20/07/2025
Bawasiri (pia hujulikana k**a hemorrhoids) ni uvimbe wa mishipa ya damu katika sehemu ya haja kubwa (re**um au a**s). Hali hii inaweza kusababisha madhara mbalimbali, hasa inapopuuzwa au kutotibiwa mapema. Madhara ya bawasiri ni pamoja na:
1. MAUMIVU NA USUMBUFU.
Hasa wakati wa kujisaidia choo, mtu huhisi maumivu makali au kuwashwa sehemu ya haja kubwa.
2. KUTOKWA NA DAMU
Damu safi inaweza kuonekana kwenye kinyesi au karatasi ya chooni. Hali hii ikidumu kwa muda mrefu huweza kusababisha upungufu wa damu (anemia).
3.KUVIMBA AU UVIMBE UNAOTOKA NJE YA HAJA KUBWA.
Bawasiri ya nje inaweza kusababisha uvimbe unaoshikika au unaoonekana kwenye lango la haja kubwa, na mara nyingine huambatana na maumivu makali.
4. KUWASHWA MARA KWA MARA KWENYE SEHEMU YA TUNDU LA HAJA KUBWA.
Kuwashwa kwenye sehemu ya haja kubwa kutokana na kuwashwa kwa ngozi au kutoa ute.
5.KUTOWEZA KUKAA MDA MREFU
Mgonjwa hupata shida kukaa kwa muda mrefu kutokana na maumivu ya bawasiri.
6.KUKOSA RAHA AU AIBUKukosa
Watu wengi huhisi aibu kuzungumzia hali hiyo, na inaweza kuathiri maisha ya kijamii au ya ndoa hususa NI madhara Kwa upande wa mwanaume ni upungu vu wa nguvu za kiume.
7.MAAMBUKIZI
Bawasiri iliyochanika au kulika inaweza kuambukizwa na kusababisha usaha au harufu mbaya.
Kwa mawasiliano Zaid +255748208043๐