05/09/2025
DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI/HERNIA
_____________
Dalili za ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1.Kubana tumbo hasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu/vyakula vya baridi.
2.Kupiga miungurumo tumboni.
3.Kujaa gesi tumboni.
4.Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5.Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
6.Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7.Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8.Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9.Nuru ya macho hupotea taratibu.
10.Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11.Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12.Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13.Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14.Uume kusimyaa na kunywea k**a wa mtoto
15 .Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi
16. Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)
17. Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.
18. Ukila vyakula vyevye sukari nying k**a soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas
19. Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)
_____________________________©©©_________©©©_____________________________________
Kwa Tiba Ya Ngiri/Hernia Bila Operation Wasiliana Nasi CARE & CURE HERBAL CLINIC