Magonjwa SUGU & Dr.JJ

Magonjwa SUGU & Dr.JJ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Magonjwa SUGU & Dr.JJ, Doctor, 0628791545, Dar es Salaam.

28 Day Slimming Tea○●Chai ya Kupunguza Uzito na Kitambi ○●Imeundwa kwa Mchanganyiko wa Mimea Asili mbalimbali .○●Ubora w...
04/04/2024

28 Day Slimming Tea
○●Chai ya Kupunguza Uzito na Kitambi

○●Imeundwa kwa Mchanganyiko wa Mimea Asili mbalimbali .

○●Ubora wake wa Ufanyaji kazi ni wa Uhakika Sana .

○●Itaenda Kuondoa Mafuta Yote kwenye Tumbo , kwa Kuyaondoa kwenye Mishipa ya Damu .

○●Itaenda Kuongeza Metabolism (Ufanisi wa wa kazi wa Mwili ) .

○●Haina Madhar kabisa , Imethibitishwa na Wataalamu .
Tunapatikana DAR ES SALAAM tunapatikana kwa namba za whatsapp 0628791545

28 Day Slimming Tea . ○●Chai ya Kupunguza Uzito na Kitambi ○●Imeundwa kwa Mchanganyiko wa Mimea Asili mbalimbali . ○●Ubo...
27/03/2024

28 Day Slimming Tea . ○●Chai ya Kupunguza Uzito na Kitambi ○●Imeundwa kwa Mchanganyiko wa Mimea Asili mbalimbali . ○●Ubora wake wa Ufanyaji kazi ni wa Uhakika Sana . ○●Itaenda Kuondoa Mafuta Yote kwenye Tumbo , kwa Kuyaondoa kwenye Mishipa ya Damu . ○●Itaenda Kuongeza Metabolism (Ufanisi wa wa kazi wa Mwili ) . ○●Haina Madhar kabisa , Imethibitishwa na Wataalamu .
Kwa kupata huduma Wasiliana Nasi kwa Namba za whatsapp 0628791545,
KARIBU TUKUHUDUMIE

26/03/2024
24/03/2024

KISONONO,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE. (GONORRHEA)

KISONONO(GONORRHEA)
⚫Ni maambukizi ambayo husambazwa kupitia bacteria kwa njia ya kujamiiana,bacteria hao wanauwezo wa kuwaambukiza wanawake na wanaume.

•Kisonono Mara nyingi huathiri Urethra, sehemu ya hajakubwa(rectum) na koo (throat).Kwa wanawake,Kisonono huweza kuathiri mlango wa kizazi (Cervix).
•Bacteria anayesababisha Ugonjwa wa kisonono anaitwa Bacterium Neisseria gonorrhoeae.

•Kisonono mara nyingi husambazwa wakati wa kujamiiana kupitia Uke,mdomo na sehemu ya haja kubwa(kinyume na maumbile).

ƥLakini watoto ambao mama zao wana kisonono wanaweza kuambukizwa wakati wa kujifungua.

•Kwa Watoto,Kisonono huathiri macho.
DALILI ZA MWENYE MAAMBUKIZI YA KISONONO
-Mara nyingi maambukizi ya kisonono hayaoneshi dalili zozote ingawa kisonono kinauwezo wa kiathiri sehemu mbali mbali za mwili.Lakini sehemu ambazo huonesha dalili mara nyingi ni sehemu za siri.

(A) DALILI ZA KISONONO KWA WANAUME:
⏬⏬⏬⏬
▶️ Maumivu wakati wa kukukojoa.
▶️ Kutokwa na majimaji mithili ya Usaha kwenye kichwa ya uume.(pen*s)
▶️ Maumivu ama uvimbe katika moja ya korodani.

(B) DALILI ZA KISONONO KWA WANAWAKE:
⏬⏬⏬⏬
▶️ Kuongezeka kutoka uchafu katika sehemu za siri za mwanamke(Vaginal discharge)
▶️ Kutokwa na damu katika sehemu zake kwa vipindi tofauti tofauti ama baada ya kujamiiana.
▶️ Maumivu ya tumbo/maumivu ya nyonga.
KISONONO KATIKA SEHEMU ZINGINE ZA MWILI

1⃣ Mlango wa haja kubwa(Rectum)
-Kuwashwa sehemu ya haja kubwa.
-Kutokwa na vitu k**a usaha sehemu ya haja kubwa.
-Kupata choo kigumu

2️⃣ MACHO
-Maumivu ya macho
-Macho kupunguza uwezo wa kuona.
-Kutokwa na vitu k**a Usaha kwenye jicho moja ama yote.

3️⃣ KWENYE KOO.
-Kutokwa na vivimbe kwenye koo
-Kuvimba kwa Lymphs katika shingo

4️⃣ KWENYE MAUNGIO (Joints)
-Maungio Kupata joto
-Maungio Kuvimba
-Maungio kuwa mekundu.
-Maumivu makali hasa wakati wa kutembea.

24/03/2024

PID PELVIC INFLAMMATORY DISEASE

Maambukizo kwenye via vya uzazi (PID) imekuwa maarufu sana katika jamii yetu miongoni mwa wanawake wengi huambukizwa PID.

Vimelea aina ya Neisseria Gonorhoere Chlamydia Trachomatis ndivyo vinavyo ongoza kusababisha PID kwa kinamama.

MWANAMKE ANAAMBUKIZWA VIP PID:-

Kuna njia kadhaa ambazo hupelekea mwanamke kuambukizwa PID.

📌Kutoa mimba (Abortion)

📌Maambukizo katika njia za uzazi Mara baada ya kujifungua

📌Matumizi ya njia za uzazi wa mpango k**a vidonge,kitanzi,sindano n.k

🩸.Kukaa na infection k**a u.t.i na fangas sugu kwa mda mrefu bila kutibiwa

DALILI ZA PID NI ZIPI
Moja ya dalili za PID kwa mwanamke ni

🌷Kutokwa na uchafu mweupe k**a mziwa mtindi sehemu za siri sometimes inaweza kuwa rangi ya kijani,kahawia,brown hata njano.

🌷 Maumivu chini ya kitovu,nyonga na kiuno

🌷 Maumivu wakati wa tendo la ndoa

🌷 Kukosa hamu ya tendo la ndoa

MADHARA YA KUKAA NA PID PELVIC INFLAMMATORY DISEASE

Maambukizo kwenye via vya uzazi ni makubwa sana

🌱 Husababisha Kizazi kulegea

🌱 Husababisha polycystic ovarian syndrome na ovarian cysts uvimbe kwenye mayai

🌱 Hormone kushindwa imbalance

🌱 Husababisha Kizazi kujaa maji maji sometime unakuta chupi imelowa.

🌱 Husababisha saratani ya shingo ya Kizazi

🌱 Husababisha mimba kuporomoka kabla ya mda (miscarriage), mimba kutunga nje ya kizazi n.k

🌱 Husababisha UGUMBA (infertility)

Ni Fact mwanamke mwenye PID hulalamika kutokunasa ujauzito kwa haraka hi ni Kwasababu PID huathiri kizazi na Utafiti unaonyesha Katika wanawake 8 wenye PID Mmoja anakuwa MGUMBA sikutishi Ila nimekupa Fact.

Nitumie Ujumbe whatsapp Tuzungumze nikushauri vizur zaidi ndg ikibidi nikupe suluhuhisho sahihi la Tatizo lako,+255628791545

Address

0628791545
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magonjwa SUGU & Dr.JJ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category