09/10/2025
Hydraboost facial - ni matibabu ya ngozi yanayolenga kurejesha unyevu, kuhuisha ngozi kavu, na kuipa mwanga wa asili (glow).
FAIDA ZAKE NI PAMOJA NA
✨Kuipa ngozi unyevu wa kinaa
Inaongeza maji ndani ya ngozi, kuifanya laini, nyororo, na yenye afya (K**a unavyoona hapo kwenye picha)
✨Kurejesha na kuimarisha Kinga ya Ngozi
Inaimarisha tabaka la juu la ngozi ili lihifadhi unyevu na kupunguza ukavu au muwasho.
✨Hufanya Ngozi Laini na Imara
Hupunguza fine lines na kufanya ngozi laini.
✨Mwanga wa Asili (Glow)
Huondoa seli zilizokufa na kuacha ngozi iking’aa k**a kioo.
✨Kutuliza ngozi sensitive
Hupunguza wekundu, ukavu, na hali ya kukaza, nzuri sana kwa ngozi sensitive au iliyochoka.
📌 NGOZI KAVU NI NGOZI INAYOZEEKA KWA KASI
Price : 120,000
📞 0658174557