Good Health

Good Health Nawasaidia watu kuimarisha afya ya mifupa Kwa kutumia virutubisho vyenye glucosamine na chondroitin

01/11/2023

0685808934

01/11/2023
14/08/2023

Ni madhara gani !!ya muda mrefu anaweza pata mtu mwenye baridi ya bisi?👇👇

14/08/2023

Visabaishi vya baridi yabisi

10/08/2023

Fahamu aina ya vyakula hatari katika maungio

06/08/2023

Ni chakula Gani husaidia maumivu ya viuongo ?
*0mega -3 fatty acids/mafuta ya samaki
*Karanga na mbegu
*Matunda ya rangi
*Dengu na maharagwe
* Vitunguu na mboga za mizizi
* Mbegu zooote
Nak**a unaitaji ushauri zaidi na kusaidiwa kutokana na kwamba umesha athirika usisite kunitafuta mtaalamu wa afya ya mifupa kwakutumia virutubisho muhimu vya mifupa

06/08/2023

Upungufu wa calcium ,kitaalamu (hypocalcemia) unatokea ambapo kiwango Cha calcium ktk damu kinapungua namatatizo hayo ya upungufu wa calcium husababisha matatizo k**a vile
1: mtoto wa jicho
2:matatizo ya meno
3: mabadiliko katika ubongo na mifupa kukosa uimara
✓ Mifupa kupoteza uimara Kwasababu ya upungufu wa calcium Kwa muda mrefu husababisha kupotea Kwa ujazo wa madini ( Osteopenia) Hali ambayo inasababisha mifupa kupungua Kwa unene na kuweza kuvunjika kirahisi ,maumivu na matatizo ya mkao wa mwili (body porture)

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
5466

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Good Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram