Fau Health & Wellness

Fau Health & Wellness Fau Health & Wellness

29/11/2025

✍️✍️Hii Ni Maalumu Kwa Wanawake Wenye Changamoto za uzazi
yaweza kuwa umepambana kwa muda mrefu kuondokana na changamoto hizi za k**e bila mafanikio.

Tunaelewa umuhimu wa kushughulikia masuala ya afya ya uzazi! na kutafuta suluhu kwa maisha yenye furaha na afya bora.

Timu yetu ya wataalam iko hapa kutoa huduma na Mwongozo katika kusaidia kushinda matatizo yafuayayo πŸ‘‡

βœ…Utokaji Uchafu wenye harufu kali Ukeni
βœ… Maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D )
βœ…Miwasho isiyoisha sehemu za siri
βœ…U.T.I Sugu
βœ…Vimbe kwenye kizazi
βœ…Mirija ya uzazi kuziba
βœ…Hormonal imbalance
βœ…Kukosa Ute wakati wa siku za hatari
βœ…Chango la uzazi
βœ…Maumivu wakati wa tendo la ndoa
βœ…Mvurugiko wa HEDHI
βœ… Fangasi
Je ungependa kupata mwongozo wa kukusaidia kuondokana na changamoto hizo,kwa njia rahisi na salama zaidi

Pata Tiba na mwongozo zaidi kuhusu jinsi ninavyoweza kukusaidia

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Aina Za Uvimbe Kwenye Kizazi:Kuna aina kuu nne (4) za uvimbe kwenye kizazi kulingana na sehemu unapotokea kwenye mfuko w...
05/05/2024

Aina Za Uvimbe Kwenye Kizazi:
Kuna aina kuu nne (4) za uvimbe kwenye kizazi kulingana na sehemu unapotokea kwenye mfuko wa uzazi ambao ni pamoja na;

1) Intramural Fibroids.
Hii ni aina ya uvimbe ambayo uwapata sana wanawake. Aina hii ya uvimbe hukua na kumea kwenye misuli ya ukuta wa mfuko wa mimba (uterus). Kadri uvimbe huu unavokua basi husababisha kupanuka au kuvutika kwa kizazi na kusababisha dalili k**a hedhi.

2) Subserosal Fibroids.
Aina hii ya uvimbe hukua nje ya ukuta wa mfuko wa mimba, wakati mwingine kuelekea kwenye kibofu cha mkojo. Aina hii ya uvimbe huweza kusababisha maumivu ya chini ya mgongo kutokana na kwamba uvimbe huu unasukuma neva za uti wa mgongo na kusababisha presha kubwa kwenye eneo la chini ya mgongo.

3) Submucosal Fibroids.
Aina hii ya uvimbe hukua karibu na ukuta wa kizazi. Hii inaweza kusababisha kutokwa na damu kwa muda mrefu wakati wa hedhi na shida kwenye kushika ujauzito.

4) Cervical Fibroids.
Huu uvimbe hukua kwenye tishu za mlango wa kizazi ambao huitwa cervix.

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

JE, HUYU NI WEWE UNAYETESEKA NA TATIZO LA UVIMBE KWENYE MASHAVU YA UKE ( BARTHOLIN CYST)....???Bartholin Cyst au uvimbe ...
19/04/2024

JE, HUYU NI WEWE UNAYETESEKA NA TATIZO LA UVIMBE KWENYE MASHAVU YA UKE
( BARTHOLIN CYST)....???

Bartholin Cyst au uvimbe wa kwenye mashavu karibu na mlango wa uke inasababishwa na nin?
Bartholin ni gland ambayo kazi yake kubwa ni kuweka unyevu kwenyebuke hasa wakatibwa tendo la ndoa.
Kuna sababu kubwa 2 zinazofanya mtu atokwe na uvimbe huu

1. Maambukizi ya Bacreria anayeutwa E- coli ambapo anakuja na kuziba njia za kwenye maingilio ya glands hzo

2. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa k**a kisonono na chlamydia

Ukiona dalili zifuatazo ni ishara ya kuwa una tatizo la Bartholin Abcess/ cyst.... yaani uvimbe kwenye mashavu ya uke karibu na mlango wa uke.

1. Umeota Kiuvimbe kwenye mashavu karibu na mlango wa uke

2. Unapata maumivu makali sana wakati mwingine unapata shida hata kutembea au kukaa

3. Inakuwa ngumu kufanya tendo la ndoa kwa sababu ya maumivu

4. Uke wako unakuwa mkavu.

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUSHINDWA KUFANYA KAZI.(FALLOPIAN TUBES DISFUNCTION).Kuna mambo mengi husababisha mirija ya uz...
17/04/2024

TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUSHINDWA KUFANYA KAZI.
(FALLOPIAN TUBES DISFUNCTION).
Kuna mambo mengi husababisha mirija ya uzazi kuziba ni pamoja na.....
● Maambukizi ya virusi pamoja na bacteria, na makovu hutokana na ngono zembe mfano Hydrosalpinx.
● Magonjwa ya tumbo k**a appendix na colitis ambapo hupelekea makovu na mirija ya uzazi kuziba.
● Upasuaji maeneo ya kinena na tumbo huweza kusababisha uharibifu utakaozuia upitaji wa yai.
● Mimba Ndani Ya Mirija Ya Uzazi (Ectopic Pregnancy)
● Pamoja na matatizo ya kuzaliwa nayo.

πŸ’SULUHISHO SAHIHI NIπŸ’...
Kuna tiba sahihi pasi na upasuaji bali kutumia bidhaalishe zenye ubora na kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanamke.

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

π—π—˜ π—¨π— π—˜π—§π—”π—™π—¨π—§π—” 𝗠𝗧𝗒𝗧𝗒 π—žπ—ͺ𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗠π—₯π—˜π—™π—¨ π—•π—œπ—Ÿπ—” π— π—”π—™π—”π—‘π—œπ—žπ—œπ—’ 𝗑𝗔 π—›π—¨π—π—¨π—œ π—¨π—™π—”π—‘π—¬π—”π—π—˜ 😞🀷 ............... π—©π—œπ—¦π—”π—•π—”π—•π—œπ—¦π—›π—œ 𝗩𝗬𝗔 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” π—¨π—šπ—¨π— π—•π—” (...
17/04/2024

π—π—˜ π—¨π— π—˜π—§π—”π—™π—¨π—§π—” 𝗠𝗧𝗒𝗧𝗒 π—žπ—ͺ𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗠π—₯π—˜π—™π—¨ π—•π—œπ—Ÿπ—” π— π—”π—™π—”π—‘π—œπ—žπ—œπ—’ 𝗑𝗔 π—›π—¨π—π—¨π—œ π—¨π—™π—”π—‘π—¬π—”π—π—˜ 😞🀷 ...............

π—©π—œπ—¦π—”π—•π—”π—•π—œπ—¦π—›π—œ 𝗩𝗬𝗔 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” π—¨π—šπ—¨π— π—•π—” (π—œπ—‘π—™π—˜π—₯π—§π—œπ—Ÿπ—œπ—§π—¬) πŸ‘‡
✍️ Matatizo katika kiwanda cha kuzalisha mayai ya uzazi. ( Ovari)
✍️ Matatizo ya homoni kutokua sawa( hormonal Imbalance)
✍️ Matatizo ya hedhi k**a:
✍️ Kukosa hedhi kabisa
✍️ Kupata hedhi kidogo sana au nyingi sana
✍️ Kupata hedhi yenye maumivu makali sana
✍️ Kupata hedhi nzito au nyepesi sana.
✍️ Mirija ya uzazi kuziba kutokana na maambukizi katika mfumo wa uzazi.
✍️ Vimbe kwenye mfumo wa uzazi.
✍️ Vimbe kwenye Ovari
✍️ Vimbe kwenye mirija ya uzazi..
✍️ Fangasi sugu na u.t.i sugu
✍️ Kukosa uteute wauzazi
✍️ Maambukizi Kwenye Via Vya Uzazi (PID)

Kwa ushauri na Tiba za magonjwa mbalimbali Kwa KUTUMIA tiba lishe asili kabisa zisizo na kemikali
**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

 #  # #FURSA      FURSA    FURSA           πŸ‡ΉπŸ‡ΏBFSUMA TZπŸ‡ΉπŸ‡Ώ.   BFSUMA ni Kampuni inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaj...
18/03/2024

# # #

FURSA FURSA FURSA

πŸ‡ΉπŸ‡ΏBFSUMA TZπŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

BFSUMA ni Kampuni inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaji wa bidhaa za VIRUTUBISHALISHE .Bidhaa hizi huzaliswa katika nchi za MAREKANI πŸ‡ΊπŸ‡Έ HongKong πŸ‡­πŸ‡° n GERMANY πŸ‡©πŸ‡ͺ

*** Unaweza KUJISAJILI na Kua WAKALA WA BFSUMA Kwa MTAJI WA Laki moja na Hamsini Elfu ( Tsh 150,000/=)
β€’FAIDA za kuwa WAKALA wa BFSUMA
1)UBORA WA BIDHAA,bidhaa zetu ni bora kwa kuwa na matokeo mazuri kwa kila mtumiaji

2)BEI YA BIDHAA,tuna bidhaa nyingi za Bei ya chini Ambazo watu Wengi wana Mudu hivyo itakurahisishia kufanya biashara kwa watu wa matabaka/level zote

3)NAMNA YA KUANZA BIASHARA,ni rahisi kuanza biashara na BFSUMA kwani MTAJI unaohitajika ni (Tsh 150,000/=)Ambayo watu Wengi wana mudu
...Uta Chukua bidhaa ambazo una mteja anaihitaji au unazohitaji kuzitumia

4)MPANGO MASOKO BORA NA UNAOTEKELEZEKA,mpango masoko wa BFSUMA ni rahisi kwa kila Mwenye kujituma katika kufanya kazi hivyo huwezesha WAGAVI/MAWAKALA Kupata BONUS KILA MWEZI,ku QUALIFY SAFARI NA MAGARI

5) UWEPO WA BIDHAA NYINGI Aina TOFAUTI TOFAUTI , HII inakusaidia wewe Mgavi/Wakala KUKUA KI BIASHARA Kwani unakua na Wigo mpana wa SOKO .

Pia Kampuni Ya BFSUMA huzalisha BIDHAA zake zote Yenyewe kitu kinachoiwezesha Kampuni ku Control UBORA WA BIDHAA , Tofauti na Makampuni mengine ambayo huingia Ubia/Mikataba na Viwanda/Wazalishaji ili kuweza kuzalishiwa bidhaa kwa brand/Majina yao.

**FIKIRIA CHUKUA HATUA**
KILA KITU KINAWEZEKANA

JIUNGE NASI TUTAKUWEZESHA KUYAFKIA MALENGO YAKO

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

FAHAMU VYAKULA VYENYE KUMPA HAMU NA FURAHA YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE. ● SPINACH _ Mboga ya majani ya spinachi ina ma...
14/03/2024

FAHAMU VYAKULA VYENYE KUMPA HAMU NA FURAHA YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE.

● SPINACH
_ Mboga ya majani ya spinachi ina madini mengi ya magnesium ambayo kusambaza damu kwa haraka mwili na hali hii humfanya mwanamke kuwahi kufika kileleni mapema akiwa na hamu zaidi na furaha ya tendo la ndoa.

● Majani ya mchaichai (Green Tea).
_ Kuna kompaundi itwayo "catechins " ambayo huondoa sumu na kuvunjavunja mafuta ili damu iweze kupita vizuri kwenye mishipa ya damu na kumfanya mwanamke aweze kufurahia tendo la ndoa.

● Mafuta ya samaki (Omega3).
_ Ni aina ya mafuta ya samaki ambayo huimarisha afya ya ubongo hasa kuwa na hisia kali na kuleta hamu ya tendo la hasa kufanya homoni na kuweza kutoa cell za Dopamine kuzarisha hisia za mapenzi kwa wingi.

● Chocolate
_ Chakula hiki kina muunganiko wa madini k**a potassium, Iron, phosphorus, magnesium, calcium na sodium.
Kulingana na madini haya humfanya mwanamke kumuongezea hamu na kuimarika kwa na kuchochea homoni ya estrogen kwa mwanamke.
**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

MWANAUME USIPITE BILA KUSOMA HAPA JAPO KIDOGO UTATOKA NA KITU.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡       ..MBEGU ZA KIUME DHAIFU Mbegu za ki...
10/03/2024

MWANAUME USIPITE BILA KUSOMA HAPA JAPO KIDOGO UTATOKA NA KITU.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
..MBEGU ZA KIUME DHAIFU
Mbegu za kiume dhaifu au chache ;hizi ni mbegu ambazo huwa nyepesi na mara nyingi huwa na maji mengi na hazina uwezo wa kutungisha mimba

VISABABISHI VYA MBEGU
ZA KIUME DHAIFU AU CHACHE
β–ͺAina ya chakula mfano ukosefu wa vyakula vyenye madini ya zink,selenium,vitamin E,Folic acid,vitamin B12,Vitamin C, na vyakula mbali mbali ambavyo huondoa sumu mwilini.
β–ͺKujichua(punyeto)
β–ͺJoto kupita kiasi(hyperthernia)
β–ͺMafadhaiko(stress)
β–ͺUnywaji wa pombe
β–ͺViuaji vya sumu na hormones mfano pesticide

DALILI ZA MBEGU
ZA KIUME DHAIFU AU CHACHE
β–ͺMbegu kuwa nyepesi
β–ͺZikiingia ukeni hazikai,dakika chache mwanamke anaanza kuhisi mbegu kutoka kwa mtindo wa kuchuruzika k**a maji
β–ͺMwanamke hashiki mimba haraka
β–ͺHazina uwezo wakuogelea ukeni hufia njiani
β–ͺHutoka chache na nyepesi k**a maji
β–ͺHuwa na rangi nyeupe

**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

DAWA YA KUNG'ARISHA MENO  Hii ni Dawa Ya Meno Yenye Uwezo mkubwa wa kung'arsha meno(kuwa meupe) Kutokana Na teknolojia y...
07/03/2024

DAWA YA KUNG'ARISHA MENO Hii ni Dawa Ya Meno Yenye Uwezo mkubwa wa kung'arsha meno(kuwa meupe) Kutokana Na teknolojia ya BLUE CLEANING FACTOR,Imetokana na mchanganyiko asilia wa viambata Visivyo na Madhara kwa mtumiaji ●Inang'arisha Meno Yanakua Meupe,β€’Kuua vijidudu katika kinywa β€’Kuondoa harufu mbaya mdomoni β€’Inasafisha taka zote Kinywani na kuongeza ladha ya chakula ●Inatibu fizi zinazotoa damu au zinazouma β€’Kusaidia kutoa ganzi ya meno β€’Kuondoa maumivu makali ya meno β€’Inazuia Meno kuoza au kuharibika ●Inaondoa fangasi kwenye ulimi,koo,na sehemu zingine β€’Kukausha majeraha ya kuungua au kujikata β€’Ni salama zaidi kwani haina madini ya fluoride badala yake kuna mimea mchanganyikoβ€’ ●Imethibitishwa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba Tanzania TMDA β€’Haipatikani katika Maduka Ya kawaida β€’Ina Ujazo Wa Gram 130 Inaweza kutumika hadi miezi 2 matokeo ni wiki moja tu .
**SHARE kwa WATU na Ma GROUP mbali mbali uweze kuwasaidia Wengi wanaoteseka πŸ™πŸ™

Piga/WhatsApp& Msg 0624763329

Tembelea page πŸ“„ Instagram And Facebook Fahluly Mohds

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fau Health & Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram