saimon na afya

saimon na afya ushauri wa afya ya uzazi kwa wanaume na Wanawake

umuhimu wa kutibu P.I.D na U.T.I Ugonjwa wa p.i.d ni maambukizi katika viungo vya uzazi wa mwanamke  maambukizi haya hug...
27/02/2024

umuhimu wa kutibu P.I.D na U.T.I

Ugonjwa wa p.i.d ni maambukizi katika viungo vya uzazi wa mwanamke maambukizi haya hugokea pale wanaoambukizwa kwa njia ya kujamiana watasambaa kutoka kwenye uke kwenda kwenye njia ya mji wamimba (uterus),milija ya uzazi (fallopian tube) na kwenye mayai

✓Mwanamke anatakiwa ajue kwanza tabia za uke wake
* Uke wa mwanamke umetengenezwa kwa acid ambayo inalinda sehemu za Siri na kuua bacteria wabaya wanaosababisha aambukizi pia acid hii inafanya kazi ya kubalance bacteria walinzi (normal Flora)
* Uke unahitaji fresh Air;kufanyia check up mara kwa mara

DALILI ZINAZO ONYESHA UKE HAUPO SAWA

*Kutokwa majimaji ,uteute K**a wa kijani au grey unakuwa mzito k**a mgando
*Unapata maumivu chini ya kitovu
*Kutokwa na harufu mbaya k**a shombo la samaki pale unapofanya mapenzi
*Ukemkavu
*Kupata Hedhi inayo zaidi siku saba
* Uchovu mara kwa mara

MADHARA YANAYO WEZA KUSABABISHWA
NA P.I.D na U .T.I usipotibu mapema
✓kukosa mtoto au kijifungua mtoto kabla ya miezi yake
✓kujifungua mtoto mwenye maambukizi na kufariki muda mfupi
✓kuziba kwa mirija ya uzazi
✓kuvurugika kwa homoni

Vitu vinavyopelekea kupata maambukizi *kuvaaa skin jinsi zilizotengenezwa na naylon hazipitishi hewa , public toilets ,Hedhi kuvurugika ,chupi kuanika sehemu hakuna jua

Kutumia antibiotics au vidonge vya langi mbili ambazo ukinywa kabsa unaona langi ya mkojo imebadilika.

SURUHISHO LA P.I.D , U.T.I SUGU
NDANI YA SIKU (7) Tu

Unashauliwa kutumia bidhaa ya asilia iliyotengenezwa kwa kutumia techinojia ya Hali hajui sana kutoka malekani
Imetengenezwa na

✓rejuvinating minerals..hii hufanya kazi ya kubalance Ph ukeni na kuweka bacteria walinzi
✓essential oil plant, vegetables,multiple vitamins ambazo zinafanya kazi ya kuzuia bacteria wabaya wanaosababisha U.T.I watakapo kuja
✓inazuia kutokwa na uchafu pi inafanya uke uwe msafi na kunukia vizuri
✓hufanya uke ubane kwahiyo siyo lazima uwe una PID au U.T.I kutumia bidhaa hii

Wasiliana name kupitia whatsap 0622138701

UNAONGEZAJE NGUVU ZA KIUME??Kuongeza nguvu za kiume inaweza kufanyika kwa njia mbalimbali, lakini ni muhimu kuanza kwa k...
14/02/2024

UNAONGEZAJE NGUVU ZA KIUME??

Kuongeza nguvu za kiume inaweza kufanyika kwa njia mbalimbali, lakini ni muhimu kuanza kwa kuzingatia afya yako kwa ujumla.

Ifuatayo ni miongozo ya jinsi ya kuongeza nguvu za kiume;

1) Lishe Bora.
Kula lishe yenye afya na inayojumuisha vyakula vya aina zote, pamoja na matunda, mboga, nafaka nzima, protini bora (k**a nyama ya kuku, samaki, na maharage), na mafuta yenye afya (k**a vile mafuta ya mzeituni na avokado). Vyakula vyenye virutubisho k**a zinki, vitamini D, na asidi ya folic yanaweza kusaidia kuimarisha nguvu za kiume.

Soma pia hizi makala:

Vyakula 11 Vinavyo ongeza Hamu Ya Tendo La Ndoa Kwa Wanaume.
Fahamu Aina 7 Za Vyakula Vinavyo ongeza Kiwango Cha Mbegu Za Kiume.
2) Kudumisha Uzito Na Afya Ya Mwili.
Kudumisha uzito wa afya na kufanya mazoezi mara kwa mara ni muhimu kwa afya ya nguvu za kiume. Mazoezi husaidia kuboresha mtiririko wa damu na kuongeza viwango vya testosterone. Kupoteza uzito wa ziada na kufanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku ni hatua nzuri.

3) Kuepuka Tabia Hatarishi.
Kuepuka hatarishi k**a vile uvutaji sigara, matumizi mabaya ya pombe, na matumizi ya dawa za kulevya ni muhimu kwa afya ya nguvu za kiume. Vyanzo hivi vya sumu vinaweza kusababisha shida za nguvu za kiume.

4) Kupunguza Stress.
Stress inaweza kusababisha matatizo ya nguvu za kiume. Kujifunza njia za kupunguza stress k**a vile mazoezi ya kupumua, yoga, na meditation inaweza kusaidia kuboresha afya ya nguvu za kiume.

5) Usingizi Wa Kutosha.
Kupata usingizi wa kutosha ni muhimu kwa afya ya nguvu za kiume. Usingizi wa kutosha husaidia kurejesha nguvu na kuongeza viwango vya testosterone.

6) Kuondoa Shida Za Kisaikolojia.
Shida za kisaikolojia k**a vile wasiwasi, au hali nyingine za akili zinaweza kuathiri nguvu za kiume. Kupata ushauri wa kisaikolojia au matibabu ya kisaikolojia kunaweza kusaidia kutibu shida hizi.

Soma pia hizi makala:

Yajue Mambo 5 Muhimu Kuhusu Msongo Wa Mawazo (Sonona).
Yajue Magonjwa Ya Akili, Dalili Zake Na Jinsi Ya Kutibu.
7) Dawa Za Kuongeza Nguvu Za Kiume.
Kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume zinazopatikana kwa ushauri wa daktari. Hata hivyo, ni muhimu kutumia dawa hizi chini ya usimamizi wa daktari, kwani zinaweza kuwa na athari mbaya.

Soma pia hii makala: “Hii ndiyo Siri Wanayoitumia Wanaume Wengi Kuongeza Nguvu Za Kiume Kwa Haraka.”

8) Kupata Ushauri Wa Daktari.
Ikiwa una shida kubwa za nguvu za kiume, ni muhimu kushauriana na daktari. Daktari ataweza kufanya uchunguzi wa kina na kutoa ushauri

Hitimisho , unashauriwa kutumia kahawa zenye VIRUTUBISHO vilivyo tengenezwa kwa black ginger ,freshmacca , EPIDEMII
ambazo hufanya kazi hapa chini
✓kuimalisha misuli na kufanya mwanaume akae muda mrefu kwenye tendo
✓kuboresha uzalishaji wabmbegu za kiume
✓hupunguza msongo wamawazo, kufanya uwe na nguvu na hamu ya kuendelea na tendo
Kwa

Kwa ushauri na matibabu kuweza kupata kahawa hii sms 0622138701

TUMIA HIZI KAHAWA KWA WEWE MWANAUME  X power cofee. Hii huboresha tendo la ndoa bira madhara yeyote ya kiafyakwani imete...
13/02/2024

TUMIA HIZI KAHAWA KWA WEWE MWANAUME
X power cofee. Hii huboresha tendo la ndoa bira madhara yeyote ya kiafyakwani imetengenezwa kwa mimea asilia kabsa iliyotumika miaka mingi iitwayo fresh mecca ,black ginger , na EPIDEMII ambazo zinauwezo mkubwa wa kuboresha mfumo wa uzazi kwa mwanaume
✓ huongeza muda na uwezo wa kufanya tendo
✓hufungua mishipa midgo midgo kwenye uume hivyo humfanya mwanaume kukaa mda mrefu kwenye tendo
✓huongeza uzalishaji wa mbegu za kiume
Hivyohii ni zawadi inayotumika kipindihi valentine day

Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa hormon...
12/02/2024

Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.
Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa hormones kwa mwanamke

Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu k**a Hormonal imbalance.

Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi kuanzia miaka14.Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe (kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.

Mvurugiko wa homoni kwa wanawake huweza kuchangiwa na kutokuwepo kwa usawa katika homoni zifuatazo; Estrogen, progesterone na testosterone ambapo kuzidi au kupungua kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa wanawake.

Homoni Ya Estrogen:
Hii ni homoni ya k**e muhimu zaidi ambayo hutunzwa kwenye ovari, ini na huwasaidia wanawake wajawazito, huwasaidia wasichana kwenye ukuaji, husaidia pia kwenye kipindi cha ovulasheni. Wakati wa hedhi kuisha kabisa kiwango cha estrogeni hushuka.

Kazi Za Homoni Ya Estrogen:
1) Hufanya uke wa msichana uwe umekomaa ili awe tayari kushiriki katika tendo la ndoa na pia kushika mimba.

2) Homoni hii huwafanya wasichana wapate uchu wa ngono, au ashiki ya mapenzi na kwa njia hii huonekana k**a homoni ya uzazi wa wanawake.

3) Estrojeni pia husaidia mama anapokuwa mjamzito ili matiti yake yawe tayari kutoa maziwa ya kunyonyesha mtoto.

4) Homoni ya estrojeni ikishirikiana na homoni ya ukuaji (human growth hormone) husaidia katika ubalehe wa wasichana ambapo matiti yao madogo huanza kunenepa na kuwa makubwa.

Upungufu Wa Homoni Ya Estrogen:
Hii ni aina ya mvurugiko wa homoni ambao hutokea sana kwa wanawake waliofikia ukomo wa kujifungua hasa kuanzia miaka 45 na kuendelea na hasa kwa wale waliofikia ukomo wa hedhi ambapo kwa kitaalamu huitwa menopause, kwa upande wa kimo wanawake wembamba uathiriwa zaidi kuliko wanawake wanene. zifuatazo ni dalili za mvurugiko wa homoni ya estrogen;

Low estrogen levels
a) Kuwepo kwa ukavu ukeni.
Hii ni dalili mojawapo inayowapata sana akina mama wenye mvurugiko au upungufu wa homoni ya estrogen, kwenye uke kunakuwepo ukavu, hali hii husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa na kukosa ute ukeni ambako husababisha mikwaruzo kwenye uke.

b) Maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
Kwa kawaida ili mwanaume aweze kushiriki na kufurahia tendo la ndoa inapaswa maandalizi kwa mwanamke yafanyike ili kupelekea uwepo wa ute kwenye uke wake ambao husaidia uume kupita kwa urahisi, hiyo k**a ute haupo ukeni kutokana na upungufu wa homoni ya estrogen lazima mwanamke atapata maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

C) Kutokwa jasho wakati wa usiku.
Kwa sababu ya kuwepo kwa homa za vipindi kunatokana na upungufu wa homoni ya estrogen husababisha mama kutokwa na jasho wakati wa usiku, hata k**a Kuna baridi kiasi gani mwanamke mwenye upungufu wa homoni ya estrogen huisi joto wakati wa usiku.

d) Matatizo ya kupoteza kumbukumbu huweza kutokea.
Hii pia ni mojawapo ya dalili za upungufu wa homoni ya estrogen kwa wanawake na ndio maana utawakuta akina mama wengi wenye umri wa kuingia menopause Wana shida ya kusahau sana hii ni kwa sababu ya kupoteza homoni ya estrogen.

e) Kujisikia uchovu mara kwa mara hasa wakati wa kufanya kazi.
Upungufu wa homoni ya estrogen kwa mwanamke hupelekea mwanamke kujihisi mchovu mara kwa mara hasa wakati wa kufanya kazi.

Vyakula vinavyo ongeza homoni ya estrogen:
vifuatavyo ni vyakula vinavoongeza kiwango cha homoni ya estrogen kwa wanawake ambavyo ni pamoja na;

1) Soya.
Soya na bidhaa zinazotengenezwa kutoka kwenye soya, k**a vile tofu na miso, ni chanzo bora cha phytoestrogens. Fitoestrojeni ni estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrojeni kwenye mwili wa mwanamke na kusaidia kupunguza mapungufu yatokanayo na ukosefu wa homoni hii kwa mwanamke. Hivyo ulaji wa soya kwa mwanamke unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini.

soya
2) Karanga.
Ulaji wa karanga kwa mwanamke husaidia kuongeza kiwango cha estrogeni mwilini.

Karanga pia ni chanzo muhimu cha phytoestrogens. Fitoestrojeni ni estrogen ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrojeni kwenye mwili wa mwanamke na kusaidia kupunguza mapungufu yatokanayo na ukosefu wa homoni hii kwa mwanamke.

karanga
3) Mbegu Za Ufuta.
Mbegu za ufuta pia ni chanzo muhimu cha phytoestrogens, pamoja na kutoa kiwango kikubwa cha nyuzi (dietary fibre) na madini ya kalsiamu. Katika mbegu za ufuta pia tunapata lignans, ambayo ni metaboli za sekondari za mimea iliyo na viwango vya juu vya phytoestrogens. Hivyo ulaji wa mbegu za ufuta kwa mwanamke unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini.

mbegu za ufuta
5) Maharage.
Licha ya maharage kuwa ni chanzo cha protini mwilini, maharage pia yanasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogeni katika mwili wa mwanamke kwani yanatoa idadi kubwa ya phytoestrogens, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

maharage
6) Mbaazi.
Ulaji wa mbaazi kwa mwanamke unasaidia kuongeza kwa haraka kiwango cha estrogen mwilini.

Mbaazi ni chanzo muhimu cha phytoestrogen, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

mbaazi
7) Vyakula Vyenye Vitamini C.
Ulaji wa Vyakula vyote vyenye vitamini c kwa mwanamke k**a vile machungwa, nyanya, tikiti maji, ndizi na vinginevyo unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini. Vyakula vyote vyenye vitamini c vinatoa idadi kubwa ya phytoestrogens, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

vitamin c foods
Homoni Ya Progesterone:
Hii ni homoni muhimu ya uzazi wa mwanamke inayozalishwa na mfuko wa mayai (ovari).

Kazi Za Homoni Ya Progesterone:
1) Inahusika kuweka mzunguko wa hedhi katika mpangilio.

2) Inahusika pia kuweka mimba katika hali salama kwani katika kipindi cha mimba inasaidia kuboresha mzunguko wa damu kwenye mji wa mimba.

Baada ya yai la mwanamke kutolewa na ovari (ovulation) homoni hii huzalishwa kwa wingi ili kuimarisha kuta za mji wa mimba kuandaa kupokea yai lililorutubishwa tayari kwa ajili ya kutengeneza mtoto.

Endapo hakuna yai lililorutubishwa basi homoni hii huachwa kuzalishwa kwa wingi hali inayopelekea mwanamke kupata hedhi.

Mvurugiko wa homoni kwa wanawake
Vyanzo Vya Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na mfumo wa maisha wanayoishi (lifestyle), elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni k**a vile.

a) Uwepo wa sumu mwilini.

b) Mfumo mbovu wa maisha (Unbalanced lifestyle).

c) umri.

d) Kukoma kwa hedhi.

e) Kutofanya mazoezi.

f) Uzito mkubwa.

g) Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.

h) Msongo wa mawazo.

i) Kula vyakula visivyo endana na blood group.

j) Upungufu wa lishe mwilini.

k) Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.

l) Utoaji wa mimba.

m) Family history (upungufu au ongezeko la homoni ya progesterone na estrogen).

0) Ethnicity, wanawake wa kiafrika wengi wana hili tatizo la ongezeko la homoni ya estrogen.

Dalili Za Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mwanamke mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile;

a) Ukavu ukeni.

b) Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

c) Uchovu wa mara kwa mara.

d) Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.

e) Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.

f) Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku7 (heavy menstrual bleeding).

g) Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.

h) Kukosa usingizi.

i) Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.

j) Mzio wa vyakula (allergy), kuchagua chagua vyakula.

k) Ongezeko la tumbo na nyama uzembe.

l) Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele).

m) Maumivu ya viungo.

n) Upungufu wa nywele kichwani.

o) Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi).

p) Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo na kutokukua kwa via vya Uzazi.

Madhara Ya Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya mvurugiko wa homoni kwa wanawake;

a) Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu.

b) Mimba kuharibika mara kwa mara.

c) Kukosa mtoto au ugumba.

d) UTI (Urinary Tract Infections).

Soma pia hii makala: Uti Kwa Wanawake: Zijue Sababu 3 Zinazopelekea Kuugua Uti, Tiba Mbadala Na Kinga.

e) Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

f) Kuzeeka mapema.

g) Kuziba kwa mirija ya uzazi.

h) Uvimbe (uterine fibroids na ovarian cysts).

SULUHISHO:
A) Suluhisho Linalopendwa.
wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa hutumiwa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy. Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida. Lakini hupelekea baadhi ya madhara k**a;

a) Kuongezeka uwezekano wa shinikizo la damu.

b) Osteoporosis (low bone density).

c) Madhara katika mfumo wa uzazi.

d) kushindwa kubeba ujauzito
e)kupata cancer ya uzazi

UNASHAULIWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE ZILIZOTENGENEZWA KWA UBORA NA TECHNOLOGY YA JUU
✓hizi bidhaa hutatua chanzo Cha tatizo na kurejesha uwezo mwanzo
1genesing cofee., kurekebisha hormones 2yunzhi kurekebisha hormon
3zaminocal plus hii husaidia kupevusha mayai kwa anaye hitaji mtoto
4.femicare ,kuua bacteria wabaya ukeni wanaosababisha UTI sungu na PID

Hormonal imbalance kwa mwanamke Hormones kuonekana hazipo sawa hii pale mtu anapo tokwa na damu Mara nyingi ,au damu ina...
10/02/2024

Hormonal imbalance kwa mwanamke
Hormones kuonekana hazipo sawa hii pale mtu anapo tokwa na damu Mara nyingi ,au damu inatoka Mara mbili kwa mwezi ( damu yenye mabonge mabonge yaliyoganda )
Bleeding ya kawaida damu huwa inatoka nyepesi

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE
✓kutokwa na majimaji k**a mtindi
✓yakiwa yanatoka yanalowanisha nguo za ndani
✓ukosa ute ute ( uke mkavu )
✓kutoa harufu mbaya ukeni
**Unawezaje kumwaga uchafu unaotoka ukeni??
✓maumivu chini ya tumbo
✓lala chali nyanyua miguu,Anza kushusha miguu taratibu taratibu utaona maji yanamwagika fanya ivo kila siku Hadi uhakikishe yameisha.
✓akikutana na mwanaume amwandae

Unawezaje kujua bleeding ya kawaida, hormonal imbalance, na canser ya uzazi ??

Bleeding ya kawaida inatokea mara moja kwa mwezi
Mzunguko ukiisha HAkuna maji yanayotokea tena

CANCER YA UZAZI
Cancer zinazotokea Mara kwa Mara kwa watu

*Shingo ya kizazi
*Cancer ya tezi dume
*Cancer ya damu
* Cancer ya utumbo
Mdudu ambaye huwa anasababisha cancer kwa mwanamke anaitwa (HPV)

✓cancer ,hutokea pale cell zinazaliana bila mpangilio yaan badala ya kutengeneza cell ndgondgo unatengeneza cell kubwa kubwa

Bidhaa ambazo zinatatua changamoto hii ya kuvurugika kwa horone

Refined yunzi essence
✓huwasaidia Sana wanawake wenye vimbe kwenye kizazi
✓ husaidia watu wenye wanatumia mionzi ya kansa
Hupunguza asali ya kupata saratani
✓ huongeza Kinga ya mwili
✓ hutatua changamoto ya hormone imbalance

Kwa ushauri zaidi juu ya afya ya uzazi kwa mwanamke call+ 255622138701
Bidhaa hii inapatikana kwa punguzo kabisa 85,600 badala ya 97,000

Unashauliwa kutumia kahawa hizi za afya 1.ginseng coffee
10/02/2024

Unashauliwa kutumia kahawa hizi za afya
1.ginseng coffee

GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni d...
10/02/2024

GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.

1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo.

2. Kuwahi kumwaga Kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka.

3. Kuwahi kufika kileleni Kila siku unamtesa mkeo, usione halalamiki ukweli anakuvumilia tu akichoka Ndoa utaipoteza.

4. Moja ya sababu mwanamke kukutii kwa upendo ni pamoja na kuridhishwa kimapenzi kitandani, do your best bro!

5. Acha story za vijiweni kujifariji if you have money inatosha mwanamke kutulia, ukweli hata wewe Mwanamke awe na Pesa asikupe mapenzi usingekubali... Infacts hisia hazinunuliwi.

6. Inawezekana 2023 ulipoteza nguvu ya ushawishi kwenye Ndoa yako kwasababu ya udhaifu wako kitandani, dk 2 huwezi Tena utawezaje Kucommand kwa mkeo? Inafikirisha!

7. Mwanamke hayupo kwako kupunguza ukali wa maisha Bali kujipatia asichoweza kupata kwa ndugu zake, ndio maana hakukubali kudate na hanithi.

8. The more you're too Good on Bed 🛏️ ndivyo una win Moyo wa Mwanamke wako, hili hautafundishwa popote isipokuwa Leo hii, ukipuuza ni wewe.

9. Ukishahisi una tatizo kuanza kumeza vidonge vya kuboost siku moja moja unapokuwa na game, ni hatari Bora ubaki mdhaifu uendelee kuaibika polepole...

10. Haijarishi ni kwasababu ya Punyeto au sababu nyingine k**a umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.

[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]

NB: K**a hauna uwezo hata wa kupiga round 3, au 2 za maana, wewe ni nani kwa Mwanamke aliyekupa heshima ya kumfunua every day? Changamka! 🛏️
✓ tumia kahawa hizi zilizotengenezwa kwa
*FRESH MACCA, EPIDEMII ambazo zinauwezo mkubwa kabsa wa kuboresha mfumo wa uzazi wa mwanaume yeyote anajithamini
*Huongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa
*Hufungua mishipa midogomidgo ya uume na kuruhusu mwanaume kukaa mda mrefu kwenye tendo la ndoa na kumridhisha mpenzi wake
*Huongeza uwezo wa kuzalisha mbegu za kiume (shahawa ) na hufanya ziishi muda mrefu
Sasa ipate kwa punguzo10% kuelekea valentine day 60,000 badala ya 75,000
Piga, whatsap , sms 0622138701

10/02/2024

FEMICARE KIPENZI CHA WANAWAKE

Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminika
Unasafishia ukeni usiku mara Moja

KAZI ZAKE
👉Hutibu UTI sugu
👉Hutibu Fangasi sugu
👉Inaondoa Miwasho ukeni
👉Inaondoa Harufu mbaya ukeni
👉inaondoa Uchafu unatoka ukeni
👉inasafisha na kuzibua milija ya uzazi
👉inakurinda usipate UTI na Fangasi
👉inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote
👉inaongeza joto la uke
👉inabana Kuta za uke zilizo legea
👉inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi
👉inarudisha ute ute ukeni
👉inatibu PID ikitumika na refined, Refined ni ya vidonde unameza

Kwa maelekezo zaidi namna ya Kuipata ni rahisi Sana na hii TUNASEMA ni bidhaa ya matumizi ya nyumbani K**a sabuni au dawa ya mswaki🥰✋🏼......... HII NI KWA AJILI YAKO NA MWENZAKO wako,,, Sasa ipate kwa punguzo la Bei kuelekea siku ya wapendanao Tsh 45,000 badala ya 55,000

Piga 0622138701 ,

Jinsi Ya Kuongeza nguvu za kuongeza nguvu za kiumeKuongeza nguvu za kiume inaweza kufanyika kwa njia mbalimbali, lakini ...
08/02/2024

Jinsi Ya Kuongeza nguvu za kuongeza nguvu za kiume
Kuongeza nguvu za kiume inaweza kufanyika kwa njia mbalimbali, lakini ni muhimu kuanza kwa kuzingatia afya yako kwa ujumla.

Ifuatayo ni miongozo ya jinsi ya kuongeza nguvu za kiume;

1) Lishe Bora.
Kula lishe yenye afya na inayojumuisha vyakula vya aina zote, pamoja na matunda, mboga, nafaka nzima, protini bora (k**a nyama ya kuku, samaki, na maharage), na mafuta yenye afya (k**a vile mafuta ya mzeituni na avokado). Vyakula vyenye virutubisho k**a zinki, vitamini D, na asidi ya folic yanaweza kusaidia kuimarisha nguvu za kiume.

Soma pia hizi makala:

Vyakula 11 Vinavyo ongeza Hamu Ya Tendo La Ndoa Kwa Wanaume.
Fahamu Aina 7 Za Vyakula Vinavyo ongeza Kiwango Cha Mbegu Za Kiume.
2) Kudumisha Uzito Na Afya Ya Mwili.
Kudumisha uzito wa afya na kufanya mazoezi mara kwa mara ni muhimu kwa afya ya nguvu za kiume. Mazoezi husaidia kuboresha mtiririko wa damu na kuongeza viwango vya testosterone. Kupoteza uzito wa ziada na kufanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku ni hatua nzuri.

3) Kuepuka Tabia Hatarishi.
Kuepuka hatarishi k**a vile uvutaji sigara, matumizi mabaya ya pombe, na matumizi ya dawa za kulevya ni muhimu kwa afya ya nguvu za kiume. Vyanzo hivi vya sumu vinaweza kusababisha shida za nguvu za kiume.

4) Kupunguza Stress.
Stress inaweza kusababisha matatizo ya nguvu za kiume. Kujifunza njia za kupunguza stress k**a vile mazoezi ya kupumua, yoga, na meditation inaweza kusaidia kuboresha afya ya nguvu za kiume.

5) Usingizi Wa Kutosha.
Kupata usingizi wa kutosha ni muhimu kwa afya ya nguvu za kiume. Usingizi wa kutosha husaidia kurejesha nguvu na kuongeza viwango vya testosterone.

6) Kuondoa Shida Za Kisaikolojia.
Shida za kisaikolojia k**a vile wasiwasi, au hali nyingine za akili zinaweza kuathiri nguvu za kiume. Kupata ushauri wa kisaikolojia au matibabu ya kisaikolojia kunaweza kusaidia kutibu shida hizi.

08/02/2024

Yajue Matunda 9 Yanayo ongeza Nguvu Za Kiume.
Yajue Matunda 9 Yanayo ongeza Nguvu Za Kiume.
7 February 2024
5 Min Read
4 Comments
Wanasayansi wa tiba mbadala wamegundua kwamba, endapo mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume akatumia baadhi ya matunda kwa utaratibu maalum, huweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi.

Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia matunda yanayosaidia kuongeza nguvu za kiume kwa haraka. Ungana nami katika kuchambua matunda haya.

Matunda Ya Kuongeza Nguvu Za Kiume:
Yafuatayo ni baadhi ya matunda yanayosaidia kuongeza nguvu za kiume ambayo ni pamoja na:

1) Blueberries.
Blueberries ni matunda yanayosaidia kuongeza nguvu za kiume ambapo wengi hupendelea kuyaita ‘vi**ra’ asilia kutokana na kazi inayofanya mwilini. Matunda haya yana virutubisho vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidia kuongeza mzunguko mzuri wa damu mwilini ambao humfanya mwanaume aweze kuimiri tendo la ndoa kwa muda mrefu.

2) Ndizi Mbivu.
Ndizi mbivu ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho husaidia kuongeza nguvu za kiume na ashki ya mapenzi (libido). Tunda hili pia lina madini ya potassium na vitamin B kwa wingi ambavyo husaidia kuamsha hamu ya tendo la ndoa na uzalishwaji wa homoni wa kiume ijulikanayo k**a testosterone. Mwanaume unashauriwa kula angalau ndizi mbivu 2 mpaka 3 kila siku ili kusaidia kujenga uimara wa misuli ya uume na kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa.

3) Tikiti Maji.
Tikiti maji ni vi**ra ya asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume. Tunda hili lenye virutubisho muhimu k**a vile Calcium, Magnesium, Carotene na vitamin lukuki ikiwemo A, B6 na C ambavyo kwa pamoja hutengeneza virutubisho muhimu vya kuboresha nguvu za kiume. Mwanaume unashauriwa kula angalau vipande 2 au 3 vya tikiti maji kila siku huku ukitafuna pamoja na zile mbegu zake ili kusaidia kuongeza nguvu za kiume.

4) Parachichi.
Parachichi huzalisha Vitamin E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni ya testosterone inayochochea kuongezeka kwa uimara wa nguvu za kiume na kuleta msisimko wa hali ya juu wakati wa kushiriki tendo.

Parachichi pia lina madini ya potassium, vitamin B6, folic acid na kadharika ambavyo husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume. Mwanaume unashauriwa kula angalau parachichi moja kila siku. Unaweza pia kunywa juisi ya parachichi kikombe kimoja kila siku ukiongeza asali vijiko viwili vikubwa ndani yake.

5) Komamanga.
Komamanga ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofanana na apple, matunda haya yanatajwa kusadia kuamsha mishipa ya fahamu, kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mwanaume uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa zaidi. Mwanaume unashauriwa kula matunda haya mara kwa mara ili kuongeza nguvu za kiume.

6) Zabibu.
Zabibu ni matunda ambayo yana kemikali iitwayo anthocyanin ambayo husaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza mzunguko mzuri wa damu hasa kwenye misuli ya uume. Mwanaume unashauriwa kula matunda haya mara kwa mara ili kuongeza nguvu za kiume.

7) Tende.
Tende ni aphrodisiac ya asili, hivyo kula tende kunaweza kusaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume. Tende zina kiwango kikubwa cha madini ya chuma, vitamini c, folate nk.

8) Mtini (Figs).
Mtini ni matunda yenye kiwango kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni ya kiume, testosterone. Ukosefu wa amino asidi unaweza kusababisha kukosa hamu ya mapenzi au kupungukiwa na nguvu za kiume. Hivyo mwanaume unashauriwa kula matunda haya mara kwa mara ili kuongeza nguvu za kiume.

9) Maboga.
Mbegu za maboga zina phytosterol ambayo inajulikana kuboresha uzalishaji wa homoni ya kiume, testosterone katika mwili. Mbegu hizi pia zina mafuta yenye asidi ya omega-3 ambayo husaidia kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza kiasi cha mbegu.

Soma pia hizi makala:

Fahamu Aina 7 Za Vyakula Vinavyo ongeza Kiwango Cha Mbegu Za Kiume.
Fahamu Kiwango Sahihi Cha Mbegu Za Kiume Kutungisha Mimba.
Virutubisho Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume:
Vifuatavyo ni virutubisho vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume, virutubisho hivi vimetengenezwa kutokana na mimea na matunda ,pamoja na kahawa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when saimon na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram