pid.sugu

pid.sugu Tunatoa huduma kwa changamoto za uzazi kwa akina mama na mabinti walio katika umri wa uzazi

Sehemu ya piliVimelea vingine ni pamoja na meticillin-resistant Staphylococcus aureus, Candida, Mwanamke ukitaka kuepuka...
11/04/2024

Sehemu ya pili

Vimelea vingine ni pamoja na meticillin-resistant Staphylococcus aureus, Candida,

Mwanamke ukitaka kuepuka maambukizo ya njia hii🔹nawa vizuri baada ya kupata haja kubwa🔹Usijiingizie vidole Ukeni🔹Usiruhusu mwenza wako akuchezee sehemu zako za siri kwa Vidole wakati wa tendo la ndoa. (vinginevyo awe amenawa kwa maji mengi na disinfectant salama)

Yawezekana vidole vinakupa raha, ila fikiri athari za hapo baadaye, pili jiulize kwanini unatumia dawa za kila aina lakini hauponi kikamilifu maambukizo ya jamii hii.

K**a hauwezi kabisa kuacha! Basi tafuta elimu / maarifa sahihi ya jinsi ya kusafisha na kutakatisha Mikono yako, usinawe k**a ulivyozoea, ziko namna za kitaalamu zaidi zinazoelekeza namna sahihi ya unawaji utakatishao vizuri mikono (jisomee hata mtandaoni /google) itakusaidia

Asante! K**a utayafanyia kazi maarifa haya.

VIDOLE VINAWEZAJE KUKUFANYA UWE  MUHANGA WA MAAMBUKIZO YASIYOPONA SEHEMU ZAKO ZA SIRISehemu ya kwanzaNgozi ya viganja/vi...
11/04/2024

VIDOLE VINAWEZAJE KUKUFANYA UWE MUHANGA WA MAAMBUKIZO YASIYOPONA SEHEMU ZAKO ZA SIRI

Sehemu ya kwanza

Ngozi ya viganja/vidole vyetu hukadiriwa kuhifadhi vimelea vingi vinavyoweza kusababisha maambukizo pamoja na vile visivyoweza kusababisha maambukizo kwenye kizazi, hasa kwa Wanawake.

Fahamu kuwa, kitendo cha mwanamke kujiingizia/kuingiziwa vidole sehemu za siri (wakati wa kujitawadha au wa tendo la ndoa) huchangia maambukizo mbalimbali mbali sehemu za siri za mwanamke, kwasababu.

Vidole hushika shika vitu vingi na huhifadhi uchafu pamoja na vimelea vya magonjwa hasa kwenye ncha na chini ya kucha hata k**a kucha ni fupi namna gani.

Yapo makundi mawili ya Bakteria wanaoweza kupatikana kwenye ngozi ya Kiganja / Vidole

Kundi la kwanza huitwa Transient or temporary skin flora (wanaweza kuwa Bakteria, Fangasi au Virusi). Hawa tunawapata kupitia kushikashika vitu katika majukumu yetu ya kila siku. Mfano mzuri ni vimelea vya njia ya haja kubwa E. Coli (Escherichia coli) ambavyo hunasa kwenye vidole vya Mwanamke anaposhika kinyesi wakati wa kujitawadha!

Kundi la pili ni Resident bacteria, Hawa huishi kwenye ngozi zetu, ni wazuri, tena hulinda ngozi na hupambana dhidi ya Bakteria wabaya katika viganja vyetu! Ila shida huja pale wanapoingia Ukeni huvuruga pH ya Uke na kuathiri Normal flora (acidophilus lactobacillus) wanaolinda Njia ya mwanamke.

Soma post inayofuata (mwendelezo)

Umewahi kuugua hii kitu (Bartholin cyst), je! uliitibuje; na je? unafahamu inasababaishwa na kitu gani au mazingira yapi...
11/04/2024

Umewahi kuugua hii kitu (Bartholin cyst), je! uliitibuje; na je? unafahamu inasababaishwa na kitu gani au mazingira yapi

Kwa suluhisho la uvimbe k**a huu wasiliana nasi #0762999990

Kiafya mwanamke haushauriwi kunyoa nywele zako za sehemu za siri siku ambayo unategemea kwenda kushiriki tendo la ndoa n...
09/04/2024

Kiafya mwanamke haushauriwi kunyoa nywele zako za sehemu za siri siku ambayo unategemea kwenda kushiriki tendo la ndoa na mwenza wako! Kwani Kufanya hivyo unaweza kujiweka kwenye hatari ya kupata kwa urahisi Maambukizi ya ngono (STIs) na hata Maambukizi mengine ya ngono kutokana na uwepo wa mikwaruzo au vidonda vidogovidogo vinavyoweza kujitokeza wakati wa zoezi la unyoaji (tiny scratches & microscopic wounds)

Kwa salaam zaidi unaweza kupunguza Nywele hizo kwa Mkasi (triming) au ukanyoa zote na kutoshiriki kabisa tendo la ndoa na Mwanaume walau ndani ya siku 2-3

Dear mwafulani, utawezana na hii, au tupa kule 🤕

Kinywaji kitokanacho na matunda haya ni kizuri sana hasa kwa wale wenye tatizo la chembe nyekundu chache za damu (anemia...
08/04/2024

Kinywaji kitokanacho na matunda haya ni kizuri sana hasa kwa wale wenye tatizo la chembe nyekundu chache za damu (anemia) pamoja na wale wenye kiwango kidogo cha madini chuma (low level of iron).

Kinywaji hiki/matunda haya yana kiwango kikubwa sana cha madini ya vitamin B 9 ijulikanayo k**a folate acid, madini ya magniziam, vitamin C, vitamin E pamoja na madini chuma.

Unaweza kuandaa juisi yake Kwa kuchanganya matunda na mboga hizi Kwa ujazo ufuatao. Tunda moja la bitiruti, majani mawili ya mboga ya keli, robo au nusu kikombe cha mboga ya brokoli na tunda moja la tufaha kisha saga pamoja.

NB, Unaweza kuchuja ama kutochuja!

Femi Drop na Femi cleanser ni dozi iliyosaidia wanawake wengi kupona haraka sana tatizo la PID, ambalo hupelekea wanawak...
06/04/2024

Femi Drop na Femi cleanser ni dozi iliyosaidia wanawake wengi kupona haraka sana tatizo la PID, ambalo hupelekea wanawake🔹Kutokwa na chafu mweupe, njano au kahawia Ukeni🔹Muwasho mkali kwenye mashavu ya Uke🔹Shombo kali muda wote🔹 Misuli ya Uke kulegea na kuwa na uchi uliotepeta🔹Uke kuwa mkavu sana🔹kukosa Ute wa unaovutika siku za hatari🔹Mirija ya uzazi kuziba🔹 Maumivu makali ya tumbo, kiuno, nyonga na mgongo

Dozi hii itakupa matokeo ndani ya siku 3 hadi 15

🔸Gharama yake ni Tsh 150,000 tu (laki na hamsini)

Unaweza tuambia jina la hii cream, na ina kazi zipi kwenye mwili wa mtoto mchanga kabla na baada ya kuzaliwa kwake.
05/04/2024

Unaweza tuambia jina la hii cream, na ina kazi zipi kwenye mwili wa mtoto mchanga kabla na baada ya kuzaliwa kwake.

Haikufaidishi kitu kuishi na maambukizo makali k**a haya and yet unasema ngoja nijipange nitakutafuta mwisho wa mwezi. H...
04/04/2024

Haikufaidishi kitu kuishi na maambukizo makali k**a haya and yet unasema ngoja nijipange nitakutafuta mwisho wa mwezi. Haya sasa mwisho umeisha na sasa ni mwanzo wa mwezi, bado unajipanga???

Mwanamke unakosa hedhi kwa zaidi ya miezi miwili na haushtuki! Fahamu kuwa miongoni mwa vyanzo vya ugumba ni pamoja na k...
12/01/2024

Mwanamke unakosa hedhi kwa zaidi ya miezi miwili na haushtuki! Fahamu kuwa miongoni mwa vyanzo vya ugumba ni pamoja na kukosa hedhi.

Kaka HEDHI Yako inasumbua k**a ilivyokuwa kwa huyu mpendwa! Wasiliana nasi kwa utatuzi, Gharama ni nafuu sana na Matokeo ni ya uhakika

Kwetu Matokeo ni ndani ya saa chache baada tu ya kuanza dozi! FEMI DROP na FEMI CLEANSER ni kiboko kwa utatuzi wa changa...
12/01/2024

Kwetu Matokeo ni ndani ya saa chache baada tu ya kuanza dozi! FEMI DROP na FEMI CLEANSER ni kiboko kwa utatuzi wa changamoto za maambukizo sugu ya PID FANGASI na UTI

Address

Mwenge

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when pid.sugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to pid.sugu:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram