LISHE YA Watoto

LISHE YA Watoto Wauzaji wa virutubisho Vya kuongeza Uzito kwa watoto

Serving the best on what we have is our first priority..We have tasty, yummy, delicious, breathtaking and assured result...
07/11/2025

Serving the best on what we have is our first priority..

We have tasty, yummy, delicious, breathtaking and assured results from what we offer.🫶

Sweet aroma uji ni unga wetu maalum uliochanganywa kwa ustadi wa Ulezi, Mtama mweupe, Almond na N**i Mchanganyiko wa asi...
27/10/2025

Sweet aroma uji ni unga wetu maalum uliochanganywa kwa ustadi wa Ulezi, Mtama mweupe, Almond na N**i

Mchanganyiko wa asili unaofaa kwa mtoto mdogo na mtu mzima.

🥥 Kwa mtoto:
• Husaidia ukuaji wa mifupa na meno kwa kalsiamu ya asili kutoka kwenye ulezi na mtama.

• Hutoa nguvu za kutosha kwa ukuaji wa ubongo kutokana na mafuta mazuri ya almond na n**i.

• Ni rahisi kumeng’enywa, hivyo mtoto anapata virutubisho vyote bila kumchosha tumbo.

Kwa mtu mzima:

• Chakula cha ubongo kinachosaidia mtu mzima kuwa na kumbukumbu kali, akili timamu na kinga dhidi ya magonjwa ya ubongo.

• Huimarisha kinga ya mwili, husaidia kwenye ngozi na nywele kutokana na vitamin E ya almond na mafuta ya n**i.

• Ni chanzo kizuri cha nishati ya muda mrefu, hivyo ni bora kwa wanaofanya kazi nyingi au wanaopenda mazoezi.

🥣 Uji huu ni zaidi ya chakula, ni uwekezaji kwenye afya ya familia yako.

Elf 12, kilo 1

Soy protein PowderAvailable kwa elf 20.📞:0750 008 791
24/10/2025

Soy protein Powder

Available kwa elf 20.

📞:0750 008 791

Na bado Hauna Our smooth Almond butter with peanut butter😌🙌Na sasa ipo kwenye kopo kubwa, available kwa elf 20.NA UHITAJ...
22/10/2025

Na bado Hauna Our smooth Almond butter with peanut butter😌🙌

Na sasa ipo kwenye kopo kubwa, available kwa elf 20.

NA UHITAJI WA WAKALA MWANZA NI MKUBWA SANA.

📞;0750 008 791

Soy protein powder✅Ni elf 20.📞:0750 008 791
21/10/2025

Soy protein powder✅

Ni elf 20.

📞:0750 008 791

21/10/2025

Available kwa mawakala wetu.

Na kwetu kwa huduma ya delivery

📞:0750 008 791

Tumesogea📍Sasa Unaweza pata bidhaa zetu hapa
19/10/2025

Tumesogea📍

Sasa Unaweza pata bidhaa zetu hapa

SUPA BREAKFAST Feedbacks❣️
17/10/2025

SUPA BREAKFAST

Feedbacks❣️

Feedbacks ❣️SUPA BREAKFAST
17/10/2025

Feedbacks ❣️
SUPA BREAKFAST

RESTOCKED…Smooth almond butter Soy protein powderAvailable kwa elf 40 vyote viwili 📞:0750 008 791
16/10/2025

RESTOCKED…

Smooth almond butter

Soy protein powder

Available kwa elf 40 vyote viwili

📞:0750 008 791

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LISHE YA Watoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category