TIBA asilia ya uhakika

  • Home
  • TIBA asilia ya uhakika

TIBA asilia ya uhakika Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TIBA asilia ya uhakika, Health & Wellness Website, Mikocheni A, .

VITAMIN D HUSAIDIA KUPUNGUZA KASI YA UKUAJI WA UVIMBE. TUMIA VYAKULA HIVI 👇1️⃣. Asali mbichi ya nyuki yeyote yule vijiko...
17/04/2023

VITAMIN D HUSAIDIA KUPUNGUZA KASI YA UKUAJI WA UVIMBE. TUMIA VYAKULA HIVI 👇

1️⃣. Asali mbichi ya nyuki yeyote yule vijiko2 asubuhi kingine jioni.
2️⃣.Tumia aina7 za matunda mbalimbali kila siku bila kuacha.
3️⃣. Tumia aina7 tofauti za mboga mboga za majani kila siku bila kuacha.
4️⃣. Tumia kitunguu saumu punje 5 asubuhi, mchana 5 na jioni 5 kila siku, unamenya na kukata vitodogo k**a kidonge kisha unameza kwa maji ya kawaida nusu Lita wiki4 mfululizo.

Ila k**a una vidonda vya tumbo hii itakujazia gesi tumboni, kwa wenye presha ya kushuka usitumie inashusha presha zaidi.
5️⃣ Tumia maji ya vuguvugu yenye tangawizi asubuhi saa moja kabla ya chai, k**a una presha ya kupanda inapandisha zaidi na k**a una vidonda vya tumbo inaongeza gesi usitumie hii.
6️⃣. Tumia kiini Cha yai la kienyeji lilochemshwa kila siku yai moja au mawili.
7️⃣. Punguza vyakula vyenye mafuta mengi k**a Chips, pizza na Baga.
8️⃣. Punguza sumu mwilini kwa kutokutumia baadhi ya vinywaji vya kiwandani k**a soda, pombe, juice n.k
9️⃣. Punguza matumizi ya wanga na uongeze matumizi ya vitamin D, inapatikana kwenye matunda, mboga za majani na yai maziwa fresh, jua la asubuhi na jioni n.k
🔟. Fanya mazoez kila siku japo kwa dk 30 ili kufanya mwili uwe active mda wote na utumie maji yakutosha kila siku.

NB: Ukifanya hivo uvimbe hautakusumbua na utapungua kasi ya ukuaji.

K**a unahitaji kupona bila operation tuna supplement maalumu hazina kemikali yoyote, huu ni mwaka wa 4 tangu tumeanza kuzitumia kutibu watu. Na wanapona kwa dozi ya miez3 hadi 6.

Tambua kuwa Mvurugiko wa hormone hasa ikitokea homoni ya OESTROGEN ikapanda zaid, kizazi huanza kuhitaji mtoto na hatimae hutengeneza uvimbe kupitia tishu mbalimbali ambazo hujikusanya sehem moja.
~Tishu hizi zikijikusanya nje ya kizazi huitwa subserosal fibroid,
~Ikiwa ndani ya kizazi ni submucosal fibroid
~Ikiwa ni katikati ya ukuta wa kizazi huitwa intramural fibroid.
Karibu katika group WhatsApp
.
https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

NA HIVI VIDUDE VINAPENDEZA, ukiviona utadhani labda vitamu k**a Embe Bolibo 😁 kumbe siyo. LAKINI _* * inafaida nyingi Sa...
16/04/2023

NA HIVI VIDUDE VINAPENDEZA, ukiviona utadhani labda vitamu k**a Embe Bolibo 😁 kumbe siyo.

LAKINI _* * inafaida nyingi Sana mwili kiafya, pia Ni Bei ndogo tu._

CHANGANYA LIMAU2, KITUNGUU SAUMU PUNJE15 NA TANGAWIZI UKUBWA WA DOLE GUMBA5...... WEKA MAJI LITA 1
Usipende Vitu vitamu vinavyoharibu Afya, mfano soda ni tamu lakini kiafya siyo nzuri.

Kwahiyo, Jitengenezee juice ya * *
_(usisubiri Hadi aseme Waziri wa Afya)_

Bila shaka kila mmoja ANAWEZA kupata kwenye Mazingira yake na akaandaa.

Unaweza kuunga pia kwenye Mboga yako.

Hapa Utakuwa unatumia CHAKULA K**a DAWA ili hapo baadae usije kutumia DAWA K**a CHAKULA!.

: K**a una vidonda vya tumbo limao lina acid na kitunguu saumu kina gesi nyingi havikufai, pia k**a una presha Yakushuka kitunguu saumu kinashusha Presha zaidi hakikufai na k**a una presha ya kupanda tangawizi inapandisha presha zaid haikufai.

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

*UKIONA DALILI HIZI USIKAE KIMYA TAFTA TIBA MAPEMA, inaweza kukuletea uvimbe kwenye kizazi.* ⏩ukavu ukeni.⏩Maumivu wakat...
15/04/2023

*UKIONA DALILI HIZI USIKAE KIMYA TAFTA TIBA MAPEMA, inaweza kukuletea uvimbe kwenye kizazi.*

⏩ukavu ukeni.

⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

⏩Kutoa jasho usiku kusiko kawaida.

⏩ ```Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.

⏩Kukosa hamu ya tendo la ndoa.```

⏩Siku za hedhi kubadilika``` badilika.

⏩Kukosa hedhi kwa muda mrefu ikiwa bado hujafikia ukomo wa siku zako.

⏩Kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.

⏩Uchovu wa mara kwa mara.

⏩Hasira za mara kwa mara

⏩Kukosa usingizi

⏩Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.

⏩Mzio wa vyakula(allergy) kuchagua chagua vyakula.

⏩Kuongezeka tumbo na nyama uzembe.

⏩Kuharibika kwa ngozi (chunusi na vipele).

⏩Maumivu ya viungo.

⏩Upungufu wa nywele kichwani.

⏩Kusahau sana.

⏩kuwa na hamu ya vyakula au vinywaji vya viwandani.

⏩Kupata hedhi wakati wa ujauzito.

⏩Kutopata choo kwa wakati.

⏩Kusinyaa au kupauka kwa ngozi.

⏩Maumivu ya kichwa mara kwa mara.

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

15/04/2023

Faida za kutumia *"COMPLETE* kwa ambaye ameathiriwa na UZAZI WA MPANGO👇

Faida mojawapo ni *_Kutoa Sumu Mwilini‼️*

🪸Angalia hapa, hiyo Betadine ni kemikali (sumu) ,.. Imewekwa kwenye maji lakini alivyoweka Unga wa complete haraka sana ile sumu ilisafishwa ..... ‼️

*COMPLETE* huwa *"inacomplete"* matatizo yote Mwilini (kwa wewe mjamzito pia inakuondolea ile hali ya kuumwa umwa Mara kutapika ) morning sickness

🕊️Pia Sio mpaka uumwe ndo utumie , jenga tabia ya kutumia kwa kuimarisha kinga ya Mwili wako,maana sikuhiz tunatumia kemikali nyingi ndio maana magonjwa ni mengi sana.

*Kinga ni bora kuliko Tiba!*✍🏽

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

*MADHARA YA MATUMIZI YA P2*♦p2 ni dawa ya dharura (emergency contraceptive),inazuia mtu asipate Mimba kwenye mazingira a...
14/04/2023

*MADHARA YA MATUMIZI YA P2*

♦p2 ni dawa ya dharura (emergency contraceptive),inazuia mtu asipate Mimba kwenye mazingira ambayo amefanya s*x pasipo kupanga na yupo siku za hatari,au

umelazimishwa kufanya s*x au umebakwa,ili kuzuia mimba zisizotarajiwa unalazima Kunywa hizi dawa.

♦Ni Dawa iliyotengenezwa kutumiwa mara chache tu ni pele inapokulazimu.Sio dawa unayotakiwa kutumia k**a njia ya uzazi wa mpango ya muda mrefu.

Kuna wanawake humeza p2 kila mwezi,hii haitakiwi. Katika mazingira ya kawaida,haipaswi kumezwa zaidi ya mara 3 kwa mwaka.

Kuendekeza kila mwezi kunywa hizi p2 sio sahihi,Unatakiwa Utumie njia za Asili za kupanga Uzazi kwa muda Mrefu.

*🛑Baadhi ya madhara ya matumizi holela ya dawa hizi ni;*

🥕1.Unaweza kujisikia kichefuchefu au kutapika baada ya kumeza.

🥕2.Maumivu ya tumbo.

🥕3.Matiti kuuma na kujaa.

🥕4.Pia hedhi zako zinazofuata zinaweza zikawahi au zikachelewa au zikatoka nyingi sana( ukiona zimezidi siku 8 fika muone daktari) au ukawa unapata hedhi nyepesi sana,au pia haupati hedhi kabisa (amenorhoea).

🥕5.Kichwa kuuma na kizunguzungu.

🥕6.Mabadiliko ya Ute ukeni (change in cervical secretion) hapa unakuta Ute wa ovulation mtu hapati.

🥕7.Kupata maambukizi ukeni (vaginal infections).

🥕8.Hatari ya kupata PID.

🥕9.Maumivu wakati wa s*x(dyspareunia).

🥕10.Mama anakuwa hatarini kutungisha mimba nje ya kizazi yaani ectopic pregnancy.

🥕11.Pia kuna wanawake hupata vivimbe kwenye mfuko wa mayai.

🧄Kuna sababu hapo juu k**a PID,kutopata UTE,maambukizi kwenye uke hupelekea mwanamke kupata taabu kwenye Kupata mimba.

*♥K**a hujapanga kupata mimba,tafadhali fuata njia ya uzazi wa mpango ya muda mrefu inayokufaa,achana na kumeza p2 kila mwezi.*

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

* *Matumizi ya Condom ni Kati ya njia ya uzazi wa mpango amabyo inapigiwa debe sana hapa Tz. Pia ni njia ambayo inatumik...
14/04/2023

* *

Matumizi ya Condom ni Kati ya njia ya uzazi wa mpango amabyo inapigiwa debe sana hapa Tz. Pia ni njia ambayo inatumika na wengi hapa ikiaminiwa kuwa Ni njia Salama.

Hata hivo Ni njia ambayo _inapingwa vikali na Kanisa Katoliki, kwakuwa ni kinyume na mpango wa Mungu!_

Hata tukirudi Upande wa Afya Condom bado Ina madhara kwa watumiaji na hasa hasa isipotumika kwa usahihi......

🖊️Condom hupunguza Radha ya tendo la ndoa
🖊️ *Inachangia upungufu wa nguvu za kiume kutokana na Mpira kubana misuli ya uume*
🖊️Pia Kemikali inayowekwa ndan yake inaweza kusababisha Magonjwa ya Ngozi.
🖊️Ina hamasisha ngono
🖊️ *Inasababisha Maambukiz ktk via vya uzazi(P.I.D)*
🖊️pia isipovaliwa vizur inaweza kupasuka na kusababisha mimba isiyotarajiwa
🖊️ *Baadhi ya watu wanaathiriwa na kemikali iliyo ndani ya kondom hupata Miwasho Sehem za siri.*
🖊️Utupaji ovyo wa condom huchafua mazingira hata uchomaji pia Moshi wake unasababisha Magonjwa ya kifua...!

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..
________________
+255744228422

*✅ *👉🏻Husababisha usumbufu wakati wakat waw hedhi👉🏻Huchochea maumivu ya  kichwa mara kwa mara.👉🏻 Hupelekea kizungu zungu...
14/04/2023

*✅ *

👉🏻Husababisha usumbufu wakati wakat waw hedhi

👉🏻Huchochea maumivu ya kichwa mara kwa mara.

👉🏻 Hupelekea kizungu zungu

👉🏻 Hupelekea kichefu chefu mara kwa mara.

👉🏻Hupelekea kuongezeka au Kupungua uzito usiokuwa na faida

👉🏻Huchangia kupunguza hamu ya tendo la ndoa

👉🏻Husababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids) au ovarian cyst

👉 Hupelekea mirija kuziba

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

✅ * * ♨Husababisha saratani za aina mbali mbali♨Huchochea hali ya kuchanganyikiwa kiakili♨ Husababisha shinikizo la damu...
14/04/2023

✅ * *

♨Husababisha saratani za aina mbali mbali

♨Huchochea hali ya kuchanganyikiwa kiakili

♨ Husababisha shinikizo la damu

♨ Hupelekea maumivu makali wakati wa tendo la ndoa kwasababu ya ukavu.

♨Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda baada ya tendo la ndoa.

♨ Huchangia tatizo la kupungua kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa.

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

*✅ *🎯 Hupelekea mvurugiko wa kalenda na Utokaji ovyo wa damu.🎯Kitanzi kikiwekwa vibaya na mtaalamu asie na udhoefu hupel...
14/04/2023

*✅ *

🎯 Hupelekea mvurugiko wa kalenda na Utokaji ovyo wa damu.

🎯Kitanzi kikiwekwa vibaya na mtaalamu asie na udhoefu hupelekea kutoboka fuko la uzazi

🎯Mda mwingine inaweza kupelekea kuongezeka kwa upana wa uke na kufungwa kwa uzazi.

🎯Kitanzi kinaweza kufyatuka na kusababisha upasuaji

🎯 Husababisha kupunguza hamu ya tendo la ndoa.

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

*TUANGALIE KUHUSU MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO.* Faida yake kubwa ni moja tu * * kwasababu zimetengenezw...
14/04/2023

*TUANGALIE KUHUSU MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO.*

Faida yake kubwa ni moja tu * * kwasababu zimetengenezwa kwa vichocheo ambavyo *vinaenda kuvuruga Mfumo wa hormone* mbalimbali mwilini, na kupelekea kutokushika mimba. Lakin baada ya kutumia MADHARA yake ni makubwa.📌

*SIKUSHAURI KUTUMIA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO*

Yafuatayo ni madhara ya;

~Kijiti,
~Kitanzi
~Kondomu
~Sindano za uzazi,
~Vidonge vya uzazi.

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu WhatsApp ujifunze mengi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa, wahi mapema..

Au sms/Piga +255744228422.
Au WhatsApp number +255693775158 nikuunge..

*MALNUTRITION ( UTAPIAMLO)** Ni ukosefu wa virutubisho hitajika mwilini .  Inatokana na kutokupatikana kwa  kiwango sahi...
14/04/2023

*MALNUTRITION ( UTAPIAMLO)*
*
Ni ukosefu wa virutubisho hitajika mwilini . Inatokana na kutokupatikana kwa kiwango sahihi au aina sahihi ya lishe mwilini. Na husababishwa na Lishe duni, Mmengenyo wa chakula kutokufanya kazi sahihi na Magonjwa mbalimbali.

Kuna aina Mbalimbali za utapiamlo au lishe duni kutokana na kukosekana kwa Lishe muhimu katika mwili k**a vitamini, madini chuma, protein, Roughage (vyakula vya nyuzinguzi) ,Wanga, Mafuta ( Fatty acid) na etc vyote hii husababisha Mtu kuwa na changamoto hii .

*SABABU KUU ZA UTAPIAMLO ( MALNUTRITION)*

1️⃣Lishe duni ( Lack of Nutrients)
2️⃣ Matatizo ya Mmengenyo wa chakula katika ufyonzaji wa Lish3️⃣Upatikanaji hafifu wa lishe. *Inaendelea*

Bofya link kujiunga Moja Kwa Moja katika group letu ujifunze mengi zaidi..

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Wahi kabla halijajaa. Mafunzo ni Bure kàbisa..

Au sms/piga +255744228422 au WhatsApp number+255693775158

*MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE* ➡️ Kuchelewa kupata mimba➡️Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.➡️Kuingia na kutoka kwa mi...
13/04/2023

*MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE*

➡️ Kuchelewa kupata mimba

➡️Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.

➡️Kuingia na kutoka kwa mimba

➡️Kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutokufika kileleni.

➡️Kuwa na uke mkavu sana.

➡️Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

➡️Kupata uvimbe kwenye kizazi.

➡️Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi.

➡️ Kupata Bawasiri kutokana na kupatwa na choo kigumu

*TIBA YA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE*

Ni vyema sana kumweleza Dr. Dalili zote ambazo mwanamke hujihisi kisha daktari mzoefu atajua tatizo lako.
Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba au virutubisho lishe.
* *
➡️ Unashauriwa kutatua changamoto na matatizo yanayopelekea mwanamke kushindwa kupata ujauzito. Tumia tibalishe asilia *"COMPLETE PHYTO-ENERGYZER"* Kumaliza kabisa CHANZO Cha Tatizo

Jiunge katika group letu WhatsApp ujifunze mengi zaidi.

https://chat.whatsapp.com/G7uuUIB9r9G1r334y1V0Nd

Kumbuka mafunzo ni Bure kàbisa wahi kabla halijajaa..

WhatsApp Group Invite

Address

Mikocheni A

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA asilia ya uhakika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram