27/07/2025
_*DALILI NA MATIBABU YA UGONJWA WA TEZI DUME*_
~ +255769600821 , +255655562181 ~
โข Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume,Jinsi umri unavyo ongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au saratani.
โข Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume: (1) Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis). (2) Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH). (3) Saratani ya tezi dume.
_*Dalili*_
โข Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.
โข Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyo ongezeka. Dalili hizi ni k**a zifuatazo:-
โข Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku. Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku,
โข Mkojo kutiririka polepole, kukatikakatika na hutumia nguvu kutoka au Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
โข Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo kulowesha nguo za ndani.
_*Matatizo ya tezi dume iliyotanuka*_
โข Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:
โข Mkojo kushindwa kabisa kutoka na kulazimu mgonjwa awekewe kathetra ili kumimina mkojo.
โข Madhara kwenye kibofu na figo .
_*Matibabu ya Tezi Dume.*_
โข Matibabu ya BPH yameganyika katika sehemu mbili, yale yanayofanywa kwa kutumia dawa na yale yanayofanywa kwa kutumia upasuaji mdogo.
โข Matibabu kwa Njia ya Dawa hutumika kwa lengo la kulifanya tezi dume kusinyaa na kupungua ukubwa wake.
โข Upasuaji mdogo husaidia kuondoa dalili za BPH na hufanyika pale ambapo matibabu kwa njia ya dawa yameshindwa kuonesha mafanikio yeyote.
โข Njia nyingine ni tiba ya kutumia mawimbi ya joto (Transurethral microwave procedures, TUMT).
โข Tiba ya kutumia Joto la maji (Water-induced thermotherapy).
โข Madaktari wengi hushauri kuondolewa kabisa kwa tezi dume iwapo itathibitika kuwa mgonjwa ana BPH.
_* Za Upasuaji wa Tezi dumeAina*_
โข Zipo njia nyingi za upasuaji wa BPH, nazo ni pamoja na upasuaji kwa kupitia kwenye mrija wa mkojo (Transurethral surgery, TURP), upasuaji mkubwa wa wazi (Open surgery), upasuaji wa kutumia nishati kuondoa tishu za tezi dume Laser surgery), na upasuaji wa kutumia joto la fibreoptic probe kuchoma tishu za tezi dume (Interstitial laser coagulation).
_*Madhara Ya Upasuaji*_
โข Kukosa uwezo wa kufikia kishindo yani hutoi shahawa (retrogade ej*******on) wazee wengi hulalamika sana baada ya hizi operation hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.
โข Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hizo wakati wa kitendo hicho.
โข Baada ya upasuaji mgonjwa anapoendelea kupona kovu linaweza kuziba njia ya mkojo.
โข Shida ya kushindwa kudhibiti mkojo usitoke ovyo (Incontinence): Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kudhibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni.
โข Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.
โข Kutokwa na damu katika siku za awali mara baada ya upasuaji kupitia njia ya mkojo: Kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo.
โข Kuwa mgumba , Ni kawaida Wanaume kuwa wagumba yaani wasioweza kupata watoto. Kwa kawaida, wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ngono, misuli maalum hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume โข โข Hata hivyo, upasuaji wa tezi dume huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.
Njia Sahihi.
Matumizi ya Virutubisho yameonekana kuwa njia Sahihi na salama kutokana na uwezo wake wa kupenya ndani ya sell za tezi dume na kuziboresha hali inayofanya tezi iliyovimba kusinyaa na kurudi katika umbo lake la awali bila kuacha madhara yoyote kwa mgonjwa na kufanya aendelee kufurahia maisha k**a zamani
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐A๐๐๐ ๐๐๐๐ & ๐๐๐๐๐๐๐๐
Callโtext&smsโwhatsapp๐
โ Ili Kupata Ushauri na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya - Mawasiliano - +255655562181 au +255769600821
โ Jiunge na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐๐๐ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q
โ SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA ๐๐๐ kisha tuandikie maoni yako au ushauri hapo chini
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐.