Afya bora

Afya bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya bora, majumba sita, Dar es Salaam.

Je, Nani mwingine anahitaji hiiOFA YA VIPIMO VYA MGONJWA YOTE ISIPOKUWA UKIMWI TU.Karibu sana Gcat Eternal Hospital, upa...
04/01/2024

Je, Nani mwingine anahitaji hii
OFA YA VIPIMO VYA MGONJWA YOTE ISIPOKUWA UKIMWI TU.

Karibu sana Gcat Eternal Hospital, upate huduma hii ya vipimo vyote Bure kabisa, wewe utalipia fomu tu wakati wa kufungua faili Tshs 20,000 tu, na kisha utapata huduma zetu zote bila kutoa gharama nyingine yoyote zaidi ya kununua dawa tu endapo utaandikiwa.
Tunapima vitu vifuatavyo;
✨ Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨ Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨ Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushwaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨ Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨ Mfumo wa upumuaji
✨ Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨ Kisukari
✨ Saratani/kansa
✨ Shinikizo la damu/Presha
✨ Tezi dume
✨ Bawasiri
✨ Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨ Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo

✓Tunafanya vipimo vya Mwili Mzima (full body check up) bure
✓Tunatoa ushauri bure
✓Tunasaidia mgonjwa kukutana na daktari bure
Utafungua faili kwa elfu 20

✓Tunatibu kwa virutubisho/tiba-lishe (nutritional supplements)

Ili uweze kupata huduma hii mapema weka miadi kwa kuwasiliana na daktari kwa namba hii: 0694079626

Address

Majumba Sita
Dar Es Salaam

Telephone

+255694079626

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram