirudisha glucose kwenye mfumo wa damu na badala yake zinachukua maji kutoka kwenye damu na kusababisha kibofu kijae mara kwa mara.
•Kiu Isiyoisha:
K**a unakojoa mara kwa mara, utapata kiu isoisha kwa sababu mwili unahitaji kurudisha maji uliyopoteza kwenye mkojo.
• Njaa Kali:
K**a isulin yako haifanyi kazi au k**a huna insulin, mwili wako unakosa glucose ya kuupa nguvu. Katika kutafuta njia nyingine ya kupata nguvu, mwili utakuwa na njaa ili uupatie chakula.
• Kupungua uzito kusiko kawaida:
Hili huwatokea zaidi wagonjwa wa Type 1 Diabetes kwa sababu kwa kukosa insulin na seli kukosa chanzo cha kupata nguvu, mwili huanza kuvunjavunja misuli na kuyeyusha mafuta ya mwili ili upate nguvu hiyo hali inayochangiwa zaidi na tabia ya kisukari cha aina hiyo kujitokeza kwa ghafla.
• Uchovu wa mwili:
Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu, uchovu hutokea.
• Hasira:
Hasira zinaweza kuwa ni sababu ya mwili kukosa nguvu.
• Kutoona vizuri:
Ugonjwa huu husababisha mtu kushindwa kuviona vitu vizuri. Tatizo hili hutibika lakini mara nyingine hali huweza kuwa mbaya kiasi cha kuwa na tatizo la kudumu au kupata upofu.
• Vidonda kutopona vizuri au haraka:
Unapokuwa na sukari nyingi katika damu, uwezo wa mwili kuponya vidonda hupungua.
• Magonjwa ya ngozi:
Mwili wenye sukari nyingi ndani ya damu huwa na uwezo mdogo sana wa kujiponya kutokana na maambukizi ya wadudu. Wanawake wenye kisukari huwa na maambukizi zaidi na hupata shida kubwa ya kuponya maambukizi ya sehemu nyeti za miili yao.
• Kuwashwa kwa ngozi:
Kuwashwa kwa ngozi mara nyingine ni dalili ya kuwa na kisukari.
• Kuwa na fizi nyekundu au zilizovimba:
Fizi nyekundu na/au zilizovimba huweza kuwa kuwa ni dalili ya kuwa na ugonjwa wa kisukari, mara nyingine meno hulegea.
• Uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa:
Hili ni tatizo hasa la wanaume wenye umri unaozidi miaka 50, ambapo mara nyingi watakosa uwezo wa kushiriki tendo
K**a una dalili hizi (Piga 0764777110) tukuhudumie maana madhara yake ni makubwa mno.

Njoo tukuhudumie, bawasili inatibika bila upasuaji.
03/03/2022

Njoo tukuhudumie, bawasili inatibika bila upasuaji.

SULUHISHO LA KISUKARI.kwa wale  wenye shida ya KISUKARI, bidhaa hii so tu Kwamba inaponya sukari, bali pia inazuia tatiz...
01/10/2021

SULUHISHO LA KISUKARI.
kwa wale wenye shida ya KISUKARI, bidhaa hii so tu Kwamba inaponya sukari, bali pia inazuia tatizo la sukari na kurejesha baadhi ya mifumo mwilini iliyoathiriwa na KISUKARI.

MADHARA YA PRESSURE YA KUPANDA.Pressure ya kupanda (hypertension), ndio chanzo kikubwa cha:1. Moyo kutanuka (moyo mpana)...
28/07/2021

MADHARA YA PRESSURE YA KUPANDA.
Pressure ya kupanda (hypertension), ndio chanzo kikubwa cha:
1. Moyo kutanuka (moyo mpana)
2. Kiharusi (Stroke)
3.Shambulio ya Moyo (heart attach)
4. Figo kushindwa kufanya kazi(renal failure)
5. Ganzi mwilini
6. Miguu kuwaka moto na kuvimba.
7. Upungufu wa nguvu za kiume kwa wababa.
8. Upofu.

K**a una tatizo la presha, usilipuuzia njoo upate MATIBABU haraka kabla ya kukusababishia na kukuletea MADHARA makubwa ambayo ki msingi utayatibu kwa gharama kubwa.

(Piga 0764777110).
Mwalimu Wa Afya.

21/04/2021

TIBA YA MAUMIVU YA MGONGO, KIUNO, MIGUU, NYONGA, NA MAUNGIO MENGINEYO BILA MADHARA WALA UPASUAJI (0764777110).

Yawezekana ni wewe au ndugu yako, rafiki au mtu wako wa karibu analalamika kuuma kwa MAUNGIO k**a:
✓MAGOTI(Knee Joint), ✓NYONGA,
✓BEGA(Shoulder Joint) ✓KIUNO na
✓MGONGO.

Kitaalamu ni kwamba katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao (synonvio fluid) ambao kazi YAKE ni kulainisha MAUNGIO.
Pia kuna kitu k**a sponji au plastiki ya asili iitwayo cartilage au (gegedu) ambayo Kazi YAKE ni kuzuia mfupa na mfupa visisagane.
Hivyo plastiki au sponji (cartilage), hii kwa kushirikiana na ute-ute juu yake, ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salaam salimini, kiasi kwamba unaweza ukakunja mguu, ukainama na kufanya shughuli yoyote bila shida wala maumivu.

Kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea, virutubisho asilia vinavyosaidia kutengeneza ute ute (synovial fluid) vinapungua na hatimaye kuisha kabisa kadri umri unavyoongezeka.
Hivyo ute-ute unapoisha katikati ya viungo na hatimaye gegedu(cartilage) kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana.
Hiii kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS na husababisha maumivu makali kwenye maungio (joints) k**a vile, magoti, nyonga na mgongo.

CHANZO_CHA_TATIZO
•Umri
•Uzito
•Kuumia Kwa Kupata ajali
•Kurithi (genesis)

Endapo usipotibu tatizo hili kuna uwezekano mkubwa wa kufanyiwa upasuaji na kuwekewa cartilage za bandia ambapo kimsingi ni gharama kubwa sana na k**a ni mgongo unaweza usitembee kabisa.

DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA
✓maumivu kwenye magoti, nyonga na mgongo.
✓Kushindwa kukunja goti au kuinama.
✓Kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
✓Kusikia milio ya mifupa KUSAGANA kwenye maungio k**a magoti.
✓Kusikia maumivu makali wakati wa kuinama.
✓Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguu.

MATIBABU
Kwa hospitalini utapewa dawa au kufanyiwa mazoezi (physiotherapy) ambapo hupunguza au kutuliza maumivu kwa muda tu na baadae maumivu hubakia pale pale kwa sababu hazisaidii kuongeza ute ute wala gegedu.
Badala yake huishia kufanyiwa upasuaji kwa gharama kubwa.

LAKINI:
Habari njema ni Kwamba, sisi tunazo dawa (NI VIRUTUBISHO) asili kabisa zinazoongeza ute ute kwenye maungia na kuziponya cartilage au sponji zinazozuia mifupa kusagana na huondoa maumivu kwenye maungio kabisa.
-Dawa hiii imetengenezwa kwa gluceseamine na chondroitin ambavyo ni virutubisho vinavyosaidia kurejesha ute-ute (synovial fluid) na gegedu (cartilage) iliyolika au kusagika.
-Huondoa kabisaa maumivu ya maungio yaliyokithiri
-Ni nzuri sana kwa MTU mwenye TATIZO LA ATHRITIS.
(Piga 0764777110)

*CHEMBE YA MOYO*Chembe ya moyo ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana kwa sasa. cheembe ya moyo ambayo kwa jina la kit...
31/03/2021

*CHEMBE YA MOYO*

Chembe ya moyo ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana kwa sasa. cheembe ya moyo ambayo kwa jina la kitaalamu inaitwa angina pectoris hutokea pale ambapo moyo unakua unapata hewa ya oxygen kidogo tofauti na mahitaje yake. hii hali inaweza kusababishwa na aidha kuziba kwa mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye misuli ya moyo wenyewe na kusababisha misuli hiyo isipate damu ya kutosha inayobeba oxygen hivyo kusabaisha upungufu wa oxygen au pale ambapo moyo unakuwa unafanya kazi kubwa sana ya kusukuma damu kiasi kwamba kiwango cha oxygen ambacho moyo huo unapata kinakua hakitoshi

*WATU AMBAO WAKO KWENYE HATARI YA KUPATA CHEMBE YA MOYO*
▪️wanaovuta sigara
▪️wanene kupita kiasi
▪️watu wenye kisukari
▪️Shinikizo la damu

*DALILI ZA CHEMBE YA MOYO*
Dalili kubwa ya chembe ya moyo ni maumivu katikati ya kifua ambayoa yanakua yantembea kuelekea mpaka kwanye mkono wa kushoto

ZINGATIA: K**a una tazizo hilo au kuna mtu unamfahamu ana hilo tatizo, fika ofisini kwa matibabu au piga 0764777110 kwa maelekezo zaidi.

25/02/2021

USHAURI JUU YA TEZI DUME NA TIBA YAKE ASILIA (0764777110, 0653777110).
Uvimbe wa tezi dume sio ngiri wala mshipa wala busha
ni uvimbe wa tezi inayozunguka njia ya mkojo.

Tezi dume ikivimba huathiri mfumo wa mkojo kwa sababu hubana njia ya mkojo.... hivyo mkojo unapita kwa shida na unabakia kwenye kibofu(urine rention)
MADHARA YA UVIMBE WA TEZI DUME NI.
1. KUHARIBIKA KWA FIGO NA INI.2. KUATHIRIKA KWA INI KWA SABABU YA SUMU NYINGI KUBAKI MWILINI.
3,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
4 CANCER YA TEZI DUME(hatari kubwa zaidi ya uvimbe wa tezi dume ni kansa ya tezi dume(peostate cancer)
za usiku.

ZIFUATAZO NI DALILI ZATEZI DUME.

1.Kukojoa mara nyingi wakati wa usiku Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE UNA TEZI DUME ILIYOVIMBA.
TIBA ASILIA NI PROSTATE RELAX
Ni mitishamba ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana maelezo na ushauri na kupata huduma piga(0764777110, 0653777110)

25/02/2021

(0764777110)

Bila shaka umesha msikia ndugu yako, rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuuma kwa MAUNGIO k**a (Knee Joint), , (Shoulder Joint) NA . Wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya (Ankle Joint)

Inasemekana kwamba kuna zaidi ya watu bilioni nne duniani wana sumbuliwa na matatizo ya viungo( MAUNGIO)
Ambapo wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6%
Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao synonvio fluid ambao kazi YAKE ni kulainisha MAUNGIO pia kuna kitu k**a sponji kiitwacho catilage (gegedu) ambayo Kazi YAKE ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salaam salimini
TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS(OA) hutokea pale ambapo gegedu(cartilage) kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu

•Umri
•Uzito
•Kuumia Kwa Kupata ajali
•Kurithi (genesis)
•Wafanya mazoezi/wana michezo. .
na kuwekewa za bandia ambapo kimsingi ni gharama kubwa sana

MATIBABU




-Huongeza GLUCOSE AMINE ambayo huunda upya cartilage(sponji zinazolinda mifupa isisagane
-Huongeza CHRONDROITIN ambayo hutumika kutengeneza ute ute kati ya maungio
-Huondoa kabisaa maumivu ya maungio yaliyokithiri
-Ni nzuri sana kwa MTU mwenye TATIZO LA ATHRITIS
-Huwafaa sana watu wanaofanya mazoezi

Kwa mawasiliano 0764777110

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu Wa Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwalimu Wa Afya:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram