Uzazi Kwa Wanaume

Uzazi Kwa Wanaume Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uzazi Kwa Wanaume, Tanzania Street, Dar es Salaam.

Tatizo la TEZI DUME ni changamoto kubwa sana kwasasa inayowakumba wanaume wengi sanaTakwimu inaonyesha kati ya wanaume w...
30/03/2023

Tatizo la TEZI DUME ni changamoto kubwa sana kwasasa inayowakumba wanaume wengi sana

Takwimu inaonyesha kati ya wanaume wenye zaidi ya miaka 35 asilimia 10% yao wana tatizo la tezi dume.

Na kati yao 3-5% ukutwa na dalili za mwanzo za saratani

Mbaya zaidi tatizo hili limewafanya wanaume wengi kukosa raha ya kuishi

Wengi Wamefikia hatua ya Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu

Maumivu kwenye mfumo wa mkojo na kushindwa kufurahia tendo la ndoa.

Chakusikitisha Matibabu yake mara nyingi huwa ni upasuaji tu.

HABARI NJEMA KWAKO

Tunatiba nzuri iliyowasaidia wanaume wengi wenye tatizo hili kuondokana na tatizo hili bila kufanyiwa upasuaji

Kwa msaada zaidi wa ushauri na namna ya kuondokana na changamoto hii wasiliana nasi kwa namba hii

+255762993924
WhatsApp, https://api.whatsapp.com/send?phone=255762993924&text= Email: alexsospeter19@gmail.com

03/06/2022

SULUHISHO LA TATIZO LA UZAZI KWA WANAUME
0676018899
Je, una tatizo la Uzazi?
Fahamu sababu tano na tiba yake kwa wanaume

Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa.

Hivyobasi mara nyingi hulazimika kujiondolea lawama hiyo na badala yake kusema kwamba kizazi cha wake zao ndicho chenye tatizo

Vilevile wanaume wenye zaidi ya umri wa miaka 40 ni asilimia 40 ya wale wasioweza kuwatosheleza wake zao kindoa kutokana na tatizo linaloathiri sehemu zao za siri. (uume kushindwa).
Hali hiyo humfanya mwanaume kuhisi kukejeliwa na jamii ambayo hubeza hali hiyo.

Mwanaume au mwanamke aliye katika hali hiyo pia anaweza kukejeliwa au kupokea shutuma chungu nzima kutoka kwa jamii iwapo siri yake itajulikana nyumbani ama mahala popote pale.

Kutokana na hilo wanaume ambao hujipata katika hali hiyo ya kiafya hupendelea sana kutoshiriki katika mjadala kuhusu suala hilo kwasababu hujihisi kukatishwa tamaa.

Kuna sababu kadhaa kwanini hali hii huwakumba waathiriwa.

1.Ukosefu wa homoni za kiume za kutosha mwilini:

Testosterone ni homoni za kiume zinazowafanya wanaume kuhisi kuwa wanaume huku estrogen zikiwa homoni za k**e ambazo humsaidia mwanamke kupata ujauzito .

2.Msongo wa mawazo:

Shinikizo la kiakili ni miongoni mwa sababu kuu zinazosababisha ugumba miongoni kwa wanaume. Msongo wa mawazo unaweza kutokea iwapo mwanaume hana kazi, iwapo mwanaume hana fedha ama iwapo kuna changamoto katika ndoa yake ama kutoka kokote kule.

3.Kushiriki mazoezi mbali na tendo la ndoa mara kwa mara:

Hili ni suala linalohitaji msisitizo ili kuzuia ugumba. Mtu anapaswa kujifunza kufanya mazoezi kwa muda mfupi kila siku.

4.Unyanyasaji wa kingono:

wanaume kushiriki katika tendo la ndoa mara 21 kwa mwezi . Inadaiwa kwamba kushiriki katika tendo la ndoa mara kwa mara kunasaidia kuzuia saratani ya tezi dume.

5.Ukosefu wa maji safi

Ukosefu wa maji safi , ambayo hayana virutubisho , huathiri afya ya uzazi ya wanaume. Aliongezea kwamba serikali imelazimika kuhakikisha uwepo wa maji safi ya kunywa kwa kuweka dawa k**a vile Fluoride, Calcium na Selenite.

KWA USHAURI NA TIBA Piga 0676018899

Address

Tanzania Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi Kwa Wanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Uzazi Kwa Wanaume:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram