08/04/2024
KUVIMBA KWA TEZI DUME (BENIGN PROSTATE HYPERTROPHY)
Hii ni changamoto ya kiafya ambayo inaweza kuwa Pata wanaume wote wa kuanzia umri wa miaka 45~50, tatizo hili la kuvimba kwa tezi dume linaweza kijionesha kupitia dalili mbali mbali ambazo ni........
✅Kushindwa kudhibiti mkojo wakati unapohisi kibofu kimejaa
✅Maumivu makali ya nyonga na mgongo
✅Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
✅Kushindwa kukojoa kabisa (urinary retention)
✅Kujichafua kwa mabaki ya mkojo baada ya kumaliza kukojoa
✅Kushindwa kusimama kwa muda mrefu
✅Mkojo kutofika mbali wakati wewe una Okoa (mtiririko dhaifu)
✅Kushindwa kumudu tendo la ndoa na Kukosa kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa
MADHARA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME (BPH)
BPH k**a ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa. Madhara hayo ni pamoja na
* Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine)
* Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo
* Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo
* Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI)
* Madhara katika figo au kibofu
* Shinikizo la damu
* Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ej*******on)
* Maambukizi mbalimbali
* Nimonia (Pneumonia)
* Damu kuganda
* Uhanithi
KARIBU TUKUHUDUMIE
SIMU 0750820438
WHATSAPP 0750820438