03/10/2025
๐๐ ๐จ๐ก๐๐๐๐๐ก๐๐๐ ๐ข๐ง๐ข ๐จ๐ผ ๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐ ๐๐จ๐ญ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐๐ช๐๐ก๐๐ข ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ง๐จ๐ ๐๐ข๐ก๐ (๐๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐จ๐ซ-๐๐๐ฅ๐)?
Watu wengi sana hivi sasa wamekuwa wakisumbuliwa na changamoto hii ya ACID tumboni, wengine wakiita gesi ya tumbo na wametumia dawa zilizo za hospitalini au tiba mbadala na bado tatizo liko pale pale hawaponi, je, umewahi kujiuliza shida ni nini au unahisi umelogwa hadi huponi? โฆ Hapana msaada umekufikia LEO.
Kabla ya Kwenda mbali embu tujue kwanza ugonjwa huu ni nini na upoje โฆโฆ KARIBU.
๐๐๐ฆ๐ง๐ฅ๐ข๐๐ฆ๐ข๐ฃ๐๐๐๐๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐จ๐ซ ๐๐๐ฆ๐๐๐ฆ๐ (๐๐๐ฅ๐)
Ni hali inayotokana na kuzidi kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.
๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐ ๐ง๐จ ๐๐ก๐๐ฌ๐๐ฆ๐จ๐ ๐๐จ๐๐๐ช๐ ๐ก๐ ๐๐จ๐ญ๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐๐๐ ๐ง๐จ๐ ๐๐ข๐ก๐ (๐๐๐ฅ๐ ๐๐ฐ๐ถ๐ฑ ๐ฅ๐ฒ๐ณ๐น๐๐
)
Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:โคตโคต
โ
Kuwaka moto kifuani (Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula tu.
โ
Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati. Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
โ
Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhisi kuchanganyikiwa.
โ
Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
โ
Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
โ
Kuwa na wasiwasi na hofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa mno.
โ
Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
โ
Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
โ
Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
โ
Kupata kikokozi kisichoisha.
โ
Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
โ
Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
โ
Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
โ
Kupata fangasi mdomoni (mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
โ
Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
โ
Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
โ
Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
โ
Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
โ
Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
โ
Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
โ
Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
โ
Kichefuchefu na kutapika.
โ
Maumivu ya Masikio
โ
Kupata ganzi kwenye vidole vya miguu au mkono.
๐ด ๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐จ๐ซ
โ
Saratani/Kansa ya koo
โ
Kupungua kwa ukubwa wa koo/Kuziba kwa koo (EUSOPHAGEAL STRICTURE)
โ
Kupata Bawasiri kutokana na kujisaidia choo Kigumu
โ
Kupoteza uwezo wa kushiriki tendo (Wanawake & wanaume)
โ
Mwili kudhoofika na kukonda kupita kiasi. Hasa pale Acid reflux hupelekea kupotea hamu ya kula.
โ
Kunenepa kupita kiasi. Hasa pale Acid hupelekea upate njaa mara kwa mara na kupelekea kula mara kwa mara.
โ
Kupata Fangasi wa mdomoni na katika mfumo mzima wa chakula
โ
Kupata ngiri ya Kifua /Hiatal hernia.
๐ ๐๐ ๐๐ข ๐ฌ๐๐ก๐๐ฌ๐ข๐ช๐๐ญ๐ ๐๐จ๐๐๐ข๐๐๐๐ ๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐ ๐๐จ๐ญ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐๐๐ ๐ง๐จ๐ ๐๐ข๐ก๐
โ
Uvutaji wa sigara
โ
Unywaji wa pombe
โ
Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa, Chocolate, Soda nk
โ
Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
โ
Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
โ
Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
โ
Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua (Hiatal hernia)
โ
Kuwa Mjamzito
โ
Uzito kupita kiasi (Obesity)
โ
Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.
๐ Je, unakumbana na dalili za acid reflux mara kwa mara โ
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika mara moja na sio kajaribu jaribu tiba bila kupona, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu hapo baadae.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa msaada zaidi wa kimatibabu kwa kupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐๐ฝ๐ฝ: 0719 943 008
๐๐๐ฅ๐๐๐จ ๐ง๐จ๐๐จ๐๐จ๐๐จ๐ ๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐๐๐ก๐๐๐ ๐ข๐ง๐ข ๐ญ๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐ง๐จ๐ก๐๐ง๐ข๐ ๐๐จ๐๐จ๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ.