HD Juices&Smoothies

HD Juices&Smoothies Cold Pressed fresh Juices. No Sugar, Water or Additives added. Prepared only when ORDERED. For Delive

Karibuni  Soursop punch, purely made of apples, pineapple, ginger, with few dates. Imagine of that combination in your h...
12/11/2022

Karibuni

Soursop punch, purely made of apples, pineapple, ginger, with few dates. Imagine of that combination in your health.

Tupo wazi kwa orders call on 0719999996

Healthier options  Karibuni sana kwa juieces, smoothies na chakula kila siku #
10/11/2022

Healthier options

Karibuni sana kwa juieces, smoothies na chakula kila siku #

Ni hivi ndugu wateja,  imebaki na msimamo wake ule ule wa tangu mwanzo, kwamba utatoa huduma bora kwa kila aliye na kiu ...
07/11/2022

Ni hivi ndugu wateja, imebaki na msimamo wake ule ule wa tangu mwanzo, kwamba utatoa huduma bora kwa kila aliye na kiu ya healthy juice.

Tupo wazi kwa aina zote za juice, na kwa kuwa tumewasikiliza wateja wetu, tunatoa huduma ya chakula pia.

Tupo Mbezi beach ya chini karibu na shule ya msingi Mbezi beach. Kwa huduma za pickup, delivery au kukaa na kunywa au kula, karibuni!!!

 imekuwa kwenye marekebisho kwa kipindi cha mwezi huu wa 9, samahani wateja kwa usumbufu tuliowasababishia.Tunategemea k...
24/09/2022

imekuwa kwenye marekebisho kwa kipindi cha mwezi huu wa 9, samahani wateja kwa usumbufu tuliowasababishia.

Tunategemea kurudisha huduma wiki ijayo, tukiwa tumekngeza huduma zaidi k**a mtakavyopewa taarifa mambo yakiwa sawa. Karibuni sana

Habari!! inakaribisha maombi ya kazi kwa kila mwenye nia ya kufanya kazi nasi. Tunahitaji mtu mwenye uzoefu wa kuendesha...
07/08/2022

Habari!!

inakaribisha maombi ya kazi kwa kila mwenye nia ya kufanya kazi nasi. Tunahitaji mtu mwenye uzoefu wa kuendesha, kufanya kazi au ujuzi wa juices na smoothies au katika mapishi yanayofanana na hili.

Kwa mwenye nia au maulizo zaidi awasiliane nasi kwa namba yetu 0719999996 kwa kupiga simu au WhatsApp.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 21:00
Tuesday 07:00 - 21:00
Wednesday 07:00 - 21:00
Thursday 07:00 - 21:00
Friday 07:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 10:00 - 21:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HD Juices&Smoothies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram