Eternal international ltd

Eternal international ltd JE NIUGONJWA GANI UNAOKUNYIMA USINGIZI? NJOO TUKUSHAURI NA KUKUSAIDIA KUONDOKANA NA UGONJWA HUO.

Tupigie simu 0765892608
27/07/2025

Tupigie simu 0765892608

Tupigie Kwa 0765892608
26/07/2025

Tupigie Kwa 0765892608

Tatua tatizo la macho 0765892608
30/12/2024

Tatua tatizo la macho 0765892608

19/12/2024
Tupo mwenge tupigie 0765892608
19/11/2024

Tupo mwenge tupigie 0765892608

Kwa tiba ya tatizo lolote Lile tutafute, Tupo mwenge, piga 0765892608
13/11/2024

Kwa tiba ya tatizo lolote Lile tutafute, Tupo mwenge, piga 0765892608

VIDONDA VYA TUMBO NI NINI? HEBU TEGA SIKIO. Pia Pata vipimo vya mwili mzima kwa ofa ya 30,000 tu. Piga 0765892608.VIDOND...
04/10/2024

VIDONDA VYA TUMBO NI NINI? HEBU TEGA SIKIO. Pia Pata vipimo vya mwili mzima kwa ofa ya 30,000 tu. Piga 0765892608.

VIDONDA VYA TUMBO?
Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba. Kuna aina kuu mbili (2) za vidonda vya tumbo

1. Gastric Ulcers: hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula
2. Duodenal Ulcers: hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
1. Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H.pylori)
2. Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
3. Kuwa na mawazo mengi
4. Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
5. Kunywa pombe na vinywaji vikali
6. Uvutaji wa sigara
7. Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2. Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
3. Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4. Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5. Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6. Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7. Kushindwa kupumua vizuri

SULUHISHO
Tumia bidhaa zetu ni suluhisho pekee kwa tatizo hili maana huondoa chanzo cha ugonjwa sio kutuliza maumivu. Bidhaa zetu ni 100% NATURAL & HALAL ambazo hufanya mtu kupona na kuimarika afya yake

Tafadhali share taarifa hizi kwa ndugu, jamaa na marafiki. Maelezo zaidi piga 0765892608

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO. INAUA MDUDU ANAEENEZA VIDONDA VYA TUMBO H. PYLORYINATIBU MFUMO MZIMA WA TUMBO.PIGA 0765892608
19/09/2024

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO. INAUA MDUDU ANAEENEZA VIDONDA VYA TUMBO H. PYLORY
INATIBU MFUMO MZIMA WA TUMBO.
PIGA 0765892608

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255765892608

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eternal international ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram