AFYA YAKO 11

AFYA YAKO 11 🍇NGUVU ZA KIUME | UNENE | KITAMBI
🌍YOUTH & WOMEN BUSINESS COACH
+ 255752013344●255676997616

02/02/2026

Chukua hii fanya within 90days Asubuhi na usiku before bed.. utanishukuru

The skin is really And Natural 💙     ゚viralシfypシ゚viralシ
09/01/2026

The skin is really And Natural 💙

゚viralシfypシ゚viralシ

08/01/2026

USISUBIRI KUSIMULIWA AU KUONA KWA WENGINE TU! EBU
SASA NI MUDA WAKO WA KUANZA SAFARI YA . KUONEKANA VIZURI KUWA NA MNG'AO ASILIA KWENYE NGOZI YAKO
• NA KUBORESHA AFYA KWA UJUMLA
- FOREVER MARINE COLLAGEN IKO TAYAR KWA AJILI YAKO
!! ZIMEBAKI CHACHE MNO WAHI SASA HIVI KUWEKA ORDER YAKO KABLA HAZIJAISHA
KARIBU INBOX AU WHATSAPP
KWA NAMBA
HII:
+255 752013344
UPATE FOREVER MARINE COLLAGEN YAKO LEO NA UANZE SAFARI YAKO YA KU GLOW 2>0% KUANZIA NDANI HADI NJE D L

07/01/2026

Haya ndio Matokeo Ya Forever Marine Collagen... Matokeo ni Kwa muda mfupi Na ya Uhakikaa...Usischelewe Anza Kujali Ngozi yako sasa Uwendelee Kuwa kijana...

Karibu 0752013344

゚viralシfypシ゚viralシ

07/01/2026

COLLAGEN ni moja Ya Protein Muhimu sana kwenye Mwili Wa Binadamu Na kazi zake kubwa mwili ni ''GROWTH '' katika Ngozi Ndani na Nje Ya ngozi, kusaidia Ukuwaje Wa Kucha.. Na moja ya tabia ya Collagen Mwili nikwamba huwa inapungua Kwa kadri Umri unapukuwa Mkubwa zaidi

Sasa Forever Marine Collagen ni Nini???

Hii ni Protein Bora kabisa ambayo husidia Kuondoa Mikunjo Kwenye Ngozi Na Husaidia changamoto zote za Ngozi...Karibu sana

Contact: 0752013344

01/01/2026

Hii ni Barua ya Wazi Kwa Wanaume Wote Wanaojitambua na Wanaothamini Afya Zao... Sikiliza Kwa makini 👇👇

01/01/2026

Hii ni nzuri kwa ngozi, yako, kucha na nywele zako... k**a umekuwa ukiteseka na vipele, makuvu usoni chunusi zisizoishaa

Contact: 0752013344
゚viralシfypシ゚viralシ
゚viralシfypシ゚viralシ

29/12/2025

💖 *JINSI MWANAMKE ANAVYOPASWA KUWA ILI AHESHIMIWE KATIKA MAHUSIANO* 🌸✨

1. *Awe na Heshima kwa Mpenzi Wake*
- Mwanamke anayejua kutumia lugha ya staha, anayemjali mpenzi wake na kumheshimu hadharani na faraghani, hupewa heshima ile ile anayotoa.

2. *Awe Mvumilivu na Mwelewa*
- Mahusiano yanahitaji uvumilivu. Mwanamke mwenye busara hujua wakati wa kunyamaza, kusamehe na kuelewa hali ya mpenzi wake.

3. *Ajithamini na Kujiheshimu*
- Mwanamke anayejiheshimu hawezi kudharauliwa. Anajua thamani yake na hajishushi kwa sababu ya mapenzi au presha ya nje.

4. *Awe Muaminifu na Mkweli*
- Uaminifu ni silaha ya mwanamke wa heshima. Asiye na michezo ya nyuma, asiyejifanya — hupendwa kwa moyo wa kweli.

> 💗 🔥🤌*Weka ❤️ k**a unakubali kuwa mwanamke wa heshima hujengwa na tabia njema, si sura wala mavazi.*


29/12/2025

*💬 MAMBO MUHIMU MWANAUME ANAYEPENDA KWA DHATI ANAPASWA KUZINGATIA 💙*

*1.* _🔑 Uaminifu ni msingi wa kila uhusiano._
Mwanaume mwaminifu hujenga imani na amani moyoni mwa mwanamke wake.

*2.* _🗣️ Mawasiliano ya wazi._
Kutoa nafasi ya kuongea kwa uwazi, kusikiliza bila hukumu, huimarisha uhusiano.

*3.* _🤝 Kuwajibika na kuwa na malengo._
Mwanaume anayejua anachotaka na anayechukua hatua ni mvuto wa kudumu kwenye mahusiano.

*4.* _💞 Kuonyesha upendo kwa vitendo._
Si maneno tu — matendo ya upendo, msaada wa kihisia na kiakili huonyesha uzito wa hisia zako.

> *Weka 💙💚🧡💙❤️💙 k**a unaamini mwanaume bora hujengwa kwa tabia njema na moyo wa kujali.*

nguvu Bora

29/12/2025

Hivi Kwa Jinsi Maisha Yanavyoenda Kasi ukiambiwa Uchague Pesa na Mapenz... wewe Utadomdokea Wap

A. Pesa
B. Mapenzi?

Add Your Comment
nguvu Bora

15/12/2025

Hebu Leo..Mtwambie Je ikitokea Ex wako Kakwama Then Akakufuata au Akakutafuta..Umsaidie kwa namna yeyote Ile Je unaweza Msaidia Yule Ex wako???

13/12/2025

Ngoja Leo niulize, hivi kweel kuna Wanaume Hawapend kufuatilia mpira, kandanda... Na k**a Wapo Hebu watwambie Nn Wanapenda...???

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam
000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YAKO 11 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram