Afya Imara

Afya Imara ๐“๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐š๐ฌ๐š๐ข๐๐ข๐š ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐ฒ๐š ๐‡๐Ž๐Œ๐€ ๐˜๐€ ๐ˆ๐๐ˆ (๐‡๐„๐๐€๐“๐ˆ๐“๐ˆ๐’ ๐), ๐…๐š๐ญ๐ฒ ๐‹๐ข๐ฏ๐ž๐ซ (๐ฆ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ˆ๐๐ˆ ) ๐ฉ๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ฅ๐ข๐ฏ๐ž๐ซ ๐œ๐ข๐ซ๐ซ๐ก๐จ๐ฌ๐ข๐ฌ. Presha na Kisukari.

18/10/2025
11/10/2025

Check out afya_imaraโ€™s video.

Bamia si mboga ya kawaida. Ni zawadi ya asili inayoweza kumsaidia mgonjwa wa kisukari. Ndani yake kuna ute wa pekee na n...
29/09/2025

Bamia si mboga ya kawaida. Ni zawadi ya asili inayoweza kumsaidia mgonjwa wa kisukari. Ndani yake kuna ute wa pekee na nyuzi lishe ambazo huzuia sukari kupanda kwa haraka, na kusaidia insulin ifanye kazi vizuri. Pia bamia ina antioxidants ambazo hulinda kongosho, moyo na mishipa ya damu.

Kwa ufupi, bamia hufanya mambo makuu matatu:

1. Hudhibiti sukari ya damu.

2. Husaidia kupunguza uzito na cholesterol.

3. Huimarisha kinga ya mwili.

Hivyo kila unapokula bamia, unalisha mwili wako na pia unaupa ulinzi dhidi ya madhara ya kisukari.

Address

Kimara
Dar Es Salaam
412

Telephone

+255783075579

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Imara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Imara:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram