Dr Nature

Dr Nature A visionary medical doctor with a passion for transforming lives through healthy lifestyle coaching

01/05/2026

Madhara ya Kujnyima Chakula Ni pamoja na
- Kukonda badala ya kupendeza
- Kupoteza Misuli na mifupa
- Kuongeza zaidi utakapoanza kula kawaida

30/04/2026

Hiki Ndicho Kinachotutofautisha Kwenye Matibabu ya ACid Reflux na Vidonda vya Tumbo

30/04/2026

Kula Protini Sana Wakati Unajinyima Chakula Haikusaidii Kutunza Misuli😎

29/04/2026

Matokeo ya Kujinyima Chakula Kwenye 'Resting Metabolic Rate' Na Mazoezi 'Physical Activity'

Utajisikia mtu wa maana sana siku utakaposhinda uraibu wa kujichua!Hii ni kwa wanawake na wanaume..Furaha yake inastahil...
29/04/2026

Utajisikia mtu wa maana sana siku utakaposhinda uraibu wa kujichua!

Hii ni kwa wanawake na wanaume..

Furaha yake inastahili mapambano💪🏻

Unakata vitunguu jikoni…Vipo vitatu mbele yako:cheupe, cha njano, na chekundu.Unafikiri ni ladha tu inatofautiana.Lakini...
29/04/2026

Unakata vitunguu jikoni…

Vipo vitatu mbele yako:
cheupe, cha njano, na chekundu.

Unafikiri ni ladha tu inatofautiana.

Lakini ukweli ni huu…
..Rangi ndiyo siri ya afya yake...

Vitunguu chekundu vina kiwango kikubwa cha antioxidants—hasa quercetin na anthocyanins.

Hivi ndivyo vinasaidia mwili kupambana na:

* Mioto (inflammation)
* magonjwa ya moyo
* uharibifu wa seli (aging)

Ukiviweka kwa mpangilio..

👉 Chekundu = nguvu zaidi
👉 Njano = kati
👉 Cheupe = chini zaidi

Kila unapopika:
viazi, maharage, mboga… nk

Una nafasi ya:
✔ kuongeza kinga ya mwili
au
✖ kupoteza nafasi hiyo bila kujua

Habari njema…

Hata ukipika vitunguu, bado vinabaki na sehemu ya virutubisho vyake—hasa k**a hupiki kwa moto mkali muda mrefu.

Hata hivyo..
Kubadili tu kitunguu hakutoshi kubadilisha afya yako.

Lakini…
... maamuzi madogo ya kila siku ndiyo hujenga afya yako......

Coach Wako,
Dr Nature

26/04/2026

Kwa Magonjwa Yasiyoambukiza Dawa Bila Mtindo Bora wa Maisha ni Kupoteza pesa

26/04/2026

Tuviamini Vipimo vya Kupima Mwili Mzima?

23/04/2026

Dawa, Wataalamu na Vituo vya kutokea huduma zinazotibu ACID REFLUX vipo vingi..

La Msingi✅

Pamoja na yote hakikisha unapata elimu sahihi ya mtindo wa maisha.

Magonjwa ya mtindo wa maisha na mfumo wa lishe k**a haya hayahitaji shortcut

Ndani ya eBook “TIBA YA MADHARA YA PUNYETO” utapata:✔️ Mbinu za kuongeza stamina na control✔️ Njia za kuchelewesha kufik...
22/04/2026

Ndani ya eBook “TIBA YA MADHARA YA PUNYETO” utapata:

✔️ Mbinu za kuongeza stamina na control
✔️ Njia za kuchelewesha kufika (delay) naturally
✔️ Mfumo wa kurejesha nguvu za kiume
✔️ Hatua za vitendo za kutoka kwenye “dakika 1” kwenda level nyingine

Hii siyo ya kubahatisha.
Ni mfumo unaofanya kazi.

Bei: Tsh 15,000 tu

Ukishalipia…
📲 Unaitumiwa WhatsApp papo hapo

Wasiliana sasa:
👉 +255767759137

Presha ya kupanda sio mchezo. Ni muuaji wa kimya kimya.Sasa ukweli mmoja muhimu:Hakuna tiba ya shortcut.Presha inatibika...
21/04/2026

Presha ya kupanda sio mchezo. Ni muuaji wa kimya kimya.

Sasa ukweli mmoja muhimu:
Hakuna tiba ya shortcut.
Presha inatibika kwa kubadili maisha, si kitu kimoja tu.

Ndani ya mabadiliko hayo, kuna msaada wa asili ambao watu wengi wanapuuzia — unga wa mbegu ya parachichi 🥑

Lakini usichanganye mambo:
👉 Huu sio mbadala wa dawa za hospital
👉 Usiacha dawa zako holela
👉 Tenganisha angalau saa 1 kati ya dawa na huu unga
👉 Daktari wako ndiye atakuongoza kupunguza dawa taratibu

Jinsi ya kutengeneza:

* Ondoa ganda la nje la mbegu
* Kwangua k**a karoti
* Anika kivulini (hakuna jua la moja kwa moja)
* Baada ya siku 4–5 zikauke
* Saga au twanga kupata unga

Matumizi:
Kijiko 1 cha chakula, mara 2 kwa siku, kwenye kikombe cha maji ya moto

Lakini hapa ndipo watu wengi wanakosea…
Wanatafuta unga, wanasahau msingi.

K**a bado unakula vyakula vilivyosindikwa, mafuta mengi, chumvi nyingi…
hata unywe nini — presha itakusumbua tu.

Suluhisho la kweli:

Rudi kwenye chakula hai 🌱
(matunda, mbogamboga, nafaka zisizokobolewa, kunde)

Hapo ndipo mwili unaanza kujirekebisha.

Unga wa mbegu ya parachichi ni msaidizi…
Lakini maisha yako ndiyo dawa kuu.

Coach wako,
Dr Nature
0767759137

Take Care!

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Telephone

+255767759137

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Nature posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category