11/10/2023
P,I,D
PELVIC INFLAMATORY DISEASE (P,ID),Ni maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke au mfumo wa uzazi wa mwanamke,,kwa kawaida maambukizi haya ynahusiana na mji wa mimba (uterus,shingo ya kizazi) (cervix,( fallopian tubes Mirija ya uzazi ya mwanamke ) na sehemu yanapozalishwa mayai haya ( ovarie)
⭐JE NI SABABU GANI AU VYANZO VYA TATIZO HILI AU UGONJWA HUU WA P,I,D👇🏻👇🏻
🌸UGONJWA HUU UNASABABISHWA NA BACTERIA WA MAGONJWA YA ZINAA HUSUSANI GONORRHEA NA CHYLMIDIA
⭐NI JINSI GANI MWANAMKE ANAWEZA PATA UGONJWA HUU SASA 👇🏻
☘️Kupitia ngono zembe (magonjwa ya zinaa k**a kaswende na kisonono)
🌺Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
🍀Kufanya mapenzi bila kutumia kinga (condom)
🌸Kupitia kunyonywa uke mara kwa mara
☘️Kuweka vitu ukeni ili kuufanya uke ubane au upendeze kwa mpenzi wako
🌺Utoaji wa mimba mara kwa mara ,,halafu kukosa usafishaji mzuri baada ya kutoa
🍀Kupitia njia ya kujifungua kwa njia za kienyeji hasa kwa wakunga k**a hawatakua makini
🌸Kutumia madawa na njia za kuzuia mimba k**a vijiti sindano n.k
🍀Kupitia u,t,i na fungus sugu
☘️ Kutozingatia usafi wako binafsi
💫DALILI ZA UGONJWA HUU WA P,I,D
Mwanamke atagundulika kuwa na tatizo la p,i,d k**a atakuwa na dalili zifuatazo👇🏻👇🏻
☘️Maumivu makali ya tumbo hasa chini ya kitovu
🌸Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya wenye rangi ya maziwa mgando,kijani au njano
🍀Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa (kujamiana)
🌺Kutokwa na damu wakati wa kujamiana
☘️Kuumwa mgongo mara kwa mara
🌸Kutokwa na usaha ukeni wakati mwingine
🍀Kupata maumivu wakati wa kukojoa
⭐MADHARA GANI HUMPATA MWANAMKE MWENYE UGONJWA HUU WA P,I,D
K**a mwanamke atapatwa na gonjwa hili la p,i,d akashindwa kutibiwa mapema, Madhara yafuatayo yanaweza kumtokea
🌸Kupata tatizo la hormone imbalance (mvurugiko wa hormone)
🍀Mirija ya uzazi itaziba na hivyo kushindwa kupitisha mayai yaliyopevuka ili kututubishwa
🌺Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa sababu ya hormone imbalance
☘️Kuwa na uke mkavu mara kwa mara
🌸Mzunguko wa hedhi (period) kubadilika mara kwa mara
🍀Wakati mwingine kukosa period kwa muda mrefu
🌺Kupata kansa ya shingo ya kizazi kutokana na kushambuliwa na bacteria
Call 255-719196408.