29/06/2023
💥 PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID) -Ni maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanamke yaani uterus, Fallopian tube, o***y na parametrium.
💥 HUSABABISHWA NA WADUDU WAJULIKANAO K**A:
🖍️Gonococci
🖍️Chlamydia
Hawa wawili ndo visababishi vikubwa vya PID, na wengineo K**a vile:
🖍️ Staphylococcus
🖍️ Streptococcus
🖍️ Coliforms
🖍️ Mycoplasma
🖍️Colistridium perfringens
🔷Huenezwa kwa njia ya kufanya mapenzi (through sexual in*******se) kwa asilimia kubwa.
🔷Njia zingine ni k**a:
👉 Wakati wa ukuwekewa kitanzi cha uzazi wa mpango (insertion of intrauterine contraceptive device)
👉 Wakati wa kutoa mimba(therapeutic or elective abortion)
👉 Wakati wa kujifungua mtoto(during childbirth)
👉 Wakati wa Upasuaji wa endometrium(endometrial biopsy)
💥 DALILI ZA PID NI HIZI HAPA💥
🖍️Kutoka uchafu usio wa kawaida ukeni (vaginal discharge with abnormal colour)
🖍️ Maumivu ya Tumbo la chini(lower abdominal pain)
🖍️ Hedhi isiyoeleweka (irregular menstrual cycle)
🖍️ Maumivu wakati wa hedhi(increased menstrual cramping)
🖍️ Maumivu wakati wa kufanya mapenzi (pain during sexual in*******se)
🖍️Kutoka damu baada ya tendo(bleeding after sexual in*******se)
🖍️ Kichefuchefu (nausea)
🖍️Kukosa hamu ya chakula (lack of appetite)
🖍️ Kuchokachoka (fatigue)
🖍️ Maumivu ya kiuno(lower back pain)
🔷WATU WALIOPO KWENYE HATALI YAKUPATA PID NI🔷
👉Watu waliofikia umri wa kufanya mapenzi (sexually active age group)
👉Watu wenye mahusiano na mpenzi zaidi ya moja(multiple sexual partners)
👉Wenye upungufu wa Kinga ya mwili(immunodeficiency)
👉Wenye historia ya kuwa na PID(past history of PID)
👉Wenye kuingiziwa vitanzi(Insertion of IUCD).
🔷 MADHARA YA PID NI🔷
🖍️Ugumba/kushindwa kubeba mimba (infertility)
🖍️Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy)
🖍️ Maumivu ya muda mrefu(chronic pelvic pain)
🖍️ Kutungwa kwa usaha(pelvic abscess)
🖍️Mimba kuharibika (Miscarriage)
🖍️Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🖍️Mirija ya uzazi kuziba
🖍️Kupata saratani ya shingo la kizazi
🖍️Kuvurugika kwa mfumo wa homoni (hormonal imbalance)
👉👉 *NOTE* UONAPO DALILI HIZO TAFUTA MSAADA WA KUONDOKANA NA TATIZO HILO🔷 ....................
KARIBUNI+255718220060