16/03/2022
Pelvic inflammatory disease (PID)
Ugonjwa unaosababishwa na bacteria ambao hushambulia sehemu ya juu ya mfumo wa uzazi wa mwanamke yaani mfuko wa uzazi(uterus),mrija ya uzazii(follopian tubes)
Dalili zake n pamoja na
Maumivu chini ya kitovu ambayo huenda au kusambaa mpaka kwenye miguu au mapaja
Kutoka kwa na uchafu wenye harufu mbaya
Kutoka kwa damu nyingi wakati wa hedhi au kuvurugika kwa hedhi (si kila anaetoka damu nyingi ana hormone imbalance)
Sababu za pid
N pamoja na kua na wapenzi wengi au mpenzi zaidi ya mmoja kuna muweka muhiska katika hatari ya kuambukizwa bacteria wa pid
Kufanyia baadhi ya procedures k**a kusafishwa baada ya ujauzito kutoka ( abortion) au baadhi ya oparasheni zinazohusu mfumo wa uzazi wa mwanamke
Kwa wasichana wadogo ( teenagers) kutokuepo kwa usafi mzuri au kukaa na sanitary pad kwa mda mrefu
Madhara ya PID ni pamoja na
UGUMBA pid isipotibiwa kwa wakati hupelekea ugumba hii kutokana na pamoja na kuharibia na kuziba kwa mirija ya uzazi
MIMBA NJE YA KIZAZI,, hii pia huchangiwa na bakteria kushambulia mrija ya uzazi na kuharibu usafirishaji wa mayai ya uzazi kutoka katoka o***y hvyo upelekea yai kushinda kufika katika mji wa mimba kwa wakati sahihi hvyo kupelelea mimba kutungwa nje yauzazi
KuPuNGUKIWA DAmu kutokana na baadhi ya wagonjwa wa PID kutokwa na damu nyingi na mara kwa mara hupelekea mgonjwa kupoteza damu nyingi yaan ANEMIa ambapo mgonjwa hua na dalili zifuatazo ikiwa pamoja na kizunguzungu, mwili kichoka pamoja na mapiho ya moyo kwenda kasi