24/10/2025
๐๐๐ก๐ ๐ญ๐ ๐ ๐๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ข
1. Figo kushindwa kufanya kazi ghafla (Acute Kidney Failure) โ hutokea ghafla kutokana na maambukizi, upungufu wa damu au dawa.
2. Figo kushindwa kufanya kazi sugu (Chronic Kidney Disease) โ huchukua muda mrefu na huendelea polepole.
3. Maambukizi ya figo (Pyelonephritis) โ bakteria hushambulia figo.
4. Mawe kwenye figo (Kidney Stones) โ madini hukusanyika na kuunda mawe.
5. Kisukari cha figo (Diabetic Nephropathy) โ kisukari huharibu mishipa ya damu ya figo.
6. Shinikizo la damu la figo (Hypertensive Nephropathy) โ BP kubwa huharibu figo.
7. Kuvuja damu kwenye figo (Glomerulonephritis) โ figo hushambuliwa na kinga ya mwili.
8. Figo zenye uvimbe wa maji (Polycystic Kidney Disease) โ uvimbe unaokua ndani ya figo.
9. Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) โ yakifika figoni husababisha matatizo makubwa.
10. Kansa ya figo (Kidney Cancer) โ chembe za figo hukua vibaya na kuunda uvimbe mbaya.
๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐ ๐๐๐๐ข
1. Kuchoka kupita kiasi โ kutokana na damu chache au sumu mwilini.
2. Uvimbaji wa mwili โ hasa usoni, mikononi na miguuni.
3. Mkojo kubadilika โ rangi, harufu au kuwa na povu.
4. Kukojoa mara chache โ au kuacha kabisa kukojoa.
5. Maumivu ya mgongo โ chini ya mbavu, hasa upande mmoja.
6. Kichefuchefu na kutapika โ kutokana na sumu mwilini.
7. Kupoteza hamu ya kula โ mwili ukiwa umechoka.
8. Kuwashwa kwa ngozi โ au ngozi kuwa kavu sana.
9. Kupumua kwa shida โ maji yakijikusanya kwenye mapafu.
10. Kizunguzungu na maumivu ya kichwa โ shinikizo la damu likipanda.
11. Kupungua uzito โ au kukonda bila sababu.
12. Kuchanganyikiwa โ kutokana na sumu nyingi mwilini.
Rekenisha figo zako na kufanya figo zirudi katika hali yake ya kawaida ya kutoa mkojo kwa ufanisi.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐A๐๐๐ ๐๐๐๐ & ๐๐๐๐๐๐๐๐
Callโtext&smsโwhatsapp๐
โ Ili Kupata Ushauri na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya - Mawasiliano - +255655562181 au +255769600821
โ Jiunge na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐๐๐ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q
โ SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA ๐๐๐ kisha tuandikie maoni yako au ushauri hapo chini
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐.