26/04/2023
```Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana k**a ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.
Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke.
Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa k**a maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.
Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’.
Hujulikana pia k**a ‘leiomyoma’ katika lugha ya kidaktari. Wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 50 ndiyo wanapatwa kirahisi zaidi na ugonjwa huu.
Chanzo cha moja kwa moja cha ugonjwa huu bado hakijulikani wazi, hata hivyo baadhi ya sababu za kutokea huu uvimbe ni pamoja na;
1. Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini.
2. Ujauzito.
3. Uzito na unene kupita kiasi.
4. Jenetiki zisizo za kawaida.
5. Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu.
6. Sababu za kurithi.
7. Lishe isiyo sawa.
8. Sumu na taka mbalimbali n.k.
Dalili zitakazokuonyesha una uvimbe kwenye kizazi ni pamoja na;
1. Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.
2. Maumivu makala wakati wa siku za hedhi.
3. Kuvimba miguu.
4. Unaweza kuhisi una ujauzito.
5. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
6. Kuhisi kuvimbiwa.
7. Kupata haja ndogo kwa taabu.
8. Kutokwa na uchafu ukeni.
9. Kupata choo kigumu au kufunga choo.
10. Maumivu nyuma ya mgongo.
11. Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto.
12. Upungufu wa damu.
13. Maumivu ya kichwa.
14. Uzazi wa shida.
15. Kutopata ujauzito.
16. Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo.
17. Maumivu ya nyonga.
18. Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage).
Aina za Uvimbe kwenye kizazi
Kuna aina kuu nne za Fibroids
1. Intramural: Hutokea kwenye kuta za mji wa mimba (uterus). Wanawake wengi hupatwa na aina hii ya uvimbe.
2. Subserosal fibroids: Hii hukua nje ya kuta za mji wa mimba na hukua na kuwa kubwa sana.
3. Submucosal fibroids: Hutokea kwenye misuli chini ya ngozi laini ya kuta za mji wa uzazi.
4. Cervical fibroids: Hii hujenga kwenye shingo ya tumbo la uzazi (Cervix).
Dawa mbadala 16 zinazotibu uvimbe kwenye kizazi.
Ikiwa mwanamke hapati shida ya namna yo yote katika shughuli zake za kila siku, anaweza asihitaji tiba ya aina yo yote hata k**a imegundulika kuwa ana uvimbe wa fibroid.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa mwanamke anapokaribia kukoma hedhi Uvimbe huu hunyauka wenyewe na mara nyingine kutoweka kabisa.
Ikitokea kwamba tiba imekuwa ni ya lazima, anaweza kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji kutokana na hali ilivyo.
Chagua dawa tatu hata nne kati ya hzi na utumie kwa pamoja kwa matokeo mazuri na ya haraka. Tafadhari usitumie dawa yoyote bila uangalizi wa karibu wa daktari, mganga au mtaalamu wako wa afya
1. Kitunguu swaumu
Kitunguu swaumu ni chanzo kizuri cha vitamini B6, vitamini C, na madini mengine mhimu ambayo husaidia kuweka sawa homoni za k**e.
Sifa yake ya kuondoa sumu mwilini husaidia kuondoa uvimbe kwenye kizazi. Kitunguu swaumu pia huzuia kujitokeza kwa uvimbe wa aina yoyote kwenye mji wa mimba (uterus). Tafuna punje 3 za kitunguu swaumu kutwa mara 3.
Kunywa maji glasi moja kila ukimaliza kutafuna kitunguu swaumu kuondoa ukali na harufu mbaya mdomoni.
2. Juisi ya Limau
Moja kati ya dawa nyingine za asili kwa kuondoa uvimbe kwenye kizazi ni juisi ya limau.
Ongeza vijiko vijiko vya juisi (majimaji) ya limau na kijiko kidogo cha zaida wa baking soda kwenye glasi ya maji ya uvuguvugu, koroga vizuri na unywe mara mbili kwa siku kwa majuma kadhaa.
3. Tangawizi
Mizizi ya tangawizi ni mizuri sana katika kupunguza maumivu na kuongeza msukumo wa damu.
Andaa chai ya zaida tu, usiweke majani ya chai humo) na unywe kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa majuma kadhaa.
Kwenye hiyo chai tumia asli badala ya sukari kwa matokeo mazuri zaida. Angalizo kabla hujatumia dawa yoyote hapo wasiliana nami kwa ushauri na tiba zaida yenye matokeo ya haraka na bei nafuu,kuwasiliana nami moja kwa moja whasap ,bonyeza link hapo chini.
```https://chat.whatsapp.com/IzQxCSwUk2MGstUS7nnW6u