Silayo dora doh

Silayo dora doh Kushirikisha watu juu ya faida za kutunza afya zao na namna ya kutunza afya zao,na ujasiriamali

14/08/2020

Take care of your health

09/08/2020

Don't ever give up. Don't give in. Run, walk, craw. Just do anything to keep moving. The bright future awaits.

We are back to business.
25/09/2019

We are back to business.

Tatizo sio tu kiasi unachokula, Bali pia aina ya chakula unachokula. Wengi wetu tuna uzito uliopitiliza na wengine imepe...
04/04/2018

Tatizo sio tu kiasi unachokula, Bali pia aina ya chakula unachokula.
Wengi wetu tuna uzito uliopitiliza na wengine imepelekea kupatwa na magonjwa hatari k**a kutanuka kwa moyo, presha, kisukari, kansa, kiharusi, na mengineyo.
Hata K**a tutatumia supplements kutoka NEOLIFE bado lazima tubadili mtindo wa maisha (lifestyle)
PS: K**a unasumbuliwa na magonjwa sugu wasiliana nasi tukushauri. 0743 935 536 au muinbox dokta wetu Lawi Mwendwa 0654 678 378

K**a tutajizoesha kula matunda ya tofaa (Apples)  kila siku walau moja, basi tutakuwa tunajiepusha na magonjwa mengi hiv...
02/04/2018

K**a tutajizoesha kula matunda ya tofaa (Apples) kila siku walau moja, basi tutakuwa tunajiepusha na magonjwa mengi hivyo kupunguza uhitaji wetu wa kwenda hospitali au kumuona dokta kwa sababu ya udhaifu.
Kwa nini?
Tunda la tofaa (apple) Lina virutubisho vingi vya antioxidants, flavonoids and dietary fiber.
Hivi Vyote kwa pamoja zinamsaidia mtu kumlinda dhidi ya Maradhi mengi ikiwemo kansa, presha, Kisukari, na matatizo ya Moyo.
Pia flavonoids zinasaidia kuboresha kinga ya mwili. Pia hizi dietary fiber zinaboresha mmeng'enyo wa chakula na kulainisha Choo.

K**a tutatumia kila siku limao moja basi tutakuwa tunapunguza mafuta mabaya mwilini na uzito uliopitiliza.... Changanya ...
22/03/2018

K**a tutatumia kila siku limao moja basi tutakuwa tunapunguza mafuta mabaya mwilini na uzito uliopitiliza....
Changanya limao lako na maji ya uvuguvugu Kisha Kunywa. Subiri kwa masaa mawili kabla haujapata mlo mwingine.

Ugonjwa wa dengue warudi tena,  tujikinge marafiki zangu.
22/03/2018

Ugonjwa wa dengue warudi tena, tujikinge marafiki zangu.

Umuhimu wa maji ya vuguvugu
20/03/2018

Umuhimu wa maji ya vuguvugu

Karibu sana ewe mkulima kutumia supergro shambani mwako upate matokeo mazuri
07/11/2017

Karibu sana ewe mkulima kutumia supergro shambani mwako upate matokeo mazuri

DID YOU KNOW? FACT ABOUT SUGAR
22/10/2017

DID YOU KNOW?
FACT ABOUT SUGAR

It's Wednesday,     Leo tuangalie kilimo, Asilimia kubwa ya watanzania hutegemea kilimo k**a shughuli zao za kiuchumi, w...
18/10/2017

It's Wednesday,




Leo tuangalie kilimo,
Asilimia kubwa ya watanzania hutegemea kilimo k**a shughuli zao za kiuchumi, wengine huzalisha, wengine huuza mazao kwa jumla, wengine huuza mazao kwa rejareja na kadhalika;
Hivi karibuni kulima imekuwa ni kazi ngumu na yenye changamoto kutokana na ongezeko la magonjwa ya mimea, ukame, mabadiliko katika misimu ya mvua, gharama za mbolea na kadhalika.
Zamani wazee Wetu walitegemea sana mvua na hawakuwa na haja ya mbolea tofauti na za wanyama, changamoto hizi zinaendelea kutafutiwa ufumbuzi na wanasayansi kutumia elimu zao ikiwemo kuzalisha mbegu zinazovumilia mabadiliko ya hali ya hewa, n.k.
Tuendelee wiki ijayo kwa sehemu ya pili

SEHEMU YA PILI*KUSAFISHA TILES, CARPETS,  KUTA ZILIZOPAKWA RANGI YA MAFUTA, SINK ZA CHOONI,   KUTUMIA SUPER TEN BIDHAA Y...
16/10/2017

SEHEMU YA PILI
*KUSAFISHA TILES, CARPETS, KUTA ZILIZOPAKWA RANGI YA MAFUTA, SINK ZA CHOONI, KUTUMIA SUPER TEN BIDHAA YA NEOLIFE
Watu wengi bila Shaka wasingependa usumbufu wa kutafuta baking soda na kuchanganya,
Pia uchanganyaji unaweza usiwe katika kiwango kizuri kwa ajili ya kusafisha vizuri,
Super ten ni bidhaa iliyoandaliwa na kampuni ya neolife kwa ajili kusaidia home care haswa kwenye kusafisha tiles, carpets, Kuta na kadhalika...
Bidhaa hii imetengenezwa kutumia making, urea, sodium hydroxide, EDTA tetrasodium, sodium salt, color, fragrance, preservatives, color, dihydeoxyethyglycine,
Bidhaa inaacha harufu nzuri ndani, na kusafisha bila kutumia nguvu...
Kujua jinsi ya kupata super ten name matumizi yake wasaliana nami kwa
0743 935 536

Address

Dorajoseph730 @yahoo. Com
Dar Es Salaam
GNLD

Telephone

0672576472

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Silayo dora doh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category