Dr Sam Makata

Dr Sam Makata Unatafuta ujauzito bila mafanikio kwa muda mrefu?

Ninakupa elimu ya kina kuhusu afya ya uzazi, mzunguko wako wa hedhi, lishe bora, na vidokezo vya asili vinavyoweza kuongeza uwezekano wa kubeba mimba haraka

Changamoto Binafsi, WhatsApp👉 +255 789 699 225

Kutokubeba Mimba Kwa Muda Mrefu Kunaweza Kukusababishia Uvimbe Bila Kujua...👇Mwili wa mwanamke unapokuwa Kwenye miaka 25...
11/12/2025

Kutokubeba Mimba Kwa Muda Mrefu Kunaweza Kukusababishia Uvimbe Bila Kujua...👇

Mwili wa mwanamke unapokuwa Kwenye miaka 25–45, bila ujauzito wa muda mrefu, homoni zinacheza nje ya mstari.

Estrogen inapanda kupita kiasi… na hapo ndipo fibroids, cysts, endometriosis na maumivu ya uzazi huanza.

Lakini hakuna mtu Wa kukuambia hili mapema.

Wengi tunakuja kushtuka pale tunapoanza Kuona hedhi nzito, Kuhisi maumivu ya tumbo yasiyopoa, tumbo kuvimba, na kupoteza mzunguko Sahihi Wa Hedhi.

Ndipo tunaanza kuhisi kuna kitu si sawa.

Najua uchovu na Maumivu ya kuhamishwa hospitali moja hadi nyingine Bila mafanikio ya Kupata Ujauzito.

Najua maumivu ya kuambiwa “tuberculosis of the uterus”, “PID ya muda mrefu”, “tutafanyia upasuaji”.

Najua hofu ya kufikiria miaka inapita na ndoto ya kuwa mama inachelewa.

Hapa ndipo ninapokuja Kukusaidia—
mwanamke akianza kutibu chanzo na siyo dalili, mwili hupona kweli na Uvimbe unaisha Kabisa,

Tena Cha kushangaza k**a Bado mdogo Unaweza kuisha kabisa BILA UPASUAJI

Ikiwa unataka nifanye utathmini wa hali yako na kukupa mwongozo sahihi bila kukuchanganya:

⭐ Comment neno “UVIMBE” hapa chini
nitakutumia mwongozo wa hatua zako sahihi kwenye DM.

Ukweli mchungu ni huu… ukiacha dozi nusu, unachelewesha mwili wako kupata ujauzito.Kila siku nakutana na wanawake na Kwa...
10/12/2025

Ukweli mchungu ni huu… ukiacha dozi nusu, unachelewesha mwili wako kupata ujauzito.

Kila siku nakutana na wanawake na Kwa Asilimia Kubwa wote wakiwa na historia zinazofanana:

• UTI sugu
• Fangasi zisizoisha
• PID ya muda mrefu
• Ovulation inayovurugika
• Mizunguko inayokimbia au kuchelewa
• Hedhi nzito sana/ Hedhi ya Mabonge au Nyepesi
• Maumivu ya tumbo la uzazi
• Na ugumu wa kushika mimba kwa miaka

Ukikaa na wao na kuchunguza safari yao…
Unagundua kitu kimoja:

Awali Walikuwa wanapewa dawa…

lakini hawamalizi dozi.

Dalili zinapopungua kidogo — WANAACHA.
Wanapojisikia vizuri leo — wanaacha.
Kila wanapopata nafuu ya muda — wanaacha.

Kisha mwili unakasirika.

Vijidudu vinazoea dawa.

Maambukizi yanapanda juu kwenye mfumo wa uzazi.

Mirija inapata makovu.
Homoni zinavurungika Zaidi

Na safari ya mimba inakuwa ngumu kuliko ilivyokuwa.

Nikuambie kwa upendo lakini kwa ukweli usiofichwa au ninaweza Kusema UKWELI MCHUNGU 😊:
Uzazi haujengwi kwa dozi ya Nusu Nusu . Uzazi hujengwa kwa tiba iliyokamilika.

K**a unataka nitumie muongozo kamili wa namna ya kutibu chanzo cha tatizo—

Comment neno “UZAZI” hapa chini, nitakutumia hatua zako DM.

Ukihitaji msaada wa karibu zaidi:
Wasap +255(0789 699 225) Dr. Sam Makata

Dada Yangu, Uku tukiendelea kupambania Ndoto ya Kuitwa Mama, Zingatia Haya...👇Ukiona hedhi haitabiriki, nzito, nyepesi k...
10/12/2025

Dada Yangu, Uku tukiendelea kupambania Ndoto ya Kuitwa Mama, Zingatia Haya...👇

Ukiona hedhi haitabiriki, nzito, nyepesi kupita kiasi, yenye maumivu yanayokufanya ushindwe hata kazi…hiyo siyo “NORMAL KWA KILA MWANAMKE” k**a ulivyoambiwa.

Huo ni mwili wako unakuomba huusaidie kabla mambo hayajaharibika zaidi.

Hedhi bora ni dalili ya afya njema ya uzazi,k**a wewe ni mwanamke na unaona kitu hakipo sawa katika hedhi yako ni vema uwahi upate ushauri na msaada kwa wataalamu.

📌 Mwanamke akiwa anapata hedhi yenye sifa hizi hapa chini, hapa tunasema Yuko kwenye Hali ya usalama kwenye upande wa mzunguko wake wa hedhi.

👉Hedhi bora hupatikana mara moja kwa mwezi,yaani mfano k**a mzunguko wako ni siku 28 basi hedhi yako inatakiwa kupatikana kila baada ya siku 28 na k**a hedhi yako haitabiriki ujue kuna shida ambayo unapaswa kutatua kupata hedhi bora.

👉Hedhi bora damu haiwi nyepesi sana au nzito sana, hutakiwi kupata hedhi nzito,hedhi yenye vinyama nyama k**a vipande vya maini.

👉Hedhi bora haiambatani na maumivu makali,Kuna baadhi ya wanawake wanapata maumivu makali kiasi kwamba wanashindwa hata kuendelea na shughuli zao za Kila siku

Je umeshawahi kuona mwanamke siku akiingia kwenye siku zake hupata maumivu NA hushindwa kufanya kazi?
Kwa kawaida maumivu yanapaswa kuwepo ila siyo makubwa ya kufanya MTU asifanye kazi,k**a unapitia kipindi hichi basi unatakiwa kuonana na mshauri kupata hedhi bora.

👉Hedhi isiyo bora husababishwa mwanamke kupata mabadiliko ya mwili mfano kuvimba usoni au kuwa na upele,au chunusi nyingi,

👉Hedhi bora hupatikana siku 3 mpaka 7,katika mzunguko wa mwezi siku za hedhi zinapaswa kuwa 3 mpaka 7 chini ya hapo au zaidi ni ishara ya hatari katika afya yako

Ukijichunguza kwenye mzunguko wako wa hedhi je unahisi uko kwenye hedhi salama?

Share nami hapa, nitakupa Ushauri BURE KABISA

Matatizo binafsi, kuhitaji msaada wa matatizo ya uzazi, nitumie ujumbe Inbox na wale wakuanza dozi zenu tuwasiliane +255(0789699225) Dr Sam Makata

🔴 Kwa kifupi?Usijinyime furaha ya ndoa. Usiache kupata dozi yako mara kwa mara!Ni tiba ya mwili na akili. Ukiihitaji… se...
09/12/2025

🔴 Kwa kifupi?
Usijinyime furaha ya ndoa. Usiache kupata dozi yako mara kwa mara!

Ni tiba ya mwili na akili. Ukiihitaji… sema tu. Mume wako ashughulikie wajibu wake bila kusita 😅🔥

👉🏽 Au bado hujanielewa vizuri? 😄

✍🏽 Huu ni Ukweli mchungu lakini ni Hali halisi… ndoa bila mtoto huwa safari ngumu. Mara nyingi tunaanza maisha ya ndoa n...
08/12/2025

✍🏽 Huu ni Ukweli mchungu lakini ni Hali halisi… ndoa bila mtoto huwa safari ngumu.

Mara nyingi tunaanza maisha ya ndoa na furaha, ndoto, na ramani za baadaye—lakini mwaka, miwili bila ujauzito…

Taratibu furaha hugeuka maumivu.

Maneno kutoka kwa wakwe, lawama za mume, michambo ya mawifi… yote yanakusukuma mzigo usio wako peke yako.

Wengine hata hukimbilia makundi ya maombi kila wiki, wakitafuta majibu bila kufahamu chanzo.

Wengine huangukia kwa waganga wa kienyeji, kupewa vitu vya ajabu… mwisho wake ni hasara na huzuni tu.

Dada yangu, sikiliza kwa utulivu…

✅ Pima mapema. Usibebe lawama peke yako—mimba ni suala la wanandoa wote wawili.

✅ Epuka matumizi ya kupita kiasi ya vidonge vya kupanga uzazi na utoaji mimba; madhara yake huathiri uzazi.

✅ Kuwamini Mungu na kuwa mvumilivu ni sehemu ya safari—baraka huwa zinachelewa, HAZIPOTEI.

✅ Na tafadhali, epuka waganga wa kienyeji. Hawana tiba, wanazidisha maumivu.

Nakuelewa, nakuhofia, na nakuthamini.

Bado kuna tumaini.

Kuna njia salama, za kitaalamu, na asili zilizothibitishwa ambazo hurudisha afya ya uzazi na kuongeza nafasi ya kushika mimba.

Usikate tamaa. Baraka zako hazijapotea.

Lakini ukweli ni mmoja 👉 tatizo la uzazi SI la mwanamke pekee. Uchunguzi wa mapema na kutunza afya ya kizazi ni nguzo ya ushindi.

Nipo upande wako. Kuna wanawake wengi ambao wamepona, wamerejea kwenye usawa wa mwili, na wamebarikiwa ujauzito ndani ya siku 90 kupitia njia asili na salama.

K**a unajisikia hili linakugusa, nitumie DM neno “UZAZI” nikutumie muongozo wako wa kuanza safari mpya.

Kwa ushauri wa faragha, nitumie WhatsApp: +255(0789 699 225)
— Dr. Sam Makata 🤲🏾💚

Mdomo Kuna mamilioni ya vimelea ambao si marafiki wa uk'e.Wakifika ndani wanaanza safari ya kuharibu mazingira ya uk'e →...
07/12/2025

Mdomo Kuna mamilioni ya vimelea ambao si marafiki wa uk'e.
Wakifika ndani wanaanza safari ya kuharibu mazingira ya uk'e → kupanda kwenye kizazi → hadi kugeuka P.I.D, kisha mirija inaanza kushikana/Kutengeneza Makovu

Na hapo ndoto ya Kupata ujauzito inaanza kuyumba.

Lakini nimekuambia haya SIO KUKUTISHA — ni kukulinda.

Na Kwa ambaye Tayari umepata Madhara yake, Kutafuta Msaada Sahihi Mapema

Mwili wako unaweza kurudi kwenye afya yake ya uzazi… K**a Tu ukitibiwa kwa njia sahihi.

Komment “UZAZI” nikutumie muongozo kamili wa kurejesha mfumo wa uzazi wako na kuepuka maambukizi haya.

Au nitext Wasap +255(0789 699 225) kupata usaidizi wa haraka.

✍️MUHIMU SANA KUFANYA UCHUNGUZI WA VIPIMO KUJUA HALI YA AFYA YAKO.Fanya uchunguzi wa afya yako na wa Mume wako (hormones...
04/12/2025

✍️MUHIMU SANA KUFANYA UCHUNGUZI WA VIPIMO KUJUA HALI YA AFYA YAKO.

Fanya uchunguzi wa afya yako na wa Mume wako (hormones, mirija ya uzazi, mbegu za kiume).

✅️JAMBO LA UMUHIMU LINGINE, NI KUTUMIA TIBA SAHIHI kujitibia changamoto za uzazi toka ndani, Anza leo Ili ukomboe afya yako, na ndoa yako

✅️Kumbuka: Ujauzito ni baraka na safari ya kipekee, hivyo usijiweke kwenye presha kubwa. Utunzaji wa mwili na akili huongeza nafasi zako kwa kiwango kikubwa.

K**a umesoma na kuelewa , Sema Asante hapa kwenye komment

Msaada Binafsi Wasap me +255(0789699225), Dr Sam Makata

Mara kadhaa unaona Hedhi yenye mabonge, damu k**a udongo, harufu kali, damu nyeusi, au hedhi yenye utelezi…Lakini hujui ...
03/12/2025

Mara kadhaa unaona Hedhi yenye mabonge, damu k**a udongo, harufu kali, damu nyeusi, au hedhi yenye utelezi…

Lakini hujui hizi ni ishara za ndani kwamba homoni zimechoka/ kuvurungika, infection zimekaa muda mrefu,

na kizazi kimejaa uchafu kisichoondoka kwa dawa za haraka za Kutuliza Maumivu

Na ukweli usio mtamu ni huu:
Hedhi yako ndiyo ramani ya uwezo wako wa kushika mimba.

Ikivurugika — ovulation inavurugika, mazingira ya kizazi yanaharibika, na mimba inachelewa bila sababu inayoonekana nje.

Ndio maana kazi yangu ni kukuambia ukweli, hata k**a ni Mchungu:
Usipojua mzizi wa tatizo, utapona leo na kurudia kesho.

K**a unataka kuelewa aina ya hedhi yako na nini inamaanisha kwa fertility yako/ Afya Yako ya Uzazi,

Komment neno “HEDHI” nikutumie mwongozo wa bure unaojenga ufahamu Zaidi.

Hakuna Kinachoumiza K**a Kupita Mwaka Mzima Ukijaribu Kushika Mimba Bila Matokeo… Na Hata Wakati Mwingine Chanzo Ni Kitu...
02/12/2025

Hakuna Kinachoumiza K**a Kupita Mwaka Mzima Ukijaribu Kushika Mimba Bila Matokeo…

Na Hata Wakati Mwingine Chanzo Ni Kitu Rahisi Sana Kurekebishwa Ukipata Msaada Sahihi...

Kila Siku nawasiliana na wanawake k**a wewe — wenye ndoto, wenye maumivu ya ndani, wanaopitia PCOS, PID, cysts, fibroids, kutopata ovulation, mizunguko isiyoeleweka…

Na KINACHONIUMIZA zaidi ni hiki 👇

WANATESEKA BILA MPANGO SAHIHI.

Wanabadili dawa, wanakula chochote, hawajui ovulation/ Siku za Hatari ni lini, na kila mwezi/ kila Mwaka wanalia kimya kimya na kuishia Kwa Mateso Kwenye Ndoa Zao..

Lakini pia kuna wale ambao hawajui kuwa lishe, usingizi, msongo, infection za muda mrefu na homoni zilizovurungika ndizo zinazuia mimba kushika.

Ukishaelewa Sababu, matokeo yanabadilika ndani ya miezi michache Kupitia Msaada Sahihi

Nami nipo hapa Kukusaidia Kutambua Chanzo, Kupata Muongozo na Msaada Sahihi Kulingana na Changamoto Yako

Ukiwa tayari kuanza safari mpya kabla hatujaingia 2026,
Comment neno “UZAZI” ili nikutume mwongozo wako.

Na k**a changamoto imekuwa kubwa kwa muda mrefu…
UzaziRestore ni tiba ya asili inayorekebisha homoni,

kuondoa PID/PCOS inflammation, kutengeneza ovulation thabiti, na kuandaa mwili kushika ujauzito ndani ya siku 30–90.

Inakuja na:
✨ Muongozo wa lishe
✨ Support yangu ya karibu
✨ Mwongozo wa tendo la ndoa kwa siku sahihi
✨ Usimamizi wa mzunguko wako

Gharama: 260,000 Tzs kwa mwezi.
Wasap: +255(0789 699 225)

Ukweli ni huu...👇P.I.D ni ugonjwa ambao wanawake wengi wanatembea nao kwa miaka bila Kutambua moja kwa moja.na Hatari Za...
02/12/2025

Ukweli ni huu...👇
P.I.D ni ugonjwa ambao wanawake wengi wanatembea nao kwa miaka bila Kutambua moja kwa moja.

na Hatari Zaidi ni Ugonjwa Ambao Unaharibu taratibu Uzazi Wako,

unajenga makovu kwenye mirija, unavurunga homoni, na unakuacha ukipambana kupata ujauzito bila mafanikio.

Kwa Kifupi ninaweza Kusema Hivi

Uchafu mdogo Wa tofauti, maumivu ya tumbo, hedhi isiyoeleweka—mara nyingi si “mabadiliko ya kawaida”

… ni maambukizi yanayojenga makovu yanayokuzuia kushika ujauzito.

Na ukichelewa kutibu, uharibifu wake huwa wa kudumu.
Ndiyo maana ninakuambia: USIIPUUZE HATA KIDOGO.

Ukitaka Nikusaidie Zaidi, Tathmini kamili ya Changamoto Yako, na kujua k**a una PID,

Komment neno “PID” — nitakutumia kwenye DM, nitakujibu na Kukusaidia

Siyo Kila Uchafu Uk'eni ni Fangasi ama P.I.D… Lakini Kila Uchafu Una Maana Unayoitoa.Dada, wanawake wengi wamezoea kuona...
01/12/2025

Siyo Kila Uchafu Uk'eni ni Fangasi ama P.I.D… Lakini Kila Uchafu Una Maana Unayoitoa.

Dada, wanawake wengi wamezoea kuona uchafu uke'ni wanadhani ni kawaida Kwa Kila Aina ya Ute/ Uchafu...

Lakini ukweli ni kwamba uchafu unaweza kukuonyesha hali ya homoni zako, afya ya uk'e, uwepo wa PID, fangasi sugu, uvimbe, cyst, au hata mimba inayoharibika kimya kimya bila wewe kujua.

Kila siku nakutana na wanawake, na Maswali Mengi Uwa Hivi...👇🏽

“Daktari uchafu wangu huwa mweupe… lakini siku nyingine unakuwa brown, siku nyingine una harufu… sijui niugonjwa au kawaida.”

Leo Kuna Kitu nataka ujifinze Kupitia post Hii, Kwamba Kila Ute/Uchafu Unaotoka Ukeni haujawahi kuwa wa bahati nasibu.

Kila aina ina ya Uchafu una chanzo, na maana yake na mwili wako huwa unakuambia kitu.

Katika Slide Hizi nimekuelekeza Kwa kina, Chanzo na maana yake, pia Namna ya kujikinga

👉 K**a unataka kujua uchafu wako unasema nini kuhusu mwili wako, comment neno “UCHAFU” Kupitia DM/ INBOX Yangu nitumie uchambuzi sahihi.

👉 K**a unahangaika kupata ujauzito kwa muda mrefu, na unataka tiba ya msingi — si ya muda mfupi — nitumie DM neno “UZAZI” nikuelekeze hatua inayofuata.

👉 Au Wasap moja kwa moja: +255(0789 699 225)

UzaziRestore — Tiba ya kurejesha ndoto ya kuwa mama.🤱

Sababu 6 Za Mwanamke Kukosa Hisia Za Tendo...👇Hii hali huwa inatokea kimya kimya, lakini ukweli ni kwamba mwili wa mwana...
30/11/2025

Sababu 6 Za Mwanamke Kukosa Hisia Za Tendo...👇

Hii hali huwa inatokea kimya kimya, lakini ukweli ni kwamba mwili wa mwanamke hujibu moja kwa moja kile roho na akili vinapitia. Let’s break it down:

1. Maumivu ya Kihisia
Mzigo wa hisia kutoka mahusiano ya zamani au ya sasa unaweza kufifisha kabisa hamu.
Maumivu, udhalilishaji, stress… vyote vinauwezo wa kuzima mfumo mzima wa hisia za kimapenzi.

2. Migogoro ya Kwenye Uhusiano
K**a kuna ugomvi wa mara kwa mara, ukosefu wa mawasiliano, au hisia ya kutelekezwa—mwili unafunga breki.
Mwanamke anahitaji ukaribu wa kihisia ili mwili wake uanze “kwenda na flow.”

3. Kukosa Mvuto kwa Mwenza
K**a mvuto umepungua au mwanaume hajui namna ya kumjengea mood taratibu, hisia hujizima naturally.
Upendo pekee hautoshi k**a connection ya kimwili haipo.

4. Changamoto za Homoni
Mabadiliko ya hedhi, ujauzito, kunyonyesha, menopause… yote huathiri libido.
Pia matatizo k**a low estrogen au thyroid yanaweza kushusha kabisa hamu.

5. Uchovu wa Mwili (Physical Exhaustion)
Wanawake wengi hubeba majukumu mengi—kazi, familia, stress.
Uchovu unapokuwa juu, hamu hushuka chini. Mwili haupati mood ukiwa umechoka kupindukia.

6. Afya ya Akili (Mental Health)
Anxiety, depression, msongo wa mawazo wa muda mrefu… vyote hufunga kabisa mfumo wa pleasure/ Hamu ya Tendo Kupungua

Akili ikiwa kwenye survival mode, mwili hauwezi kuwasha engine ya romance.

Ukiona hali imekuwa sugu, usiipuuze. Hizi ni dalili zinazoashiria mwili unahitaji msaada wa kitaalamu.

Ikiwa unahitaji direction sahihi ya kimatibabu au unahangaika na issues za hamu kushuka/ Kukosa RAHA Faragha, maumivu, au mzunguko,

DM neno “NAHITAJI” nikusaidie moja kwa moja k**a daktari wa afya ya uzazi.

Niko hapa kukusaidia kwa tiba za kitaalamu, lishe, na tiba asilia — kwa usahihi na uangalizi. 💛🔥

Address

OFISI IPO, Jengo La Makumbusho Complex Floor Ya Pili, Kijitonyama Makumbusho
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Sam Makata posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Sam Makata:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category