22/03/2020
Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (*Ovarian cysts)
Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana kwa wanawake kwa kupata uvimbe kwenye mayai (ovaraian cysts)
Kwa kawaida mwanamke ana ovari mbili amabazo hukaa chini pembeni mwa tumbo la chini upande wa kulia na kushoto ambapo hizi ovari hutoa mayai ambao hurutubishwa na kuwa kumpeleka mwanamke kupata mtoto
Tatizo hili la uvimbe huwapata wanawake wote haijarishi umri wake pale tu mwanamke anapokua amefikia umri wa kuvunja ungo basi tatizo hili anaeza kulipata
Mara nyingi tatizo hili huanza bila kuonyesha dalili yoyote apo mwanzo lakini linapokua kubwa huanza kuonyesha dalili zifuatazo
1. Maumivu makali ya nyonga ambayo huambatana na kiuno kuuma sana , hii inapekea mpka mwanamke anashindwa kufanya kazi zake vizuri .
2. Maumivu makali ya tumbo hasa upande wa chini .mwnamke anaeza kua anapata maumivu makali ya tumbo hasa lachini upande mmoja au pande zote mbili ( kulia na kushoto)
3. Kuisi tumbo limejaa na kukosa hamu ya kula chakula
4. Kutapika pamoja na homa ikiambatana na maumivu ya mwili mzima
Sababu za tatizo hili
1: homoni za mwili kutokua na usawa! Wanawake ambao hutumia dawa ambazo zinaweza wasaidia kupata watoto k**a vile chlomohen wako kwenye hatari ya kupata tatizo hili
2: ujauzito
3: endometriosis, hii hupelekea cells kuota nje ya uterus na nyingine kujishikiza kwenye ovari na kukua na kuleta tatizo hili
5: Maambukizi ya mda mrefu kwenye via vya uzazi k**a vile PID
Madhara yake
1: kuvimba kwa ovari na kupekelea kupasuka
2: kusambaa sehemu nyingine
Kwan ushauri zaidi piga namba hizi kupata msaada zaidi juu ya tatizo ili
Kwa kupiga simu za kawaida : 0788574263
Whatsup:0658818875
@ Dar es Salaam, Tanzania