GreenWorld_tz1

GreenWorld_tz1 GreenWorld ni kampuni inayozalisha dawa za asili zenye virutubisho na vitamins na mbolea ya mimea

CALCIUM CAPSULE Inakusaidia kujenga afya ya mifupa ya menoKuzuia mifupa kuwa myepesi na kuvunjikaKuzuia maumivu kabla ya...
06/01/2022

CALCIUM CAPSULE

Inakusaidia kujenga afya ya mifupa ya menoKuzuia mifupa kuwa myepesi na kuvunjikaKuzuia maumivu kabla ya Hedhi Kuzuia maumivu wakati wa Hedhi Huzuia matatizo baada ya kukoma hedhiHuboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyoHuboresha mawasiliano ya nevaHuzuia matatizo ya kubanwa na misuli ,maumivu ya mapaja,mikono na kwapani.Huzuia kutokwa jasho usikuHuondoa na kuzuia kujengwa kwa mtoto wa jicho Huzuia tatizo la kutoona mbali

ANTI-AGING CAPSULE 1 Hudumisha mwonekano mchanga na kutosinyaa kwa ngozi (hufanya ngozi kua nyororo)2 Husafisha damu3 Hu...
06/12/2021

ANTI-AGING CAPSULE

1 Hudumisha mwonekano mchanga na kutosinyaa kwa ngozi (hufanya ngozi kua nyororo)

2 Husafisha damu

3 Hurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu

4 Hupunguza kiwango cha cholesterol

5 Huzuia atherosclerosis na shida ya akili.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi 0772-581938



Karibuni sana…..

KAZI NA FAIDA ZA LECITHIN1. Kulilinda ini na kusaidia ufanyaji kazi mzuri wa ini.2. Husaidia kwenye Kiungo muhimu cha ng...
29/11/2021

KAZI NA FAIDA ZA LECITHIN
1. Kulilinda ini na kusaidia ufanyaji kazi mzuri wa ini.

2. Husaidia kwenye Kiungo muhimu cha ngozi izungukayo seli (cell membrane);

3. Kuimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo; kwa wale wenye uhitaj wakubaresha umakini na kumbu kumbu.

4. Kupunguza kiwango cha lipids katika damu kwa kubadilisha mafuta mabaya (LDL) kuwa mafuta mazuri (HDL);

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia simu namba
0772-581938

Karibuni sana

SLIMIMING CAPSULE  Inasaidia kupunguza uzito, pia Kutibu mtu mwenye matatizo ya miguu  Inanyima apitaiti ya kula inayope...
23/11/2021

SLIMIMING CAPSULE
Inasaidia kupunguza uzito, pia Kutibu mtu mwenye matatizo ya miguu
Inanyima apitaiti ya kula inayopelekea kupunguza uzito
Husaidia Kwa mwanamke ambae anatatizi la kupata ujauzito (kuzibua mishipa yake ya uzazi)

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0772-581938

Karibuni sana……

ALOE VERA PLUS Hupunguza maumivu na kuondoa joto ndani ya tumbo inayosababishwa na gesi Husaidia kusafisha ini [liver]  ...
22/11/2021

ALOE VERA PLUS
Hupunguza maumivu na kuondoa joto ndani ya tumbo inayosababishwa na gesi
Husaidia kusafisha ini [liver]
Husaidia kwa wenye vidonda vya tumbo

. Pia ni antibayotiki kwa wenye uwasho wa ngoz na wenye uvimbe kizaz kwa mwanamke

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0772-581938

Karibuni sana…

Faida za SOY POWER kwa mwanamke1. Kuimarisha uwezo wa ovari Kwa mwanamke 2. Kupunguza matatizo ya mifupa kwa wanawake wa...
18/11/2021

Faida za SOY POWER kwa mwanamke

1. Kuimarisha uwezo wa ovari Kwa mwanamke

2. Kupunguza matatizo ya mifupa kwa wanawake walikoma hedhi

3. Kukinga dhidi ya saratani ya matiti

4. Kusafisha ngozi na kupunguza kasi ya uzee

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia nambari

0772-581938

Nyote mnakaribishwa

CHILDREN CARE PACKAGE TABLETS Vitamini vina jukumu muhimu katika kudumisha ukuaji wa afya wa watoto. Zinaweza kutumika a...
17/11/2021

CHILDREN CARE PACKAGE TABLETS

Vitamini vina jukumu muhimu katika kudumisha ukuaji wa afya wa watoto. Zinaweza kutumika au kupotea haraka kwa hiyo ni muhimu mtoto wako ale vitamini muhimu kila siku ili kulinda afya ya mtoto

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba 0772-581938

Karibuni sana!!

Genoderma - Kuboresha kinga za mwili na hivyo kuzuia kansa- Kupunguza madhara yatokanayo na tiba za mionzi na chemothera...
15/11/2021

Genoderma

- Kuboresha kinga za mwili na hivyo kuzuia kansa

- Kupunguza madhara yatokanayo na tiba za mionzi na chemotherapy (k**a kutapika, maumivu, upungufu wa chembechembe nyeupe za damu, kutoota nywele, uchovu,na kadhalika..

- Kuongeza kinga za mwili; kupunguza makali ya brochitis sugu, pumu na mzio.

Hufaa
- Watu wenye brochitis sugu, pumu, mzio au matatizo mengine ya mfumo wa upumuaji

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi
0772-581938

Nyote mnakaribishwa…

COMPOUND MARROW POWER Watu wenye upungufu wa calcium Watu wenye matatizo ya mifupa na misuliWatu wenye matatizo ya kinga...
14/11/2021

COMPOUND MARROW POWER
Watu wenye upungufu wa calcium
Watu wenye matatizo ya mifupa na misuli
Watu wenye matatizo ya kinga
Watu wenye upungufu wa damu

Pia Huongeza calcium na magnesium mwilini na hivyo kuondoa dalili za (Osteoporosis) k**a vile misuli kuuma na maumivu ya mgongo

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi

0772-581938

KARIBUNI SANA!!!

FAIDA ZA KUTUMIA VIGPOWER CAPSULE (for men).                                                                    Hii ni d...
09/11/2021

FAIDA ZA KUTUMIA VIGPOWER CAPSULE (for men).
Hii ni dawa isiyo na kemikali iliyotengenezwa kitaalamu kwa kufyonza virutubisho vyote kutoka kwenye vyanzo ambavyo ni mboga mboga na matunda,virutubisho ambavyo ni maalum kwa ajili ya kuimarisha afya ya uzazi wa mwanaume. VIGPOWER HUSAIDIA NINI MWILINI UNAPOITUMIA?
1.Inakupatia nguvu ya kutosha na kukuongezea uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kukuboreshea figo yako.

2.inakuongezea idadi ya mbegu yani (s***m count) na kuongeza uwezo wa mbegu zako kutembea yani (s***m motility)

3.itakuongezea hamu ya kufanya tendo la ndoa,pia itakuongezea hewa ya oksijeni ndani ya damu na kufanya mzunguko wa damu uwe mzuri husususani maeneo ya ikulu za mwanaume na hivyo kuufanya uume kusimama imara ili kumudu kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu
4.itakuondolea tatizo la kuwahi kufika kileleni mapema,jogoo kushindwa kuwika na mbegu kutoka kila wakati bila ridhaa.

kwa mawasiliano simu namba 077-2581938

KARIBU SANA!!!!!

DETOXIN PAD itakusaidia - Kutoa sumu na mabaki kutoka kwenye mwili kupitia vijitundu vya kwenye ngozi.- Kuondoa maumivu ...
03/11/2021

DETOXIN PAD itakusaidia

- Kutoa sumu na mabaki kutoka kwenye mwili kupitia vijitundu vya kwenye ngozi.

- Kuondoa maumivu ya mgongo, kiuno na kwenye viungio mwilini

- Pia ni nzuri kwa watu wenye matatizo ya aleji ya ngozi

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
0772-581938

VITAMIN C TABLET 1 .Inakuza kinga na huongeza upinzani kwenye mwili dhidi ya virusi, pia huzuia baridi2 . Inalinda mfumo...
27/10/2021

VITAMIN C TABLET

1 .Inakuza kinga na huongeza upinzani kwenye mwili dhidi ya virusi, pia huzuia baridi

2 . Inalinda mfumo wa moyo na mishipa

3 . Huzuia na kupunguza kasi ya maendeleo ya kuzorota kwa misuli na mtoto wa jicho linalohusiana na umri

4 . Pia ni kinga dhidi ya gonjwa la corona



Wasiliana nasi kupitia namba
0772-581938

Address

Mpakani Cernter Off Sam Nujoma Road Mwanga Street No. 3
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GreenWorld_tz1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to GreenWorld_tz1:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram