Maisha halisitz

Maisha halisitz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maisha halisitz, Psychologist, Tabata, Dar es Salaam.

K**a unapitia changamoto yoyote katika mahusiano yako, ndoa au mapenzi yako huyaelewi basi karibu kwenye huduma zangu za ushauri pia follow account yangu ya Instagram ya kwa huduma zote

NIKWAMBIE KITUWala hauna mikosi na nuksi , wala wewe sio mkosaji , ni vile tu muda wako bado...Haujashindwa wala nini , ...
05/12/2025

NIKWAMBIE KITU
Wala hauna mikosi na nuksi , wala wewe sio mkosaji , ni vile tu muda wako bado...

Haujashindwa wala nini , bado haujafeli kabisa , ni vile tu upo kwenye foleni ya kupata kwako...

Mbona wewe sio m'baya , ila mtu wa kuona uzuri wako bado hajafika kwenye maisha yako...

Trust the process , sio msamiati tu , ni kipimo cha kweli kwa wanaostahili mafanikio...

Haujarogwa mwanangu , ni vile tu bado Mungu hajaweka tiki kwenye harakati zako...

Subiria muda wako kwa kuendelea kupambana na kushinda vita zako...

HUna kasoro yoyote niamini lakini unakutana na watu ambao bado kwao mapenzi ni hit and run

unakutana na wanawawake waliofuta ndoa kichwani wao wanawaza pesa na mapenzi hawana hisia..

unakutana na watu maskini wa fikra wasio ona umhimu wa upendo wa kweli wala huna kasoro kabisa..

Lakini niamini wakati unakuja utakuja kukutana na mtu wa maana tena kwa muda mfupi tu utafurahia sana...

Ushauri wangu ufanye dawa lipia huduma zangu hizi ni elfu 25 tu unalipia Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea

05/12/2025

Sure.. wakaka wanaupendo bwana acha tu

05/12/2025

BINTI AMBAYE HUJAOLEWA USIKATISHWE TAMAA NA WALIOOLEWA.

CHUKUA HEKIMA 5 MUHIMU KWAKO BINTI UNAYEMWAMINI YESU AKUPE MME WA KUSUDI NA HATIMA YA BARAKA.

1.Kuolewa si muujiza wala si bahatinasibu.
ni haki yako ndio maana ume umbwa kwa jinsia ya k**e.Ndio maana MUNGU kakuumba ukiwa na jinsia ya k**e utambue ni haki yako kabisa.

2.Kuna mtu atakuelewa jinsi ulivyo bila kujali mwonekano wako.

Kuna watu wanapenda wanawake wa namna Fulani na kuna mtu anapenda mtu wa namna yako jikubali Tu. YAWEZEKANA UKAWA WEWE.

:- Kuna mtu wa aina yako mtu ana mtu wake (MWAMBIE MUNGU NIPE MTU WANGU WA KIAGANO).
MTU WA KUSUDI
MTU WA HATIMA.

3.Usiwaze sana nani atakuoa waza sana unataka kuwa aina gani ya mke.

kuwa mke mjenzi(mtu wa hekima).
kuwa mke mpumbavu.
kuwa mke mharibifu.

HUU NDIO MDA WA KUJIANDAA MUNGU HATA KUSAHAU "Usiende kuwa mke mzigo" Yaani tabia huna,hekima ya ndoa huna,kujiheshimu huwezi (Utaenda kuongeza matatizo kwa mtoto wa mtu kwasababu ya kukosa maandalizi).

4.Usikubali mwanaume akuoe kwasababu ya kukuhurumia. Acha akuoe kwasababu amekuelewa jinsi ulivyo;Tengeneza mazingira ya kuongeza thamani.
•Acha kujilipua nasikia siku hizi kuna wa dada wanajilipua unambembeleza na kumlilia mwanaume akuoe UTAJUTA.

UKIOLEWA KWA KUONEWA HURUMA UTASIMANGWA SANA,UTANYANYASWA SANA.

LET YOUR BEAUTY SPEAK ON YOUR BEHALF.

5.Usishushe viwango kwasababu mda wa kuolewa umeenda Sana, sasa ukotayari kuolewa na mwanaume yeyote ili mradi tu anajinsia ya kiume.

anaweza kuwa na jinsia ya kiume lakini asiwe Mme wa maisha yako .

na kiu sana unaweza kunywa maji machafu na ukahisi matamu kwasababu ya kiu iliyoko ndani yako.
•Punguza huruma kwa mwanaume unayehisi atakuwa mme wako.

Usiolewe Tu ilimradi na wewe umeolewa La sivyo ni bora kubaki single kuliko kuyachezea maisha yako kwa mwanaume ambaye unajua kabisa hakupaswa kukuona ila kwasababu Tu ya kufuta aibu unamkubalia . Ushauri wangu ni bora kubaki single kuliko kulipua kwenye suala la kuolewa.

Eti! Mda umeenda ngoja nimkubalie Tu huyu; Pole Sana.

na mtu unayempenda si unayejilazimisha kumpenda (wewe si wakila mwanaume kuna aina yako ya Mme).

Yakobo 1:17
✍️

04/12/2025

Men ✍️

03/12/2025

mmesikia

02/12/2025

Wanaume

Muombee Dear future husband! wakoNaomba siku moja tukutane katika hali ambayo mioyo yetu imekomaa, akili zetu zimepevuka...
02/12/2025

Muombee
Dear future husband! wako

Naomba siku moja tukutane katika hali ambayo mioyo yetu imekomaa, akili zetu zimepevuka, na ndoto zetu zinakwenda mwelekeo mmoja.

Sijui utakuwa nani, wala sijui tutakutana lini, lakini najua tutakapokutana, tutaelewana kabla hata ya kuzungumza.

Nakuombea kila siku, mungu azidi kukulinda Fyucha wangu.

So future husband… fanya uje. I’m tired of waiting, lakini bado naamini muda wa Mungu ni sahihi. Come when the time is right.

NAKUPENDA 💚

28/11/2025

lala tu kesho mwamkie umlipie ushauri umunyooshe
27/11/2025

lala tu kesho mwamkie umlipie ushauri umunyooshe

Mwanamke uliumbwa ili umkamilishe mwanaume hukuumbwa ili ushindane na mwanaume 💯Mwanamke nisikilize Mimi, niamini Mimi. ...
27/11/2025

Mwanamke uliumbwa ili umkamilishe mwanaume hukuumbwa ili ushindane na mwanaume 💯

Mwanamke nisikilize Mimi, niamini Mimi. Mtu asikudanganye, mwanamke uliumbwa ili umkamilishe mwanaume, hukuumbwa ili ushindane na mwanaume. Sijui unaipokeaje moyoni mwako lakini ndio ukweli mchungu kuwa A woman was created to complement a Man but not to compete with a Man.💯

Mwanamke usikubali kuingizwa mkenge na wanaharakati wanaokuambia upiganie haki sawa na mwanaume. Wengi wa hawa wanaharakati ni wale wanawake wapumbavu waliozibomoa nyumba zao kwa mikono yao wenyewe. Sasa wasikuingize mkenge ili ufanane nao. Wanakuonea wivu hapo kwenye ndoa yako wewe hujui tu. Hakuna 50 kwa 50 na kiongozi wako. Mwanaume ni kiongozi, ni kichwa. Kiongozi ni mmoja tu, wengine ni wasaidizi wa kiongozi. 💯

Huu ndio ukweli mchungu na ukweli ni mmoja tu, hauna mbadala.💯✍️


Ushauri au group la wachumba ni elfu 25 tu unalipia Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea

Sikiliza wewe Upweke ndio gereza gumu zaidi duniani , mtu kuliishi...Kuna watu walichukua maamuzi ya kujiua kwa sababu y...
26/11/2025

Sikiliza wewe
Upweke ndio gereza gumu zaidi duniani , mtu kuliishi...

Kuna watu walichukua maamuzi ya kujiua kwa sababu ya upweke...

Kuna watu , waliingia kwenye mahusiano wasiyoyafurahia kwa sababu ya upweke...

Kuna watu , waliingia kwenye ndoa wasioitaka , kwa sababu ya upweke...

Kuna watu waliingia kwenye makundi mabaya kwa sababu ya upweke...

Upweke huwa unatafuna nguvu ya ndani ya mtu , upweke huondoka na utulivu wote wa mtu...

Upweke haukai chumba kimoja na furaha , rafiki yake wa karibu ni hasira...

Uogope sana upweke ,
unazalisha sumu mwilini akili inadumaa unakua huna mawazo chanya..
mimi nataka watu waingie kwenye group langu la wachumba.. kwanza kuwafanya waondokane na upweke... wapate watu wao wa maisha.. wapatr mawazo mapya ya kuvuka changamoto zao


LECTURE...

Usimlazimishe mtu akupende,💔usiku umejaa watu wanaolala wakiwa na maumivu kwa sababu walijitoa kupita kiwango kwa mtu as...
26/11/2025

Usimlazimishe mtu akupende,💔
usiku umejaa watu wanaolala wakiwa na maumivu kwa sababu walijitoa kupita kiwango kwa mtu asiyejali.💔
Mapenzi hayajengwi kwa kupiga kelele,
yanajengwa na mtu anayekuchagua hata kimya cha usiku kinapouma.

Kumbuka:❤️
Mtu anayekupenda atakupa amani, sio maswali.
Atakuweka kwenye moyo wake, sio kwenye foleni ya kusubiri nafasi.

Leo jipe moyo💞
k**a haonekani kukupenda, usimtafute;
mapenzi ya kweli hutembea kuelekea kwako, hayakimbii.


Ushauri au group la wachumba ni elfu 25 tu unalipia Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Telephone

+255756802580

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha halisitz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category