01/01/2026
Wapendwa,
Mwaka 2025 tulikimbia,
Mwaka huu 2026 tumeanza kwa kukimbia, na tutakimbia sana.
Lakini la muhimu sana ni kumtanguliza Mlinzi Mkuu Asiyelala wala Kusinzia! Zaburi 121:2-8.
Nakupa neno lenye nguvu kubwa:-
Kutoka: 33:14
"Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha".
USO WA BWANA UENDE NAWE.
Heri ya Mwaka Mpya 2026!
Mwenyezi Mungu atubariki sote.
Sema Amen!
๐๐๐