Weight LOSS Training

Weight LOSS Training Tunasaidia Watu Kupunguza UZITO wasioutaka kwa njia asilia

12/06/2020
20/03/2020

MADHARA YA UZITO MKUBWA AU KITAMBI.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Katika hali isiyo ya kawaida watu wengi wamekuwa wakihangaika na maradhi mbali mbali yasiyoisha kwa muda mrefu huku chanzo kikiwa ni uzito mkubwa. Tatizo la uzito limekuwa kero na tishio kwa watu wengi hasa waishio mijini.

Takwimu zinaonyesha kuwa ongezeko hilo limekuwa kubwa katika karne hii ya 21 kutokana na aina ya maisha tunayoishi yaani Vyakula, mifumo ya kazi,usafiri na kutokufanya mazoezi.

MADHARA YA UZITO MKUBWA.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Kitaalamu binadamu hutakiwa kuwa na uzito sahihi kulingana na umri, urefu na uzito wake hivyo basi k**a uzito utapishana kwa asilimia kadhaa kuna baadhi ya athari zinaweza kujitokeza k**a;

•Kuongezeka kwa shinikizo la damu hii ni kutokana na mishipa ya damu kubanwa na mafuta
•Kuongezeka kwa sukari au glucose kwenye damu hii ni kutokana na sukari kuanza kuganda katika mirija ya damu
•Miguu kuvimba na kuuma sababu ya presha ya mwili kuwa kubwa
•Maradhi ya moyo (coronary diseases)
•Kuvurugika kwa homoni
•Maradhi ya presha ya kupanda
•Kuathirika kwa mfumo wa uzazi hasa kwa wanaume
•kuchelewa kushika ujauzito sababu ya kuwa na mafuta katika fuko la uzazi
•Kuathirika kwa mfumo wa nerves hasa za uti wa mgongo

NINI CHA KUFANYA.
--------------------------------
Fanya yafuatayo ili kuepuka au kudhibiti uzito.
1. Kula kwa usahihi kwa kuzingatia kiwango, aina, muda wa kula
2. Fanya mazoezi ya viungo walau mara 3 hadi 4 kwa wiki hasa kukimbia, kuendesha baiskeli, kuogelea, push ups, sit ups n.k
3. Kunywa maji kulingana na BFR yako (Body Fluid Requirement)
4. Pata muda wa kutosha kupumzika hasa usiku

Mwisho k**a umekuwa na changamoto ya uzito na hujui cha kufanya au umejaribu njia nyingi bila mafanikio usijali lipo suluhisho

wasiliana nami kupitia Whatsapp au kupiga simu utapata program itakayokuwezesha kusafisha na kuanza safari ya kupunguza uzito kiafya zaidi

http://.wa.me/255755303686

31/01/2020
28/01/2020

_When was the last time you detoxed?_
_*Lini umeusaidia mwili wako kujisafisha from inside out?*_
Tunaishi dunia ambayo ipo polluted sana kuanzia kwenye tunavyokula; hewa tunayovuta mpaka tunavyojipaka. Hivyo Swala la kutumia *a Strong Antioxidant* ni la muhimu sana Kwa afya zetu!

*Aloe* ni Moja ya *the strongest antioxidants* found in nature Na pia ina manufaa mengine mengi sana *Kwenye afya ya utumbo wako;* *afya ya ngozi; kukuongezea nguvu na lishe zaidi;* *kuboresha mfumo wako wa kinga* na mengine Mengi! Tunajulikana dunia nzima k**a The Aloevera Company kutokana na ubora wa Kimataifa uliopo kwenye *Aloevera Gel* yetu ndo mana *it’s so worth a space in your monthly budget Kwa ajili ya afya yako!*

*Pls check out the video na Karibu sana kuipata yako leo*

AFYA Yako Ni Muhim Sana
23/01/2020

AFYA Yako Ni Muhim Sana

Dar es Salaam, Tanzania
23/01/2020

Dar es Salaam, Tanzania

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Weight LOSS Training posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Weight LOSS Training:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram