28/08/2025
*🧬 UCHAFU UKENI SI KAWAIDA – CHUKUA HATUA MAPEMA!*
Wanawake wengi huona ni kawaida kutokwa na uchafu ukeni bila kujua kuwa inaweza kuwa ishara ya:
✅ Maambukizi ya fangasi
✅ Bacterial vaginosis
✅ PID (maambukizi ya nyonga)
✅ Magonjwa ya zinaa
Usingoje hali iwe mbaya!
*Uzazi Ni Neema* inakuletea suluhisho la kitaalamu kwa njia salama, ya kitaalamu na ya heshima.
📞 Piga simu au WhatsApp sasa: *0784 467 693*
🔒 Faragha yako inaheshimiwa.
*Afya ya uke ni sehemu ya heshima yako. Tibu mapema.