08/08/2025
Dalili za upungufu wa nguvu za kiume (erectile dysfunction) ni ishara zinazoonyesha kuwa mwanaume anakosa uwezo wa kupata au kudumisha uume ulio simama vizuri kwa ajili ya tendo la ndoa. Hali hii inaweza kuwa ya muda mfupi au ya kudumu. Dalili kuu ni.
✅ Dalili Kuu za Upungufu wa Nguvu za Kiume:
1. Uume kushindwa kusimama kabisa hata mwanaume akiwa na hamu ya tendo.
2. Uume kusimama lakini kulegea haraka kabla au wakati wa tendo.
3. Uume kusimama kwa nguvu pungufu kiasi kwamba haiwezekani kushiriki tendo la ndoa vizuri.
4. Kupotea kabisa kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
5. Kushindwa kurudia tendo mara ya pili kutokana na uchovu au uume kuwa legevu kabisa.
6. Kukosa majimaji ya shahawa ya kutosha au kutotoa kabisa wakati wa kilele.
7. Kuhisi aibu au msongo wa mawazo unaohusiana na kushindwa kufanya tendo.
8. Kukosa usingizi au sonona kutokana na kushindwa kuridhisha mwenza.
🔍 Dalili Zaidi Zinazoambatana (Zinazoashiria Kisababishi)..
Maumivu ya mgongo au kiuno
Uchovu wa mara kwa mara
Kuwahi kufika kileleni (premature ej*******on)
Uume mdogo au usiojaa damu vizuri
Kupungua kwa ukubwa wa korodani (kwa baadhi ya wanaume)
Kupungua kwa nywele za kiume (nywele za usoni au kifuani) — huashiria upungufu wa homoni ya testosterone.
Kwa Huduma Ya Ushauri Wa Kitaalamu Wasiliana Na Dr Denis 0678878943