Afya Ya Mwanaume

Afya Ya Mwanaume Ninasaidia kutatua changamoto za uzazi +255710 878 673

28/06/2024
Alhamdulillah for everything.Allah kareem always.Jumaaa Qareem🌙🙏..
21/06/2024

Alhamdulillah for everything.
Allah kareem always.
Jumaaa Qareem
🌙
🙏..

16/06/2024

TATIZO LA UZAZI .
BAADHI YA WANAUME KOKOSA WATOTO HUSABABISHWA NA.
01 Mbegu chache
02 uwezo duni wa mbegu za kiume
03 umbo lisilo sahihi LA mbegu ya kiume
04Ulibzi wa mbegu za kiume
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMe
Hali hii hutokea ambapo uume hushindwa kusimama kabisa,au kutoweza kuendelea kusimama barabara na kukamilisha tendo la ndoa ipasavyo
Sehem ambazo huathiriwa hadi mwanaume kupata ugungufu wa nguvu za kiume n k**a
01 uhakika(damu chache)
02mishipa ya fahamu kuwa dhaifu
03damu kutohifadhiwa ndan ya uume
04 kukosa hisia kutoka kwenye ubongo
SABABU ZINAZOCHANGIA HALI HIO
01sychological effects
K**A mawazo,mahusiano mabaya ya kimapenzi n.k,hofu,huzun
02physiological effects
Magonjwa ,presha kushuka,kisukari,cholesterol kua juu,uzito kupindukia,kupata kovu kwa uume,magonjwa ya moyo ama figo,matumizi ya dawa kwa muda mrefu
MADHARA MAKUBWA YA UPUNGUFU WA KIUME
01 kutokujiamini
02kukosa hamu ya tendo la ndoa
03kupoteza mahusiano
04ugomvi kwenye mahusiano
MATIBABU NA USHAURI PIGA 0710 878 673

02/02/2024

+255710878673
Saratani ya tezi dume
Saratani ya tezi dume ni ugonjwa hatari unaoathiri maelfu ya wanaume duniani kote kila mwaka. Tezi dume ni kiungo kidogo kinachopatikana chini ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija wa kutoa mkojo (urethra).

Tezi dume inaratibiwa na homoni ya testosterone na kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji-semen. Majimaji haya huchanganyika na mbegu za kiume ili kuzisaidia kuogelea vizuri kuelekea kizazi cha mwanamke wakati wa tendo la ndoa. Katika makala hii tutaangalia kiundani saratani ya tezi dume inaanzaje na hatua za kuchukua ili kutibu saratani yako kabla hujafanyiwa upasuaji.

Saratani Ya Tezi Dume ni Kitu Gani
Tezi dume imeundwa kwa seli, inapotokea seli hizi zinakua pasipo kuratibiwa vizuri na kutengeneza seli za saratani ndipo tunaita saratani ya tezi dume. Saratani hii inaweza kujitanua na kukua kuelekea maeneo ya karibu k**a haitatibiwa mapema.

Aina za Saratani ya Tezi Dume
Saratani ya tezi dume tunaiweka katika kundi la saratani zinazotokea kwenye tishu za tezi (adenocarcinoma). Saratani ya tezi dume hugawanywa kwa kuzingatia kasi ya ukuaji wake

Aina ya kwanza: Aggressive au fast growing ambayo hukua na kusambaa haraka na kuathiri viungo vingine vya mwili k**a mifupa

Aina ya pili: Non aggresive au slow growing ambayo hutokea sehemu moja na yaweza kukua taratibu sana au kutosambaa kabisa.

Nini Kinasababisha Upate Saratani ya Tezi Dume?
Hakuna sababu ya moja kwa moja ambayo imetambulika kusababisha saratani ya tezi dume lakini kuna muunganiko wa vihatarishi vingi ambavyo tunaviongelea hapa chini.

Makundi yafuatayo yapo kwenye hatari ya kupata saratani ya tezi dume
Wazee na wenye umri mkubwa kuanzia miaka 50 na kuendelea
Watu walio kwenye familia yenye historia ya kuugua tezi dume
Wenye uzito mkubwa na kitambi
Mazingira hatarishi k**a ya mionzi huongeza hatari ya kupata tatizo.
Dalili za Saratani ya Tezi dume
Saratani aina ya pili ambayo ni non aggressive inaweza kutoonesha dalili zozote kwa siku za awali. Lakini pale unapoanza kuona dalili zifuatazo basi hakikisha unamuona daktari mapema ili kufanya vipimo.

Kumbuka pia baadhi ya dalili za saratani ya tezi dume zinaingiliana na dalili za magonjwa mengine kwahiyo ni muhimu kufanyiwa vipimo haraka. Dalili za saratani ya tezi dume ni k**a zifuatazo

Matatizo ya mkojo: matatizo ya mkojo ni kutokana na kwamba tezi hii ipo karibu na mrija wa kutolea mkojo na pia karibu na kibofu cha mkojo. Uvimbe wa saratani unapokua unabinya kibofu na njia ya mkojo na kuletekeza maumivu makali wakati wa kukojoa, kukojoa kila mara, mkojo kutoruka mbali na kupata mkojo wenye damu (hematuria).
Kukwama kwenye tendo la ndoa: Uume kushindwa kusimama na kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa ni moja ya masaibu yanayowapata wanaume wenye saratani ya tezi dume. Kwani hawapati kabisa matamanio kwa wake zao kiasi cha kuwaona k**a ni jinsia moja. Dalili ingine ni kutoa shahawa zinazoambatana na damu.
Maumivu makali na kupata ganzi: Saratani ya tezi dume inapoanza kusambaa kuelekea kwenye viungo vingine k**a mifupa huleta maumivu makali kwenye eneo la nyonga, maumivu nyuma ya mgongo na maumivu ya kifua
K**a saratani ikisambaa kufikia kwenye uti wa mgongo yaweza kupelekea kushindwa kuhisi kitu kwenye upande wa chini miguuni na kwenye kibofu cha mkojo.
+255710878673

01/02/2024

Wanaume kuanzia miaka 45 na kuendelea huwa wanachangamoto ya kukubana na changamoto ya uzazi
TEZI DUME.
Zitambue dalili kuu na za awali za tezi dume
1.Udhaifu katika utoaji mkojo.
2.Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
3.kushindwa kukojoa
4.Mkojo kutokwisha ndani ya kibofu na maumivu makali ya Nyonga.
5.DAMU NDANI YA MKOJO
+255710 878 673

09/01/2024

+255710878673
Afya ya mwanaume ni thamani yake na nyumba yake.
Ikiwa wewe ni mwanaume ambaye umepitia changamoto ya uchache na uhodari katika tendo,na imefikia mahali umekataa tamaa je???UNAMRUDISHA MWANAMKE WAKO KWQO?
UNAMRUHUSU AKAHUDUMIWE NA MARAFIKI ZAKO TENDO LA NDOA??
USIKATE TAMAAA.
suluhisho lipo la uhakika
+255710878673

09/01/2024

+255710878673
Mwanaume ambaye alishiriki/atashiri tendo la ndoa na mwanamke mwenye p.i.d(Maambukizi ya bacteria katika via vya uzazi vya mwanamke) atakutana na mambo mazito yafuatayo.
1.maambukizi ya bacteria katika mirija ya uzazi ya kiume na njia ya mkojo.
2.magonjwa ya zinaa(Gonorrhea) na kaswende
3.Kushindwa kukojoa ama kukojoa mara kwa mara ama kukojoa Damu na usahaa.
Ilo ni zahama kubwa
Epukana na zahama k**a Ilo
+255710878673

22/12/2023

Muandae mwenzi wako acha kukurupuka....tendo la ndoa sio vitaaa muraaa+255710878673

22/12/2023

NGUVU ZA KIUME +255710 878 673
TUELEWESHANE KWANZA MAANA HALISI YA NENO UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu.

CHANZO CHA TATIZO
✍️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
✍️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
✍️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
✍️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
✍️Kisukari
✍️Kuwa na mawazo na wasiwasi
✍️Matumizi ya madawa mbalimbali ya kutuliza maumiv
✍️Umri hasa wazee
✍️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
✍️Kuwa na tatizo la kibofu
✍️Tabia za kujichua kwa mda mrefu
✍️Kutopata usingizi kamili
✍️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
✍️Kuwahi kufika kileleni
✍️Kukosa hamu ya mapenzi
✍️Kushindwa kurudia tendo la ndoa
✍️Uume kusimama kwa+255710 878 673

Address

Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Mwanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Ya Mwanaume:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram