17/03/2026
SIZZLE & MEGA OPP β MBEYA 2026 π₯
Mbeya jiandae! Tukio kubwa la kihistoria linakuja 23 & 24 March 2026 katika Mkapa Conference Hall kuleta pamoja viongozi na wabunifu wa mafanikio kutoka maeneo mbalimbali.
Utapata nafasi ya kujifunza na kuhamasika kupitia viongozi mahiri k**a
RGA. MR. Duncan Atukwase (Guest Speaker)
GA. MR. M***a Maulah (Host)
GA. MR. Godfrey Kasimbazi
GA.MS. Penlope
Ndio watakaotoa maarifa ya biashara na safari ya mafanikio.
π‘ Hii ni nafasi yako ya kujifunza, kuunganishwa na watu wenye maono makubwa, na kufungua milango ya mafanikio mapya.
β° Muda: Kuanzia saa 2:00 asubuhi
π Mahali: Mkapa Conference Hall β Mbeya
β¨ Usikose! Njoo uwe sehemu ya mabadiliko makubwa ya maisha yako
Wape Taarifa Team yako, Wote mnakatibishwa.π«΅π₯πΉπΏ